Mimi nashangaa na kujiuliza sana.
Hizi lawama zote anazopewa mtaafu Jakaya huwa hazipati? Wasaidizi wake huwa hawamuambii?
Kila kona sasa hivi utasikia maeneo. Hii nchi inakwenda vibaya sababu ya huyu mstaafu, ufisadi, kuharibu chama chao hadi kifo cha Magufuli na wasaidizi wake.
Yupo kimya.
Inaumiza sana kuona sasa magari ya kusafirishia ng'ombe kwenda machinjioni kwa sasa ndio usafiri mkuu wa wananchi kwenda kwenye mikutano ya CCM (ila vyama vingine havithubutu kufanya hivi)
Mh. Rais SSH hana hizi taarifa
Huu usafiri sio salama
Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu:
Kwa bahati mbaya, hii inazungushwa zaidi na magaidi wa Hamas ambayo hawana jipya.
Vita vinaweza kumalizika mara moja kwa masharti yaliyowekwa na Baraza la Mawaziri la Usalama:
1. Mateka wote waachiliwe .
2. Hamas wanyang’anywe silaha.
3. Ukanda usiwe na...
Tuna haki ya kuhoji: Mtu huyu ana rekodi chafu na ana kesi nchini Afrika Kusini lakini jana amebainisha mwenyewe kuwa alikuwa nchini, saa chache kabla ya Harambee ya CCM.
Hapa kuna ujumbe gani kwetu?
Hawa , Angekua ni Mtanzania ndo Kauliwa ,wangeishia kutoa Matamko na kujifanya kama wao sio Watanzania
Ila kwakua mwenzio ndio Kauliwa, hamna Maneno mtaacha kusikia kutoka kwao.
https://youtu.be/ByUTXlIIKd0?si=k3kt4hSaLPB3T9Uk
Na wenye Akili tunajua kuwa huyo FISADI Mwenzako mwenye Makazi mengi Dar es Salaam achilia kule kulikotupwa Kitovu chake Bagamoyo ndiyo amekutuma uharakishe kufanya Press ili kusafisha Upepo, ila jua ya kwamba umeshachelewa na kilichobakia sasa Wewe subiria tu Watanzania waungane na Wakushtakie...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kuwatembelea viongozi wa dini mkoani Arusha kwa lengo la kujitambulisha na kubadilishana uzoefu katika mambo mbalimbali...
Ili uweze kufanya biashara kihalali Tanzania ni muhimu sana uwe na leseni ya biashara.
Sasa Kuna taarifa Tano lazima uwe nazo ili upewe leseni ya biashara;
1. Aina ya Biashara,
Ni lazima uweke wazi ni biashara gani unataka kufanya mf; Vifaa vya simu
2. Wilaya/halmashauri
Ni lazima useme ni...
Mkurugenzi Mtendaji wa Manara TV na mwanachama wa Klabu ya Yanga SC, Haji Manara, amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni zikidai kuwa anatarajia kurejea kufanya kazi katika klabu ya Simba SC.
Akizungumza kupitia Manara TV, Manara alisema kuwa taarifa hizo si za kweli na kwamba bado...
Kwa nchi hii fukara yenye watu wenye mindset mgando, rasili za mchongo, pesa iliopo kwenye mifuko ya wachache ila kutotoboa na tabu zako unadanganya watu ni kutokana na makosa ya mababu zako waliofanya na pia ngono inakuua kiroho ndio maana haupati mwanga maishani mwako
🚮🚮
Acha ngozi nyeupe...
Kasema Robo tu ! Asee sema yote umekuwa kwa nafasi unayoaminika kuliko sisi anonymous! Na taarifa yako inasambaa zaidi
Sema pale Morogoro na Ruhangwa (Ruangwa) gari lililopaki kabla na kuweka counting machine ili moshi uanze. Kwanini unakwepa kulisemea?
Britanicca
Naweka kumbukimbu kwa wale wanaolishwa mapumba na Hafre kwamba hata kiongozi Mkuu wa chadema alisema JPM alikufa kifo cha ugonjwa wa corona na si vinginevyo.
Corona huwapiga zaidi watu wenye matatizo ya moyo
UKWELI KUHUSU KUSIFIWA KUWA TANZANIA NI MOJA YA NCHI YA AMANI NI HUU HAPA.
🇹🇿 Tanzania ni Nchi ya Amani – Ukweli na Takwimu.
Kumekuwa na maneno ya kupotosha kwamba sifa za amani za Tanzania “ni maslahi ya mataifa ya nje.” Ukweli ni huu hapa:
1. Global Peace Index 2025
Tanzania imeshika nafasi...
Jana nliweka uzi kuhusiana na kiongozi wenu mmoja kunitega tega.
Nipo huku Famagusta kuna watoto wakali. Cyprus mnaifahamu kuna kisiwa kinaitwa Famagusta. Hili jina limenikumbusha maskani ya wana kitambo sana ilikuwa inaitwa Famagusta.
kumekua na maoni mseto juu ya wizi wa baiskel yangu, iliibiwa juzi usiku, jirani wanasema nitoe taarifa polisi ni kachukue RB, lakini wengine wanasema iwapo nitamsweka ndani wenzie wataniundia tume, kwani nitakua nimechafua hali ya hewa.
Badala yake nimuombe jamaa arudishe kiroho Safi, ila...
Kwa kawaida, Bodi ya Ligi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wamekuwa wakitoa tuzo za msimu mara baada ya ligi kumalizika, lakini safari hii mambo yamekuwa kimya. Mashabiki na wadau wengi wanahoji ni lini hafla hiyo muhimu itafanyika kwa msimu wa 2024/2025.
Airtel kama mpo humu JF mjitafakari sana kuhusu hili.
Mna uthibitisho gani kama mimi mmiliki wa simcard ndio nimeomba Kubadili neno la siri na sio mtu mwingine?
Nimefuata muongozo kwa kupiga 100, sijaongea na muhudumu ila mmeniruhusu kubadilisha PIN ya Airtel Money😭😭😭😭
Sidhani kama...
GT
Ni maajabu hawa wanaojiita tume huru ya uchaguzi huku majina ya wapiga kura yamefichwa
Mi najiuliza kwa nini wanahitaji namba ya kadi ya kupiga kura ili niweze kuona jina langu?
Hii ina maana kwamba hakuna mtu yoyote anaweza kuona majina ya wapiga kura isipokuwa tume yenyewe ah aha ah 😅 😄 😆...
Sitaki kuongeza neno wala kupunguza neno, hiyo ni taarifa kutoka miongoni mwa wananchi waliosema wazi kuwa, alichokisema Pole Pole wamekielewa vizuri.
Kukumbusha tu, Pole Pole alisema kuwa, Mifumo ya NEC na NIDA inaonana na CCM, na wakati huo huo CCM ndio mratibu wa hiyo mifumo nyuma ya pazia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.