taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Pendekezo: TLS Watusaidie Kukusanya Taarifa Za Raia Waliouawa au Kujeruhiwa Kwa Risasi Za Moto Tangu 29 October 2025.

    Naamini kuna haja ya kuwa na kumbukumbu sahihi za raia wenzetu ambao wameuawa au kujeruhiwa kwa risasi za moto tangu 29 October 2025. Hivyo, ninapendekeza familia za wahanga ziwasilishe kwa TLS taarifa za ndugu zao ambao wameuawa au kujeruhiwa kwa risasi za moto tangu maandamano ya 29 October...
  2. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania Taarifa Muhimu - MO29

    📌Important Statement from the Foreign Ministers of 🇨🇦 🇬🇧 🇳🇴 expressing concern and calling for restraint in Tanzania - GOV.UK Taarifa Muhimu kutoka kwa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa 🇨🇦 🇬🇧 🇳🇴 wakielezea wasiwasi wao na kutoa wito wa kujizuia nchini Tanzania. #MO29 🇹🇿 #OktobaTunatoka #tanzania...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Day 3: Tunaelekea Ikulu. Jamani njooni, njia ni nyeupe na tupo wa kutosha hakuna wa kutuzuia. Chakula kitakuwepo

    Mlio dar maelfu ya wananchi wanaelekea kuchukua Ikulu yao jitokezeni kwa wingi tuchukue nyumba yetu kwa mafisadi.
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa za Makazi, Mali na Familia za Jaji Mwambegele na Ramadhani Kailima wa Tume ya Uchaguzi atusaidie

    Mwenye taarifa za makazi yao, ndugu zao, familia zao kama mke na watoto au wazazi na mali zao hawa watu wawili atusaidie tukawasalimie
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kituo kinachofuata ni TCRA - mtandao ni haki yetu, hawapaswi kutuzimia na kutuacha gizani

    Wakuu, Kinachofanyika sasa hivi ni kuhakikisha mawasiliano yanakata, wanafanya kila njia ili tusipate taarifa, tuwe disorganized kukataa udhalimu wa serikali hii. Tunatakiwa kufika TCRA ili tuendelee kupata mtandao, waambiwe kabisa tunachotaka ni mtandao na si kitu kingine, hawawezi...
  6. Prof_rutta22

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Kufutwa kwa Matokeo Bila Ufafanuzi: Dilema Kati ya Wanafunzi, Wazazi na NACTE

    Katika miaka ya karibuni, kumekuwepo na ongezeko la malalamiko kutoka kwa wanafunzi na wazazi kuhusu hatua ya NACTE kufuta matokeo ya baadhi ya wanafunzi bila kutoa sababu za wazi. Hali hii imekuwa ikileta mkanganyiko mkubwa (dilema) hasa kwa wanafunzi wa kozi kama Diploma in Health Information...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Yoyote anayefaham Mali /biashara za genge la Hawa Watekaji/Wauaji aweke hapa Taarifa . Waandamanaji wanashinda nazo!!

    Walidhani tunafanya Mzaha!. Hii sio Tanzania mloizoea.
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Edward Snowden sio mjinga kufahamu ujasusi mnajua taarifa za CCM zipo nchi zote wanaweza kutumia kuwa tumia wanavyotaka

    Wale majajusi uchwara waliokamatwa kwenda USA wasijidanganye CCM serikali na idara kujiona wamefika level za kuwa wayahudi. JF naomba sitaki kujaza mengine kama wanatumia VPN wakushitaki uwezo wao.
  9. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Brr!!!Brr!! sms mpya najua mshahara kumbe TAKUKURU, wazee acheni utani, wezi mnawajua na taarifa tumeleta hapo ofisini

    Acheni hizi ghasia kwa sisi raia tunayoipenda nchi yetu kuliko viongozi. Tunalipa kodi kila siku na tungependa kuona hizi pesa zinamnufaisha kila mTanzania, sio wale wanajipendekeza na wanasiasa , bali kila mtu anufaike na hizi pesa zetu. Taarifa mnaletewa kila siku ila mnaleta maigizo hapa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ni taarifa 5 zinazohitajika Wakati wa kusajili Jina la Biashara

    Usajili wa jina la biashara unaweza kwenda haraka ikiwa unazo taarifa muhimu zinazohitajika Wakati wa kusajili. Taarifa hizo ni hizi hapa; 1. Jina la Biashara Lazima uwe Tayari na jina la biashara unalotaka kulitumia na liwe jina ambalo halifanani na jina ambalo limeshasajiliwa. 2. Address ya...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuandika kuhusu PAPU taarifa zimeongezwa angalia mishahara yake

    Hizi karibuni nililalama kwamba TCRA ambao wametakiwa kupokea maombi ya ajira za PAPU hawajaweka details. Soma Hizi nafasi za kazi za PAPU zinazopitia TCRA hazina infomation za kutosha rekebisheni Nadhani Uzi wangu waliusoma na kuweka taarifa za nafasi hizo, sasa angalia mishahara ilivyo...
  12. JITU BANDIA

    JamiiForums Tanzania Maajabu Taarifa Rasmi ya Police Mwili uliokutwa ukielea mtoni maeneo ya jangwani aug.27 ukiwa kwenye mfuko, police yadai alikuwa akianguka kifafa!

