taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. financial services

    JamiiForums Tanzania Ni Taarifa gani nzuri au kitu kizuri ulishawahi kuipata/kupata ukamshukuru Mungu/Mwenyezi Mungu?

    Hello wakuu, Habari ya weekend, hivi ni taarifa gani nzuri ulishawahi kupata ukaishia kumshukuru Muumba, Mimi nakumbuka kwenye matokeo ya std 7 st Kayumba, nilichaguliwa kidato cha kwanza kwenda boarding school, na mtaani kwetu ilikua ukifaulia mbali kidogo au boarding unaonekana noma,sasa...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wale mnaokurupuka kuja kutoa Kwetu taarifa za Mgonjwa Mahututi au Kifo muwe makini kwani kuna Siku tutawasindikizeni na Vipigo tu

    Kuna Mtu Kanikera mno leo asubuhi kaja haraka haraka kunipa Taarifa ya Mtu aliye Mgonjwa Mahututi huku akiniharakisha Kuvaa ili twende Zahanati ya Awali ili Kumuona na tutoe Msaada Kwake cha Kushangaza kufika pale nikakuta Maelezo yake na nilichokikuta kwa Mgonjwa Mahututi husika ni Vitu viwili...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Maafisa wanaodaiwa kutoa taarifa za kiintelijensia kwa Urusi wakamatwa

    Kwa mujibu wa Idara ya Usalama ya Ukraine, Afisa wa Juu wa Serikali pamoja na Kiongozi wa mwingine katika masuala ya Biashara wanaoshukiwa kuwa sehemu ya Mtandao wa Urusi wamewekwa kizuizini Inadaiwa wametoa taarifa mbalimbali zikiwemo zinazohusiana na uwezo wa Ulinzi/Usalama wa Ukraine na...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Epuka wizi wa taarifa zako binafsi kwenye simu kupitia nyaya za USB

    Salaam Wakuu, Katika kuendelea kukumbushana umuhimu wa kulinda taarifa binafsi, leo nimeona nieleze kwa ufupi suala la wizi wa taarifa binafsi unaofanywa kupitia nyaya za kuchajia simu (USB). Tazama kwenye picha hapa chini: Picha> USB Cables za aina mbalimbali Ni wazi kuwa kutokana na sababu...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili taarifa zangu muhimu zilizopo ndani ya simu zisiingie mikononi mwa mtu pindi ikiibiwa?

    Mimi ni mdau mkubwa wa kusevu taarifa mbalimbali kwenye account yangu ya google. Ninahofia sana kipindi nikipoteza simu, watu watakua na uwezo wa kuona taarifa mbalimbali nilizosevu kwenye akaunti ya google ikiwemo mpaka password za kuingia kwenye mitandao mbalimbali. Hivi je kuna usalama...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaacha kutuletea Maendeleo Watanzania kazi yenu kutwa ni kutishia tu wasema ukweli au watoa taarifa sahihi

    Msemaji Mkuu wa Serikali, @gersonmsigwa amesema bei za umeme hazijaongezeka na amesema kuwa Serikali inamtafuta aliyetoa taarifa ya uongo kuhusu kuongezeka kwa bei ya umeme na kusababisha taharuki kwa wananchi ili achukuliwe hatua.. Chanzo: Dar Mpya Blog Mnapoelekea sasa mtaanza kutulazimisha...
  7. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Taarifa Rasmi za Bunge Daraja la II - 6 Posts

    EMPLOYER: Parliament of Tanzania APPLICATION TIMELINE: 2022-06-11 2022-06-24 DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Kuandika majadiliano ya vikao vya Kamati na Bunge yaliyorekodiwa katika sauti; ii. Kuandika na kuhakiki michango ya maandishi ya Wabunge; iii. Kufanya uhariri wa awali wa nakala za...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu huna credibility yoyote ya kukanusha taarifa yoyote na watu wakakuamini, hata hili la Ngorongoro

    Huyu waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Bungeni nimemsikia akisema kuwa habari zinazoenezwa mtandaoni kuhusu Loliondo hazina ukweli na hakuna askari yoyopte aliyeenda mbugani na silaha kutishia wananchi, pengine ningemuamini kwa kiasi fulani lakini hili la kusema hakuna askari aliyeenda mbugani na...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Je, taarifa binafsi (Mitihani na CV's) zinazotumiwa kama vifungashio na wafanyabiashara zinatoka wapi?

    Taarifa Binafsi ni maelezo fulani ambayo yanamtambulisha mtu, au kueleza jambo fulani kuhusu maisha yake. Taarifa Binafsi huweza kuwa majina ya mtu, namba ya simu, mwaka na tarehe ya kuzaliwa, dini, kabila, mahali anapoishi na mengineyo yanayombainisha mtu fulani. Aidha, vifungashio...
  10. Eric Cartman

    JamiiForums Tanzania Rais anafanya maamuzi tu, ila taarifa za kuamua anapewa na wengine

    Kwa wale wanaodhani Magufuli alikuwa pekee wafikirie tena. Asilimia kubwa ya maamuzi yake ni report tu alizokuwa anasoma na kuamua kutokana na option anazopewa. Nape, Mwigulu na Makamba; eleweni vita mnavyonunua sio na marehemu bali watu waliohai. Kibaya zaidi hiyo vita kapewa mtu ambae...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Rushwa zakithiri Arusha, nini kinapelekea vitendo hivyo kushika kasi Mkoani humo?

