taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TCRA: Picha zako za utupu zikivuja toa taarifa Polisi, usione aibu

    Meneja wa Huduma kwa Wateja na Watumiaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Kadaya Baluhye, amewataka waathirika wa unyanyasaji mitandaoni, ikiwemo uvujaji wa picha za utupu, kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi ili wapate msaada unaostahili. Wito huo umetolewa wakati wa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LHRC: Wakuu wa Wilaya hawana mamlaka ya Kipolisi kutoa amri ya raia kuwekwa ndani

    https://www.youtube.com/live/wr4EWHjPnuE?si=71vzeEzsoV41J8sS Akitoa taarifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini, Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Fulgence Massawe, amesema kuwa kumekuwa na ongezeko la matumizi mabaya ya madaraka kwa baadhi ya viongozi...
  3. VERIFY

    JamiiForums Tanzania taarifa kuhusu epstain

    🧑‍💼 Jeffrey Epstein alikuwa nani ? Alizaliwa: 20 Januari 1953, Brooklyn, New York (USA) Alikufa: 10 Agosti 2019, Manhattan, akiwa na miaka 66 Kazi: Mfanyabiashara wa fedha (financier), multimillionaire Alikuwa na mahusiano na watu matajiri, wanasiasa na watu mashuhuri duniani. Encyclopedia...
  4. W

    JamiiForums Tanzania MDAU, Ni mara ngapi umewahi kukutana na vifungashio vyenye taarifa binafsi za watu?

    Mara nyingi huwa nakutana na taarifa binafsi za watu zikitumika kama vifungashio zikiwa na majina, vitambulisho vya NIDA na leseni. Mara nyingine ni makaratasi ya matokeo ya mitihani au barua za maombi ya kazi zenye sura za watu. Hivi tume ya Ulinzi wa taarifa binafsi iko wapi kusimamia hili...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukuswanywaji huu wa Taarifa Binafsi kwa wakazi wa Masaki si sawa. Sensa ilikuwa ya nini?

    Hivi kwanini kulifanyika Sensa miaka 4 iliyopita? Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (na Kanuni zake) haijafuatwa na itashangaza kama Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi itakaa kimya huku Sheria ikionekana wazi kuelekea kuvunjwa. Wenye mamlaka wamezoea kufanya vitu kwa mazoea, nyakati kama hizi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO eRITA portal ina matatizo. Yatatuliwe haraka

    Tafadhari taarifa ziwafikie Hawa RITA Nini maana ya kuweka huduma ya kuomba cheti kwa njia ya mtandao kama mtu nimefanya maombii ya cheti cha kuzaliwa mwezi wa 12 mpaka sasa hakuna mibu ya aina yoyote tunapata tabu sana ukienda Ofisini shida tupu. Hakuna haja ya kuwa na eRITA portal
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mafwele amendelea kutuhumiwa na utekaji

    Kutoka na ripoti na Kwa taarifa za kuaminik zisizo na mashaka kutoka BBC afisa wa juu wa jeshi la "Mafwele" ameendelea kutuhumiwa na utekaji
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kama Mohammad Mwenyewe Alisema Kuwa Alitokewa na Shetani au Jini Pangoni, Kwa Nini Watu Wengine Walimlazimisha Aamini Alikutana na Malaika?

    Simulizi la awali la Muhammad kwa mkewe lilikiwa kwamba alipokuwa pangoni Hira, alitokewa na kiumbe wa ajabu ambaye aliamini alikuwa shetani au jini, huyo kiumbe alimwambia asome, akasema yeye hajui kusoma, yule kiumbe akaanza kumbana na kumwachia, akirudia tena na tena, akimlazimisha asome, na...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa Muhimu Jihadhari Usitumie Unga wa Mlonge ambao Umeanikwa Juani Hauna Manufaa Kiafya

    Moderator naomba sana uzi huu uwe huru ni muhimu kiafya. Mdau wangu Usijaribu kutumia Unga wa Mlonge ambao Umeanikwa JUANI. Ni muhimu sana kutumia Unga ambao Umeanikwa Ndani ya nyumba kwa muda angalau siku 5 na kuendelea bila Jua na kisha kutwangana au kusagwa na kuchekeshwa. . Tazama rangi na...
  10. Keynez

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Wanaharakati wajipange na wawe makini na taarifa za kuuzwa kwa hazina ya dhahabu

    Baada ya MO29, Wanaharakati na CHADEMA walisisitiza kwamba lazima haki ipatikane na kuwe na uwajibikaji kutokana na matukio yote yaliyotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi. Kampeni zikaanza ikiwemo za kukusanya vielelezo, kupinga tume feki ya Chande na kupeleka vielelezo vya kufungua...
  11. Seran