    Ukistaajabu ya musa, utayaona ya firauni!.. hii hapa chini ni taarifa rasmi ya jeshi la police juu ya uchunguzi wa tukio la mtu kukutwa akiwa anaelea ndani ya kiroba akiwa amefariki katika mto msimbazi maeneo ya jangwani... Polisi wanadai wameambiwa na ndugu wa marehemu kuwa marehemu alikuwa...
  13. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Taarifa Kutoka Taifa Group Kuhusu Shutuma Za TANCOAL

  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je taarifa ya kufungiwa JF kwa siku 90 ina mapungufu?

    Kwa mujibu wa maelezo shida ilionekana huko Instagram.. Kwa mtazamo wa kawaida pengine ndio imefungiwa kulingana na maelezo haya hapa Lakini baadae kwenye huo mwendelezo kuna maelezo haya pia Na mwisho ni hii barua rasmi ya TCRA ambayo "nadhani" ndio ina hayo maelezo yote Pamoja na utata huo na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mstaafu Kikwete huwa haambiwi na kupewa taarifa kuwa watu wanamsema vibaya na kumchukia?

    Mimi nashangaa na kujiuliza sana. Hizi lawama zote anazopewa mtaafu Jakaya huwa hazipati? Wasaidizi wake huwa hawamuambii? Kila kona sasa hivi utasikia maeneo. Hii nchi inakwenda vibaya sababu ya huyu mstaafu, ufisadi, kuharibu chama chao hadi kifo cha Magufuli na wasaidizi wake. Yupo kimya.
  16. excel

    JamiiForums Tanzania Rais Wa JMT hajui kama wananchi wanasafirishwa kama ng'ombe. mfikishieni Taarifa

    Inaumiza sana kuona sasa magari ya kusafirishia ng'ombe kwenda machinjioni kwa sasa ndio usafiri mkuu wa wananchi kwenda kwenye mikutano ya CCM (ila vyama vingine havithubutu kufanya hivi) Mh. Rais SSH hana hizi taarifa Huu usafiri sio salama
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu Kwa Magaidi wa Hamas!!

    Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu: Kwa bahati mbaya, hii inazungushwa zaidi na magaidi wa Hamas ambayo hawana jipya. Vita vinaweza kumalizika mara moja kwa masharti yaliyowekwa na Baraza la Mawaziri la Usalama: 1. Mateka wote waachiliwe . 2. Hamas wanyang’anywe silaha. 3. Ukanda usiwe na...
  18. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo, mtakatishaji fedha maarufu barani Afrika alikuwa na agenda gani Ikulu jana (Agosti 12, 2025) kabla ya Harambee ya CCM?

    Tuna haki ya kuhoji: Mtu huyu ana rekodi chafu na ana kesi nchini Afrika Kusini lakini jana amebainisha mwenyewe kuwa alikuwa nchini, saa chache kabla ya Harambee ya CCM. Hapa kuna ujumbe gani kwetu?
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Askari wanyamapori auawa na chui Mwanza - wengine 4 wajeruhiwa wakipambana naye - polisi waeleza

    Hawa , Angekua ni Mtanzania ndo Kauliwa ,wangeishia kutoa Matamko na kujifanya kama wao sio Watanzania Ila kwakua mwenzio ndio Kauliwa, hamna Maneno mtaacha kusikia kutoka kwao. https://youtu.be/ByUTXlIIKd0?si=k3kt4hSaLPB3T9Uk
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz huna cha kutubadilisha Watanzania hiyo Press yako ni kutaka tu kujichafua zaidi

    Na wenye Akili tunajua kuwa huyo FISADI Mwenzako mwenye Makazi mengi Dar es Salaam achilia kule kulikotupwa Kitovu chake Bagamoyo ndiyo amekutuma uharakishe kufanya Press ili kusafisha Upepo, ila jua ya kwamba umeshachelewa na kilichobakia sasa Wewe subiria tu Watanzania waungane na Wakushtakie...
Back
Top Bottom