Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran!!

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
8,682
Reaction score
7,417
Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran, Hapa kuna mambo MUHIMU ZAIDI:

-"Natumai naweza kukuambia kuhusu miungano muhimu hivi karibuni".

-"Utawala wa Iran unatarajiwa kuanguka - mapema au baadaye".

-"Tuliunda mabadiliko ya kimkakati - Iran ilitaka kutunyonga, leo sisi ndiyo tunawanyonga".

-"Tumeuamsha ulimwengu kwa hatari ambayo Iran ingeleta kwa wanadamu wote. Leo, hakuna mtu ambaye haelewi ukubwa wa hatari ambayo ingeletwa na magaidi hao!!

-"Hapo awali, tulipigana peke yetu, leo tunapigana bega kwa bega na Marekani na kuunda ushirikiano mpya katika eneo hilo dhidi ya tishio la Iran - "Natumai hivi karibuni tutaweza kukuambia mambo mazuri zaidi!!

-"Tumedhoofisha misingi ya utawala wa Iran-na mapema au baadaye, utaishia kuanguka".

-"Tumeondoa vitisho viwili vya kuwepo: silaha za nyuklia na makumi ya maelfu ya makombora ya balestiki".

-Tumevunja nguvu ya majeshi ya kigaidi ya Iran yaliyotuzunguka Hamas,Hezbollah na Houth "Wapo wapo tu kwa jina, lakini hayawezi kutishia uwepo wetu."

-"Tumeweka mikanda mikubwa (Buffer-zones) ya usalama kuvuka mpaka - huko Gaza, Syria na Lebanon".

-"Tumebadilisha dhana yetu ya usalama - tunawashambulia na kuwashangaza maadui zetu".

-"Tumethibitisha kwamba mfumo wetu wa ulinzi wa anga ndio bora zaidi duniani".

-"Tumeonyesha ustahimilivu wa ajabu wa watu wa Israeli na uchumi wa Israeli".
 
Unaijua 'Almas'? Anti tank wanayotumia Hezbollah kuzibomoa tank za adui na kusambaza kabisa? Hezbollah sio Syria yawaarabu
*******************************
Come along and listen well.

In 2006, when Zionist Israel withdrew from south Lebanon after its defeat, it left behind more than just the land... it left behind technology. How? You may ask.

Among the "equipment" discovered was a highly advanced anti-tank missile known as the Spike.

The Spike was a sophisticated "fire-and-forget" system, capable of locking onto its target and guiding itself with imaging technology. Equipped with a tandem warhead, it was designed to penetrate even heavily armored vehicles. In simple terms, it was a top-tier piece of military engineering.

What happened next is where the story takes a strategic turn.

Hezbollah reportedly transferred this technology to Iran, specifically to the Aerospace Industries Organization (AIO), an entity well known for its expertise in reverse engineering. Iran has long demonstrated a capacity to study, replicate, and often enhance foreign military systems. Give them a system, and they don't just copy it..nah..they refine it.

The result of that effort was a missile known as "Almas".

Almas is widely considered an upgraded counterpart: extended range, improved targeting, and enhanced operational flexibility. While the original Spike system operated at a range of around 4 kilometers, reports suggest that Almas variants can reach distances of 10 kilometers and possibly even up to 20.

Production followed. Distribution followed. And eventually, deployment.

The outcome, according to various field reports, is that this system has become a serious tactical threat on the battlefield. Armored personnel carriers, main battle tanks, and troop concentrations, all reportedly vulnerable to this type of precision-guided strike capability.

There is a certain irony embedded in this trajectory: a system originally developed by Israel, allegedly captured, studied, replicated, and improved, only to reappear years later as a weapon used against it.

Now, more recent reports suggest something even more concerning from a strategic standpoint; that Iran may have recovered hundreds of unexploded munitions from various strike zones inside Iranian territory. If accurate, this would provide an additional pool of material for analysis, reverse engineering, and further development.

For military analysts, this raises a familiar and uncomfortable question:

How often does advanced weaponry, once deployed, eventually find its way back; adapted, improved, and turned against its original source?

Signed, sealed and returned to sender😘 with a chef's kiss.
 
Mtuambie ukweli hatutaki kusikia lightly injured no casualty, kutoka X

🇮🇷🇮🇷⚔🏴‍☠🇺🇸 Iranian Revolutionary Guards: We targeted a meeting site of the Israeli Home Front commanders in Bnei Brak and points in Tel Aviv and Beersheba
 
Kwa wastani Sasa muisrael ambaye ni mvivu kabisa analala masaa mawili huku masaa 22 ni kukimbia huku na huko kuikwepa clusters shrapnels zinazotoka mpaka 80 Kwa ballistic 1 ya koromshahar, so Kama ziko 2, 160 hivyo watu wote wanalazimika kuimbilia shelters muda wote na hii ni strategy hakuna bingwa wa usingizi matokeo yake lazima ufanisi wa kazi upungue, na huko mbeleni vichaa wataongezeka taifa la mchongo Hilo, usingizi Hauna dawa + saikolojia hofu, vifo na woga.

Hayo ndio mafanikio ambayo ameyapata Netanyau Kwa raia wake, huku maelfu wakikimbia nchi
 
Kama ni kweli hayo malengo anayosema tujikumbushe aliwahi pia kusema hivyo Kwa Hezbollah matokeo yake yake tunaona hizbo ilivyo strong hivyo huyu mwamba ni kupuzwa Kwa mtu mwenye ubongo.
 
Kama ni kweli hayo malengo anayosema tujikumbushe aliwahi pia kusema hivyo Kwa Hezbollah matokeo yake yake tunaona hizbo ilivyo strong hivyo huyu mwamba ni kupuzwa Kwa mtu mwenye ubongo.
Netanyahu sio wakumuamini hata neno lake moja yeye pamoja na mjomba wake Mzee Trump,

Israel kwasasa iko hoi bin taabani kutokana na kishambuliwa pamoja na kuvurugwa kwa uchumi wake.

Iran anapiga maeneo ya kimkakati hana time ya kuwinda mtu ndio maana kabla hajapiga anatoa warning watu wahame hayo maeneo, population ya Israel ni ndogo mnoo wangekuwa wameshaisha wote Iran wangekuwa na akili za Trump.
Thank you for your attention to this matter 😁
 
images (30).jpeg
 
Nyuma Ya Pazia Iran Anakwenda Kutoa Mafuta Yote
Nuclear Ilikuwa Njia Tu Ya Vita
 
Back
Top Bottom