taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    KUEDIT TAARIFA HESLB

    Habari Wanazengo Kama unapojisajili uliweka umezaliwa oversea badala ya mainland Tanzania inakuwaje hapo? Maana hata verification number ya rita hawakuleta tunafanyaje ili kuedit
  2. J

    Kubadilika kwa taarifa zile ulizojaza kwenye RITA verification

    Habari za mida wakuu.. Mi nna changamoto moja kwa upande wa RITA verification number. Nmeingiza taarifa zangu mhim na kwa usahihi zaidi ya mara 2 lakini nikishamaliza na kuletewa control number ya malipo, nikishalipia taarifa za tarehe ya kuzaliwa inabadlika kutoka 29-10-2004 na kua...
  3. L

    Fanya Hivi Kubadili Taarifa za Kampuni Yako Brela.

    Mwezi huu peke yake mpaka kufikia Leo nimebadili taarifa za Kampuni 3 Tatu, hizi ni steps nilizotumia kubadili taarifa za Kampuni hizi ambazo ukizifuata utabadiki taarifa za Kampuni Yako ndani ya dakika 15 Tuu. 1. Log in kwenye website ya Brela ORS 2. Chagua new services hapa zitakuja list ya...
  4. GE2025 Wakili wa Serikali: Upande wa Jamhuri umeshapeleka taarifa Mahakama Kuu

    "Upande wa Jamhuri umeshapeleka taarifa Mahakama Kuu, kwa maana ya kufaili taarifa, kwa mujibu wa kifungu cha 262(6), na taarifa hiyo imepokelewa na kusajiliwa kwa namba Criminal Session 19605/2025 ambayo ni shauri la Jamhuri dhidi ya Tundu Antipas Lissu.." amesema Wakili wa Serikali.
  5. A

    KERO TANESCO Katavi (hasa Mpanda) wanakata umeme bila taarifa, ni kawaida kukatika asubuhi kisha unarudi jioni

    TANESCO wamekuwa na kawaida ya kukata umeme bila mpangilio, hali ambayo inasababisha wanaunguza vitu vyetu, hiyo imekuwa tabia yao hawasemi tatizo, wanaporudisha wanaweza kuendelea na "mchezo" wa kukata na kuwasha ndani ya muda huohuo, hii inakera sana. Kuna wakati ratiba zao za kukata umeme...
  6. GE2025 Mahakama Kuu yapigilia msumari uamuzi kufichwa kwa mashahidi wa Jamhuri katika kesi ya Tundu Lissu

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo Jumanne Agosti 12, 2025 inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu mapingamizi ya upande wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, yanayolenga kupinga matumizi ya mashahidi wa siri. Katika mapingamizi hayo, upande wa...
  7. S

    Mzozo Mkali unaoendelea kati ya Marekani na Venezuela

    Mnamo Agosti 2025 Serikali ya Marekani ilitangaza ongezeko la zawadi hadi dola milioni 50 kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwa Rais wa Venezuela Hatua hiyo ilichukuliwa kutokana na tuhuma kwamba Maduro anaongoza mtandao mkubwa wa usafirishaji wa dawa za kulevya...
  8. Taarifa ya makubaliano kati ya Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) na Jaji Mkuu wa Tanzania

    TAARIFA YA MAKUBALIANO Kati ya Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS) Na Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. George M. Masaju Tarehe: 11 Agosti 2025 Kufuatia ahadi iliyotolewa mnamo Aprili 2025 ya kufika mbele ya Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, uongozi wa TLS...
  9. GE2025 Mgombea Urais, Coaster Kibonde: Nikishinda Urais, Rais Samia atabaki Ikulu

    Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Demokrasia Makini Coaster Jimmy Kibonde amesema "nikishinda urais, Rais Samia atabaki Ikulu"
  10. Rostam hawezi kuwa mzalendo wa nchi hii kamwe

    Rostam kwa rangi yake TU hawezi kuwa mzalendo wa nchi hii kamwe na nitakuwa wa MWISHO kumuita mzalendo muhindi yule. Polepole leo amecheza clip ULITONESHA kundi la wahuni walivyopanga kulitafuna taifa ili huku wakimplekea Jakaya taarifa ya kumtaka agombee urais wa nchi. Mtandao huu...
  11. Polepole una uhakika ulijipanga na Karata zako nazo ulizipanga vizuri dhidi ya 'Muhuni' mwenye Nguvu na Taarifa za kila Kitu?

