taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya TFF kwa Bodi ya Ligi ni ya kutuandaa Kisaikolojia Wadau wa Soka nchini kwa Taarifa yao inayokuja siku si nyingi

    Baada ya TFF kuona Mechi za Nusu Fainali ya ASFC zinahusisha Timu Kubwa na zenye Ushawishi nchini Simba, Yanga, Azam na hata Biashara United FC tayari Krav Maga nimeshtukia Jambo. Barua kutoka TFF kwenda kwa Bodi ya Ligi ( TPLB ) jana kuwa ihakiki Viwanja vya Ali Hassan Mwinyi ( Tabora )...
  2. JamiiForums Tanzania Familia za VIP's Tanzania tafadhali muwe mnawahi ' Kukanusha ' taarifa za Kuzushiwa 'Vifo' Ndugu zenu kuliko Kuzinyamazia tu

    Kuendelea tu Kunyamaza Kwenu kama sehemu ya ( za ) Familia ni kutoa mwanya kwa Wazushi na Wambea ' Kutudanganya ' Watanzania na kuanza kuishi kwa Taharuki ( Wasiwasi ) kitu ambacho nakiona kama vile hakina Ustawi Kwetu. Ila GENTAMYCINE huwa nikisia Taarifa za chini chini ( za Uzushi ) kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Taarifa ya tume ya Corona imetoa mapendekezo zaidi kuliko hali halisi ya ugonjwa kwa sasa nchini

    Nimeikuta mahali kutoka kwa mwananchi wa kawaida kutoka kijijini kwetu, amezungumza haya kama maoni yake binafsi: "Taarifa ya utafiti wa uviko -19(covid -19) inatoa mapendekezo zaidi na sio hali ya sasa ya corona nchini, na hali ya corona kwa siku zilizopita na athari zake. Binafsi nashangaa...
  4. JamiiForums Tanzania Simba SC yatoa taarifa rasmi, yataka kupewa ushindi kwa Yanga SC kususia kuingiza timu uwanjani

    Ifuatayo ni taarifa yao rasmi.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake mna la kujifunza kutoka Taarifa ya TFF. Kuahirisha miadi ya mapenzi Wanaume hupata maumivu mara mbili

    Miadi ni saikolojia. Hizi ni kanuni za mahaba ingawa hazijaandikwa kama za TFF Wanawake mjifunze kutoka kwenye taarifa ya TFF! Mwanaume unapompa miadi kila kitu hufanya kwa kuzingatia appointment! Wapo wanaokula vizuri ili kujiweka sawa Wapo wanaopiga mazoezi kujiweka sawa Wapo wanandoa...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Dar kuna Watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu

    “Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna Watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu, naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa, mitandaoni wanamtaja Afande mmoja alikomesha ujambazi, wanasema ‘Mama turudishie’, IGP kaliangalie hilo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika aliesema ofisi yake haina taarifa ya wanaoitwa wa CHADEMA kuvuliwa Uanachama, kumbe alikuwa muongo?

    Siku chache zilizopita, Naibu Spika, Tulia alisiika akisema Bunge halina taarifa rasimi ya wanaoitwa Wabunge wa CHADEMA kuvuliwa uanachama, akimanisha wao kama Bunge hawajapata barua kutoka kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA ya kuwavua uanachama. Sasa kauli tata ya Spika ya leo ya kutaka vithibitisho...
  8. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania Waporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7% kutokana na Corona

    Hayo yamefichuka leo baada ya hotuba ya Mh Rais Samia Suluhu alipokuwa anawahutubia Wafanyakazi wa Tanzania kwenye kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Ameitaja Corona kama sababu kubwa ya kuanguka kwa uchumi wa Nchi yetu , ambapo amewaomba wafanyakazi kuvumilia hadi mwakani ili kuongezwa...
  9. JamiiForums Tanzania Umegundua nini kuhusu taarifa za habari na vipindi vya TBC?

