Kwa nchi hii fukara yenye watu wenye mindset mgando, rasili za mchongo, pesa iliopo kwenye mifuko ya wachache ila kutotoboa na tabu zako unadanganya watu ni kutokana na makosa ya mababu zako waliofanya na pia ngono inakuua kiroho ndio maana haupati mwanga maishani mwako
🚮🚮
Acha ngozi nyeupe...
Kasema Robo tu ! Asee sema yote umekuwa kwa nafasi unayoaminika kuliko sisi anonymous! Na taarifa yako inasambaa zaidi
Sema pale Morogoro na Ruhangwa (Ruangwa) gari lililopaki kabla na kuweka counting machine ili moshi uanze. Kwanini unakwepa kulisemea?
Britanicca
Naweka kumbukimbu kwa wale wanaolishwa mapumba na Hafre kwamba hata kiongozi Mkuu wa chadema alisema JPM alikufa kifo cha ugonjwa wa corona na si vinginevyo.
Corona huwapiga zaidi watu wenye matatizo ya moyo
UKWELI KUHUSU KUSIFIWA KUWA TANZANIA NI MOJA YA NCHI YA AMANI NI HUU HAPA.
🇹🇿 Tanzania ni Nchi ya Amani – Ukweli na Takwimu.
Kumekuwa na maneno ya kupotosha kwamba sifa za amani za Tanzania “ni maslahi ya mataifa ya nje.” Ukweli ni huu hapa:
1. Global Peace Index 2025
Tanzania imeshika nafasi...
Jana nliweka uzi kuhusiana na kiongozi wenu mmoja kunitega tega.
Nipo huku Famagusta kuna watoto wakali. Cyprus mnaifahamu kuna kisiwa kinaitwa Famagusta. Hili jina limenikumbusha maskani ya wana kitambo sana ilikuwa inaitwa Famagusta.
kumekua na maoni mseto juu ya wizi wa baiskel yangu, iliibiwa juzi usiku, jirani wanasema nitoe taarifa polisi ni kachukue RB, lakini wengine wanasema iwapo nitamsweka ndani wenzie wataniundia tume, kwani nitakua nimechafua hali ya hewa.
Badala yake nimuombe jamaa arudishe kiroho Safi, ila...
Kwa kawaida, Bodi ya Ligi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wamekuwa wakitoa tuzo za msimu mara baada ya ligi kumalizika, lakini safari hii mambo yamekuwa kimya. Mashabiki na wadau wengi wanahoji ni lini hafla hiyo muhimu itafanyika kwa msimu wa 2024/2025.
Airtel kama mpo humu JF mjitafakari sana kuhusu hili.
Mna uthibitisho gani kama mimi mmiliki wa simcard ndio nimeomba Kubadili neno la siri na sio mtu mwingine?
Nimefuata muongozo kwa kupiga 100, sijaongea na muhudumu ila mmeniruhusu kubadilisha PIN ya Airtel Money😭😭😭😭
Sidhani kama...
GT
Ni maajabu hawa wanaojiita tume huru ya uchaguzi huku majina ya wapiga kura yamefichwa
Mi najiuliza kwa nini wanahitaji namba ya kadi ya kupiga kura ili niweze kuona jina langu?
Hii ina maana kwamba hakuna mtu yoyote anaweza kuona majina ya wapiga kura isipokuwa tume yenyewe ah aha ah 😅 😄 😆...
Sitaki kuongeza neno wala kupunguza neno, hiyo ni taarifa kutoka miongoni mwa wananchi waliosema wazi kuwa, alichokisema Pole Pole wamekielewa vizuri.
Kukumbusha tu, Pole Pole alisema kuwa, Mifumo ya NEC na NIDA inaonana na CCM, na wakati huo huo CCM ndio mratibu wa hiyo mifumo nyuma ya pazia...
Wakuu nimeshangaa sana mamlaka ya NIDA kukanusha kuwa CCM Haina access na taarifa zetu za NIDA,huu ni uhuni na uongo wa Hali ya juu,au kwakuwa watanganyika wengi hatufatilii mambo!?
Ni ukweli usiopingika kuwa CCM wamepewa access ya taarifa zetu muhimu na NIDA ili kufanya chochote wakitakacho...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amevihimiza Vyama vya Siasa pamoja na Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani kunadi sera zao kwa Wananchi bila kutumia lugha ya matusi au kuanzisha vurugu zinazoweza kuhatarisha amani, pia amewasisitiza Wananchi kushiriki katika shughuli za...
DMZ kwa wanauchawa wa IT wa CCM sijui kama wanafahamu ila limegawanyika kimaana ila zote ni sawa.DMZ maana fupi ni usalama wa matandao.Kwa upande mwengine utumika kama mipaka (Demilitarized Zone).
Kuingilia mitandao na vyombo vya habari CCM ni kwamba wanaona watu wanasanuka na kuwaacha uchi...
Ni ukweli kabisa usio pingika hata kwa 0.00000000000000001% hauwezi kukataa alichokisema polepole
Kwa wale walio sajiliwa katika mfumo wa Kidigital wa MAFISIEMU. Ni kweli utakuta taarifa zako za NIDA mfano picha yako uliyo sajiliwa NIDA ndiyo ile ile itaenda kuwa profile picture yako ya CCM...
Lengo: Kupokea sauti kutoka redio ya FM, kuichuja matangazo, kubadilisha sauti iliyobaki kuwa maandishi, kufupisha maandishi, na kutuma taarifa muhimu kwenye kundi la WhatsApp.
---
### Sehemu ya 1: Vifaa na Mahitaji (Hardware and Software)
#### Vifaa (Hardware):
1. Arduino Uno: Hiki ndicho...
Hao watu wamejipanga siku nyingi kuandaa media mbalimbali endapo tu wanapoguswa maslahi yao hushambulia watu kwa kuwapa kashifa mbalimbali.
Kwa sasa media hii iliyopo huko x zamani tweeter kazi yake kubwa ni kusifia serikali na yeyote anayeonekana yupo kinyume na serikali hushambuliwa kwa matusi...
Nimepata uamisho kuelekea Isimani-Iringa, mwenye taarifa na eneo hili naomba anisaidie kujua fursa za uchumi zilizopo, pia tamaduni za watu wa huko pamoja na changamoto mbalimbali zilizopo ili niweze kujiandaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.