    Ngoja nijiandae Kusikitika tu kuanzia leo!!!!!
  12. Ukraine Yadai Kuiba Taarifa za Siri(Classified Information) Za Manuari Mpya Kabisa Za Kurusha Makombora Ya Nyuklia Za Urusi

    Wataalamu wa Shirika la Ujasusi la Kijeshi la Ukraine (HUR) wamefanikiwa kuvunja ulinzi wa Jeshi la Majini la Urusi na kupata nyaraka za ndani zinazohusu manowari mpya ya daraja la Project 955A Borei, Knyaz Pozharsky, iliyowekwa rasmi kwenye huduma chini ya wiki mbili zilizopita. Kwa mujibu wa...
  13. DART: Marufuku watoa Huduma Binafsi kutoa taarifa za Usafiri wa Mwendokasi (BRT) ikiwemo mikataba

    Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umetangaza marufuku kwa Watoa Huduma Binafsi kujihusisha na utoaji wa taarifa kwa Vyombo vya Habari kuhusu utekelezaji wa michakato mbalimbali ya Mradi wa BRT ikiwemo suala la mikataba na mipango. Taarifa kwa Vyombo vya Habari, Agosti 4...
  14. PolisiTz walikosa taarifa za kiintelijensia juu ya vurugu za WanaCCM? Mbona masuala ya CHADEMA huwa wanapata taarifa?

    WanaCCM wanabomoana mangumi Wanachomeana magari! Polisi hawakuwa na taarifa za kiusalama Mbona masuala ya CHADEMA huwa wanapata taarifa ?
  15. Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi mbalimbalia, pia amevunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kupanga kituo cha kazi Balozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi na upangiwa kituo ni kama...
  16. SI KWELI PreGE2025 Nape anatuhumiwa kuendesha vikundi vya uhalifu kwa wapinzani wake uchaguzi kura za maoni jimbo la Mtama

  17. Vipi kuna mtandao ambao tayari serikali ya Samia imeshafunga mpaka sasa hebu tupeni taarifa kufichua madudu

    Vipi kuna mtandao ambao tayari serikali ya samia imeshafunga mpaka sasa hebu tupeni taarifa kufichua madudu. Suala la kufungia mitandao kwasababu watu wasiongee, linaminya uhuru wa kujielezea na haki za binadamu ungekuwa wewe ungejisikiaje ?
  18. Katibu Mkuu Kiongozi: Ili mtumishi athibitishwe au kupanda daraja atalazimika kufanya mtihani kupima uwezo wake

    Ili kuimarisha utendaji kazi katika sekta ya umma, Serikali imedhamiria kuanzisha mfumo wa upimaji kwa kutumia mitihani ya lazima kwa maofisa walioteuliwa au kupandishwa vyeo vya uongozi. Hatua hiyo mpya ni sehemu ya kuhakikisha watu wenye uwezo na uelewa thabiti wa shughuli za utumishi wa umma...
  19. Viashiria muhimu vya kifedha kutoka kwenye taarifa ya kifedha ya CRDB kwa robo ya pili ya mwaka 2025 (Q2 2025) - Unaudited Financial Statements)

    ■ Faida baada ya kodi (Q2 2025): TZS 346 Bilioni, ikilinganishwa na TZS 275 Bilioni kwa Q2 2024. 📈 Imeongezeka kwa 26% – hii inaonyesha ukuaji mzuri wa faida ya kampuni. ■ Interest Income (Mapato yanayotakana na riba za mikopo) Yameongezeka hadi TZS 904 Bilioni kwa nusu ya mwaka (Jan-Jun 2025)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…