Naona ugumu kukichafua cheo cha Jaji kwani ni adhimu na chenye heshima kwa anayestahili kuheshimiwa nacho na Wewe Chawa, Chande umejivua cheo hicho, acha nisionekane mtovu wa nidhamu kwa wakubwa nikuite Mzee Chande kutokana na Mvi zako.
Nachelea kusema kwamba, kama wasingeenda gizani upisha wa...
Naambiwa leo Jiji la dar polisi wenye silaha wametapakaa kila kona.
Ni wazi kesho CHANDE Anakuja kuongea visivyoeleweka
Usitegemee jipya kesho jiandae kupasuka moyo mara 200..by SATIVA
Wakuu nilifanya application ya passport pale Kurasini mwezi February mwishoni, na nikaambiwa March 24 nifate passport Wizara ya mambo ya ndani!
Sikwenda hiyo tarehe na nimekuja kwenda Ijumaa iliyopita, lakni cha ajabu kirahisi tu naambiwa taarifa zangu zimeliwa, hivyo nirudi tena Kurasini...
Napenda kuwajulisha umma na wote wenye mapenzi mema kwa Tanzania, Chadema na Mwenyekiti Tundu Lissu kuwa Jopo Mawakili la kumtetea na kumfanyia utafiti Mwenyekiti Lissu li imara kabisa.
Kwa niaba ya Chadema ninapenda kuwashukuru mawakili na wanasheria wote waliojitolea muda wao, taaluma yao...
Na Mwandishi Wetu.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula , amesema uandishi wa habari usiozingatia maadili unaweza kuhatarisha umoja wa kitaifa, amani na utulivu wa jamii.
Akizungumza na waandishi wa habari ambao ni wanachama wa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinawaarifu wanachama wake, wafuasi na umma wa Watanzania kuwa, Wakili Paul Kisabo amemtembelea Mwenyekiti wa chama, Mhe. Tundu Lissu, katika Gereza la Ukonga, jijini Dar es Salaam.
Katika mazungumzo yao, wamejadili kwa kina mwenendo wa kesi...
Kumekuwepo na chapisho ambalo limechapishwa na chombo cha habari cha Azam tv tanzania kikiwa nukuu ya kuwa uking’atwa na nyoka huruhusiwi kufunga kamba juu ya kidonda, kuchanja wala kunyonya sumu kwa mdomo. Unachopaswa kufanya ni kutulia kwanza ili kupunguza msukumo wa damu.
Dai hilo...
Na. M. M. Mwanakijiji
Kwa wanaokumbuka nilitoa taarifa mwezi wa kumi na mbili mwaka jana hapa kuwa nilipata nafasi ya kufanya "utalii" pale The Hague Uholanzi. Sikuwahi kufikiria naweza kufika mahali hapo kiutalii na kuweza kujifunza mambo mbalimbali. Matukio ya Oktoba 29-Nov. 4, 2025...
Burkina Faso imekanusha taarifa inayodai kuwa zaidi ya raia 1,800 wameuawa katika matukio yanayochukuliwa kama “uhalifu dhidi ya ubinadamu” tangu Ibrahim Traoré alipochukua madaraka kwa nguvu miaka mitatu iliyopita.
Shirika la Human Rights Watch, lililotoa ripoti hiyo, linasema kuwa mauaji...
Usikurupuke kwenda kwa mtu umetoka sehemu unaenda kwa mtu bila taarifa wengine tunasababishiana tuonekane tuna roho mbaya kumbe mtu unakuja hutoi taarifa yoyote unashtukia tu mtu huyu hapa na mbaya zaidi bora uje ukae kidogo uondoke ila unang'ang'ania kulala kwamba hutaki kuondoka.
Watu tuwe...
Mimi ni mwalimu, Nimehama kutoka halmashauri A tangu mwaka 2024 na sasa nipo halmashauri B lakini mshahara na taarifa za utumishi bado zinasoma halmashauri A.
Na wanaohusika kuhamisha hizo taarifa ni TAMISEMI na kila ninapowapigia simu majibu ni yaleyale kuwa watahamisha lakini hawajahamisa...
Kila ifikapo April 2 kila mwaka Dunia huadhimisha siku ya kuthibitisha taarifa mtandaoni ikiwa ni lengo la kuhamasisha umuhimu wa kuchunguza ukweli wa habari kabla ya kuziamini au kuzisambaza.
Siku hii ilianzishwa mwaka 2016 na taasisi mbalimbali za habari na uhakiki wa taarifa, hasa...
Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran, Hapa kuna mambo MUHIMU ZAIDI:
-"Natumai naweza kukuambia kuhusu miungano muhimu hivi karibuni".
-"Utawala wa Iran unatarajiwa kuanguka - mapema au baadaye".
-"Tuliunda mabadiliko ya kimkakati - Iran ilitaka kutunyonga, leo...
Wakuu, husika na mada tajwa hapo juu, naomba mnisikilize kidogo.
Nimehitimu masomo yangu mwaka 2024 katika fani ya IT in Business. Baada ya hapo nilipata nafasi ya kufanya kazi katika kampuni moja iliyopo Posta, ambapo nafanya kazi kama Consultant pamoja na Data Analyst. Pia ninashiriki...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa mwaka 2025/2026 na mpango wa bajeti wa mwaka wa Fedha 2026/2027 kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ulinzi na Usalama (NUU) jijini Dodoma.
Akiwasilisha...
Taarifa za kifedha barani Afrika.
Mfumuko wa Bei Washuka, Lakini Hatari Mpya Zaongezeka
🎯Ongezeko la mzozo wa Mashariki ya Kati limesababisha bei ya mafuta duniani kufikia $90 kwa pipa, kiwango cha juu zaidi katika kipindi cha miaka miwili.
Hali hii inatishia kudhoofisha kasi ya kushuka kwa...
Hapa kuna habari ulizoandika zikatafsiriwa kwa Kiswahili:
---
🇮🇷 Gwardia ya Mapinduzi yatangaza udhibiti kamili wa Mlalakayuko wa Hormuz
---
🇮🇷 Shambulio la drone dhidi ya nafasi za Marekani mjini Erbil
Reuters, ikirejelea vyanzo vya usalama: kambi ya kijeshi ya Marekani na hoteli huko...
Makampuni kadhaa makubwa ya mafuta pamoja na makampuni ya usambazaji wa mafuta na petroli yamesitisha kwa muda usafirishaji wa mafuta, petroli na bidhaa kupitia Strait of Hormuz kutokana na mashambulizi ya Marekani dhidi ya Iran kwa mujibu wa ripoti kutoka Reuters.
Serikali ya Australia chini ya Waziri Mkuu Anthony Albanese imepongeza uamuzi wa Marekani kuendesha operesheni dhidi ya Iran ili kuizuia nchi hiyo kupata silaha za nyuklia na kuzuia tishio la usalama wa kimataifa, ikisema inasema pamoja na “watu hodari wa Iran katika mapambano yao dhidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.