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Kupotea: Mama Verediana Mataba (Mama Jane) amepotea tangu Januari 27, 2026, maeneo ya Kisesa Mwanza

    Tumepotelewa na Mama anayeitwa Verediana Mataba au Mama Jane siku ya tarehe 27 Januari 2026 katika maeneo ya Kisesa Mwanza. Mama huyu ni mwenyeji wa Buhare Musoma na alikwenda Mwanza kwa ajili ya matibabu ya kupoteza kumbukumbu. Anaongea lugha ya kiswahili na kikerewe kwa ufasaha. Kwa mara ya...
  12. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Januari 28 Siku ya Faragha ya Taarifa duniani

    Kabla ya kubonyeza 'Kukubali' (Accept), hakikisha unasoma na kuelewa Sera ya Faragha (Privacy Policy) ili ujue jinsi taarifa zako binafsi zinavyokusanywa, kuchakatwa na kutumika.
  13. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ndani ya muda mfupi kutoka Sasa ofisi ya chief Prosecutor wa ICC itatoa taarifa ya kuanza Kwa uchunguzi Kwa mauaji ya MO29

    Hello guys Napenda kuwapa good news, kutoka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika. Kesi iliyofunguliwa ICC na Intelwatch, Madrid Bar Association na Human right Institute Kwa Samia na viongozi wengine inaenda kuanza. Kumbuka ni kuanza Kwa kesi, including investigation. Siongezi maneno but within...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Chalamila atoa taarifa kwa Kamati ya Bunge kuhusu majukumu na muundo wa TAKUKURU

    Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Bw. Crispin Chalamila, Januari 19, 2026, ametoa taarifa kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kuhusu majukumu, mamlaka na muundo wa Taasisi hiyo, kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti...
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania Watanzania wazalendo wameanza kujibu taarifa za kupotosha za DW

    Hii ni makala fupi dhidi ya uongo wa DW. Moja ya vyombo vya habari vinavyotakiwa kuhojiwa na tume ni pamoja na vyombo vya habari vya magjaribi katika kushiriki kwao kuchochea vurugu. DW, BBC, ALJAZEERA na wengine lazima wahojiwe na tume ili ijiridhishe kama hawakuwa sehemu ya mkakati wa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri zetu kugawa namba za Watumishi kwa Micro-finances sio sawa

    Kumekuwepo na tabia ya watu kutoka taasisi za mikopo na baadhi ya benki (ambazo mtumishi sio mteja) kumtafuta mtumishi wa uma na kumuelezea masuala ya mikopo. Maswali ya kujiuliza ni: Je, taarifa za watumishi hawa haswa mawasiliano yao zipo salama? Lakini kama hawa watu wanaweza kujua hadi...
  17. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi wakanusha taarifa za kuchomwa Kwa nyumba ya polisi

    POLISI WAKANUSHA TAARIFA YA KUCHOMWA KWA NYUMBA YA ASKARI ARUSHA. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limekanusha taarifa inayosambaa katika mtandao wa kijamii ikieleza kuwa nyumba ya kiongozi wa Polisi Mkoani humo imechomwa moto. Akitoa taarifa hiyo leo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Kamishna...
  18. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Sentensi ikianza na maneno gani unajua inafuata taarifa mbaya?

    Naanza mimi! Nikiskia "Basi aina ya COTECH lilikuwa limetoka mkoani......... najua hapa kishasanuka tayari
  19. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Maria sarungi Punguza mihemko na utoaji wa taarifa zisizo na uthibitisho. Mnapoteza kuaminika

    Binafsi naipinga serikali batili ya CCM na Kila jambo lake .Lakini nafikiri kama kuna kitu Hawa wanaojiita wanaharakati wanakosea sana basi ni utoaji wa taarifa hovyohovyo, Tena za upotoshaji .Hii inapunguza kuaminika kwenu mbele yetu sisi wananchi . Tena wew Maria sarungi na Hilda Newton...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Taarifa Tisa (9) Unazoweza Kuzifanyia Marekebisho Kwenye Kampuni Yako

    Habari mjasiriamali, Kama wewe ni mmiliki wa Kampuni au unategemea kuanzisha Kampuni siku za usoni hapa nimekuandalia list ya taarifa 9 Unazoweza kuzibadilisha baada ya Kusajili Kampuni yako. 1. Mtaji wa Kampuni Mfano ulisajili Kampuni ukaweka share capital 10M badae mtaji ukakua unaweza ku...
Back
Top Bottom