    Matukio ya Rushwa yanaripotiwa kwa wingi Mkoani humo, na takwimu za Januari - Machi 2022 zinaonesha kati ya Taarifa 114 zilizopokelewa na Mamlaka, 91 zilihusu Rushwa Katika Taarifa hizo, Uchunguzi wa Majalada 63 unaendelea na mengine 28 Uchunguzi wake umekamilika. Taarifa nyingine 23...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Marekani: Twitter yapigwa faini ya tsh. 349,050,000,000 kwa kukiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa za watumiaji

    Kampuni ya Twitter nchini Marekani mapema wiki hii, imepigwa faini ya Tsh. bilioni 349,050,000,000 sawa na dola Milioni 150 za Marekani, baada ya kudaiwa kutumia kinyume cha sheria taarifa za wateja wa mtandao huo wa kijamii Tume ya Biashara ya Shirikisho (FTC) na Idara ya Haki wanasema kwamba...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito Jeshi Letu la Polisi, Stop This Sensesionalism!. Udhalilishaji, na Kuingilia The Right to Privacy!. Kumbe PT Inafanyia Kazi Taarifa za Mitandao!

    Wanabodi, Kati ya Taasisi zinazopaswa kufanya kazi kwa weledi mkubwa bila mihemuko ni Jeshi Letu la Polisi. Kuna baadhi ya issues ambazo jeshi letu la polisi, zinazishughulikia sio issues za kipolisi, ni issues za kijamii na kifamilia. Kwanza msikilize Kamanda Polisi Huyu Kisha isome taarifa...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Morogoro: TAKUKURU yapokea taarifa 52 za rushwa, yabainisha TAMISEMI imelalamikiwa zaidi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Morogoro imetoa ripoti yake ya miezi mitatu kuanzia Januari hadi Machi 2022 ambapo imepokea taarifa 101, kati ya hizo 52 zilihusu rushwa.
  15. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa hii tafadhali atuwekee humu.: jeshi la polisi lakamata madereva 150 wa mabasi ya mikoani.

    Habari wanajamvi. WIKI HII inayoishia leo 21 May 2022 Nilikuwa nimekaa mahali usiku nikasikia kwenye radio kwa mbali ilikuwa ni taaarifa ya habari nikawa interested kuisikia lakini bahati mbaya ikawa imepita. Nimejaribu kuitafuta kwa bidii kwenye mtandao nimeikosa.Inaelekea haina intrest...
  16. Replica

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Simu zetu zinabeba taarifa nyeti na nzito, ataka Sheria itungwe kuzilinda. Ahoji ulazima wa 'Loss report'

    Mbunge wa viti maalum, Judith Kapinga leo bungeni ameongelea kuhusu sheria ya ulinzi wa data na utaratibu wa kuomba 'Loss report' LOSS REPORT Mbunge Judith amesema utaratibu wa kuambiwa kutafuta 'Loss report' pindi mtu anapoteza laini ya simu. Mbunge amesema tulipofikia mtu anasajili laini ya...
  17. kyaibumba

    JamiiForums Tanzania Nisiwanyime taarifa Tarehe 17/06/2022 Ninafungua ndoa na Msweden (Mswidi)

    Habari zenu bwana mko salama ? Nimewapa taarifa nafurahia sana Mtoto wa kiswidi ndo kaangukia mikononi mwangu Atakuwa kamaliza chuo maana wazazi wake walisema mpaka amalize Upsala University Karibuni. Itafanyika Bukoba TANZANIA...
  18. Wababa13

    JamiiForums Tanzania Huisha (update) taarifa za Jinsia katika kuomba kazi za Sensa

    Ndugu waombaji wa ajira za muda SENSA 2022, tunapaswa kuhuuisha (update) taarifa zetu za Jinsia. Naona ni kipengele kipya kimeongezwa hivi karibuni. Login ili ku-update kila la kheri.
  19. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Kulingana na taarifa za Ewura

    Wakuu Kulingana na taarifa za Ewura, Mwaka 2020 tulitulimia mafuta ya wasitani wa lita bilioni 3,500,000,000 . Ripoti ya matumizi ya mafuta mwaka 2021 bado haijawekwa katika mtandao. . Lakini ukijaribu kulinganisha mwaka 2018, 2019 na 2020 tofauti ni ndogo kwenye hizo lita bilioni 3.5. . Twende...
  20. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania CHADEMA pelekeni taarifa kwa Spika mubashara, mmeilinda vyema heshima ya chama chenu

    Mimi si mwanachama wa CHADEMA. Ni mwanachama wa CCM tangu miaka ya 80 nilipohitimu Chuo Kikuu. Tangu kumaliza utumishi wangu ndani ya Serikali na chama, nimebakia kuwa mwanachama mtiifu wa chama changu-nikishirikishwa mipango mbalimbali ya kichama na kiserikali katika kushauri na kuitekeleza...
Back
Top Bottom