Shida TISS inawachukulia mataifa mengine kama vilaza walivyo wao.Ni tamia neno kilaza kama heshima kubwa kwao.
Mlichokuwa mnafanya kutrace simu za watu ambao mnaona watavujisha taarifa zenu na uchafu wenu kumbukeni internet tu inawapa shida.
Haya mtaweza kutrace hivi vifaa hata Kishada cha...
Watekaji wanaweza kuomba taarifa zako TRA,Ardhi,idara ya maji,Tanesco,ving'amuzi au sehemu yoyote itakayokuwa na usajili wako.
Kwa Jamiiforum ndio maana bado wanaumia kwa nini hawapewi taarifa.
Kuna mchezo mmoja jamaa alitekwa wali trace namba yake SMS alinunua umeme.Wakaona jina mita namba...
Kukitokea kashfa ya kweli maana ni kweli sio makusudi mnacho kifanya.
Ilitokea risiti ya TRA ya abdul karibia mabilioni ya manunuzi ,watu walipo tangaza tu mkafunga mfumo wa kujua utambuzi TIN na malipo ya muhusika.
Na mpaka bungeni mshawahi kufanya hivyo.
Sasa hivi mumefanya kila sehemu...
Updates za maandamano yasiyo na kikomo Tanzania.
Twende pamoja
Mbagala tarehe 25 Desemba 2025 saa 1 jioni
Kawe tarehe 25 Desemba 2025 saa 2 usiku
Kahama jioni ya tarehe 25 Desemba 2025
Maandamano Tegeta 25 Desemba 2025 saa 2. Usiku
Taarifa za maeneo mengine ya nchi zinafuatiliwa na...
Ukifuatilia kwa umakini maelezo ya mashuhuda na manusura wa mauaji ya Watanganyika yaliyofanyika kwa siku 3 mfululizo kuanzia tarehe 29 Oct, ni dhahiri mauaji makubwa ya holela yalifanywa na askari wa kutoka Zanzibar, nao waliyafanya hayo kwa misingi ya chuki dhidi ya watanganyika, na siyo...
Tulia Axon amejiondoa kugombea Uspika
Tukumbuke Tulia Akson ndo spika wa bunge la Dunia (IPU) na Kwa kupoteza nafasi ya Spika katika Taifa lake automatically anapoteza fursa ya kuwa Spika IPU
Tulitaraji CCM wangemtengezea nafasi ya kuwa Spika ili aendelee kuwa Spika huko IPu
Sababu
1...
Ndugu zangu Watanzania,
Niliwaambieni humu kuwa habari na taarifa za Malisa zilikuwa ni za Uzushi ,uongo, uchonganishi na zenye lengo la kutaka kuleta taharuki na kuichafua serikali yetu chini ya uongozi mahiri,shupavu ,madhubuti na Imara wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
Sina maneno mengi.
Anzeni kuhesabu siku 6 kuanzia leo
Ndani ya siku 6 huenda ikawa leo au kesho ila haitavuka siku 6.
Mungu ataleta neema yake ambayo ni furaha kwa wananchi ila upande wa pili ni kilio japo cha kinafki.
Ukosefu wa Uhamasishaji wa Kutosha: Wengi wa vijana hawajui kuwa halmashauri hutenga asilimia 10 ya mapato yake ya ndani kwa mikopo ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu (kila kundi asilimia 4, 4, Viongozi wa halmashauri hawafanyi kampeni za kutosha kuwafikia vijana katika kata, vijiji au...
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Tunasonga Mbele! Kituo #D25 kuelekea #J1
Itolewe kwa Uharaka
Dar es Salaam, 12 Disemba 2025
Na. 028
Tunatambua wazi kwamba Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na vyombo katili vya ulinzi na usalama na tume batili ya uchaguzi wamefanya uhaini wa kupindua mamlaka...
Jambazi anaweka wezi kuomba wananchi wajue kilichotokea ndio haya.
Hii tume inataka kujua nani kavunja amani tu ?.
Kama mumeona wanacho kisema ni wazi vifo sio kazi yao.
Hello Wakuu.
Nimekua najaribu kusajili NGO yangu kupitia mfumo wa NIS jamii.
Lakini kila nikifika kuverify NIDA yangu naandikiwa "something is wrong, please try again"
Nimeenda office ya NIDA wilayani nimehakiki kila taarifa na kuangalia status za NIDA inaonesha haina shida wala kukosewa...
Tume imeanza rasmi utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Sheria ya Tume za Uchunguzi (Sura ya 32).
Inawaalika wananchi na wadau wote kutoa taarifa, ushahidi, maoni na mapendekezo yatakayosaidia kufahamu ukweli wa matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025...
Katika hali isiyokawaida, jana baada ya kumuona Simbachawene akiongea, sikutegemea usiku wa kuamkia leo ningerudi kwa taabu nyumbani. Nimefika Buguruni nikakuta watu wanakimbizwa na wanajeshi, wanawaambia wasitembee.
Ilipofika saa saba usiku, mambo yalikuwa hivyo.
Leo asubuhi natoka barabarani...
Anasema wana zunguka na magari ya kijeshi usiku huu kimya kimya.
Taarifa zaidi ni kuwa hawapigi ving'ora kama huku bara ila wanazunguka kila eneo kutoa taarifa kuwa huko napo wapo.
Niliposoma juu ya habari ya watalii kupungua Zanzibar nilijua hii nayo itakuwa sehemu ya kuwakimbiza, anauliza...
Tarehe 29 Oktoba 2025, Tanzania iliingia kizani kimawasiliano baada ya Mamlaka kuzima Mtandao wa intaneti (internet), upande wa pili Serikali ikidai kufanya hivyo kumeweza kuwadhibiti waandamanaji kuhamasishana kuandamana.
Kuzimwa kwa Mtandao kulisababisha madhara mengi kwa Wananchi ikiwa...
CCM imekuwa chama imara sana katika kupigania nchi hii, toka 1961 msimamo wake haujawahi kupinda kutetea maslahi ya wananchi wake, kwa nje utaona ni vita ya kugombania haki ila kuna watu waliisubiri sana hii siku waonyeshe rangi zao halisi, Kinachoendelea ni vita kubwa ya kiuchumi...
MWAUWASA, tunaomba taarifa ya haraka.
Kwa takribani mwezi mzima Yengezi yote hakuna maji, na sasa tatizo limejirudia tena bila maelezo yoyote kutoka kwenu. Wananchi tunapata usumbufu mkubwa—maisha, afya na shughuli zetu zimeathirika.
Tunaomba maelezo ya wazi:
Tatizo ni lipi hasa na kwa...
Swala la vijana wa Gen Z kujihusisha na matumizi ya silaha pamoja na nia ya kuharibu Uchumi wa Taifa kama taarifa hii ilivyotolewa na Jeshi la Polisi inadhihirisha kuwa vijana hawa ni wahalifu na sio waandamanaji wala wazalendo wa Taifa lao
Hakuna mzalendo wa Taifa lake anayepigania haki kwa...
Kumekuwa na tabia za watu kutoa taarifa za uongo na kuchangia vitu vya uongo kwe mitandao ya kijamii hasa JF kwakuwa wana uhakika hawawezi kukamatwa hivyo kuharibu malengo halisi ya jf na mitandao mingine kama kutukana na kutumia lugha chafu kufikisha au kuchangia hoja/mada.
Sasa dawa yao ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.