    Habari wadau..! Hii inaitwa kutesa kwa zamu,upepo sasa umechange mambo yote bomba. Kiufupi TBC walikuwa hawaripoti sana habari za Zanzibar lakini kwa sasa mambo fifty fifty habari za Zanzibar zinapewa nazo airtime tofauti na zamani, zamani Chato ndio ilikuwa haikauki masikioni .
  10. JamiiForums Tanzania Taarifa huishwa kuhusu kimbunga Jobo

  11. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa: IGP Simon Nyakoro Sirro Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania IGP Simon Nyakoro Sirro leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini David Concar. Wawili hao walikutana ofisini kwa IGP Sirro na walibadilishana uzoefu kwenye masuala mbalimbali ya kiusalama
  12. JamiiForums Tanzania Watu wa Mitandaoni walioambiwa wajitokeze kutoa taarifa za kuisaidia Serikali, wakishajitokeza waripoti kwa nani?

    Katika hotuba yake kwa bunge Mh Rais pamoja na kuwalaumu watu wa mitandaoni kwa uzushi wao kuhusu chanzo cha kifo cha Rais wa zamani wa Tanzania Hayati Dr Magufuli, lakini ametoa nafasi kwa wote wanaotokea Mitandaoni kama wanao ushahidi wa taarifa zao hizo ili waisaidie serikali. Hili kwangu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu taarifa binafsi unazotoa zinatunzwa wapi?

    Iwapo Sheria ya Ulinzi wa Data itakuwepo Tanzania, Watanzania watafahamu taarifa binafsi kama jina, namba ya simu au mahali anapoishi anazozitoa anapoingia kwenye ofisi fulani, zinakuwa kwenye mikono ya nani na zinatunzwa vipi Hii itasaidia kutoa muongozo kwa mtu kujua anatakiwa kwenda kwa nani...
  14. JamiiForums Tanzania Taarifa juu ya Miradi ya Mendeleo iliyotekekezwa awamu ya tano ilijaa upotoshaji mkubwa kwa Wananchi

    Wananchi wengi walikuwa hawaambiwi ukweli na uhalisia wa miradi iliyotekelezwa awamu ya tano. Kiasi cha Wananchi kuwa taarifa zisizo sahihi juu ya miradi hiyo huku wengi wakidhania ilikuwa imekamilika kwa 100%. Mfano ni kweli vituo vya afya 460+ na Hospitali za Wilaya zaidi ya 65 zilijengwa...
  15. JamiiForums Tanzania Stanlaus Nyongo, ameipongeza Wizara Ya Elimu, Sayansi na Teknoloji , kwa usimamizi na utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo kwa Ufanisi

    TAARIFA KWA UMMA Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na maendeleo Ya Jamii, Mh. Stanlaus Nyongo, ameipongeza Wizara Ya Elimu, Sayansi na Teknoloji , kwa usimamizi na utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo kwa Ufanisi. Akizungumza katika kikao cha pamoja, kati ya uongozi wa Wizara...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya mtaani kwako hutoa taarifa za mapato na matumizi ya fedha?

    Serikali za mitaa zina wajibu wa kuandaa bajeti, kutunza fedha na kutoa taarifa katika vikao husika na kubandika katika mbao za matangazo kuhusu mapato na matumizi ya fedha kwa kila kipindi cha mwaka wa fedha kinapoisha. Ni wajibu wa kila mwananchi kufuatilia taarifa hizo ili kulinda maendeleo...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi kufanyika Aprili 30, 2021

    Tafadhali soma maelezo hapo chini
  18. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Hussein Mwinyi kuwa wageni Rasmi Kongamano la Viongozi wa Dini nchini

    Kongamano hilo kubwa la Viongozi wa Dini litafanyika Aprili 18, 2021 katika Ukumbi wa Chimwaga Dodoma. Mheshimiwa Rais wa Tanzania Mama Samia pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi watahudhuria wakiwa wageni rasmi
  19. J

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya ulinzi wa taarifa binafsi (Personal Data Protection)

    Ulinzi wa taarifa ni mchakato wa kulinda taarifa muhimu dhidi ya kuibwa, kutumiwa vibaya, kuharibika au kupotea. Taarifa hizi ni zile ambazo mtu anajaza, anaandikisha au zinakusanywa kutoka kwake kupitia nyenzo za kidigitali au nje ya mtandao Ingawa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna taarifa za wasanii wetu wa muziki na wanasoka kwenye mitandao?

    Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kwanini wasanii wetu maarufu hapa Tanzania huwezi kupata taarifa zao kwenye mitandao kama Wikipedia ili angalau ujue historia zao. Ni ajabu kwamba hata wanamuziki wetu wakongwe huwezi kupata taarifa zao zote hasa kwenye mtandao maarufu wa Wikipedia. Mitandao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…