taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Anthony Mtaka, Unasubiri Roho wa Bwana Akushukie Kukupa Taarifa "HUTAKIWI"?

    Yaliyotokea katika uchaguzi wa TOC ni Salam LOUD AND CLEAR kuwa ndani ya CCM lile kundi kubwa la wezi, wabadhilifu, watekaji, waongo na kila ubaya hawakutaki kabisa na sisi watu wa kawaida tunajua sababu nini. Unasema ukweli mno! Ona uchaguzi wa chombo tu cha michezo Gazeti la serikali...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kukosekana Maji Nandagala Siku 3

    Mamlaka ya Maji mkoa Lindi wilaya ya Ruangwa kijiji cha Nandagala, ni siku ya tatu sasa maji hayatoki na hakuna taarifa yoyote. Je wajibu wenu ni nini
  3. M

    JamiiForums Tanzania TAARIFA RASMI: Maandamano ya Amani kwa Wasafirishaji wote Nchini, Sambaza ujumbe huu Kila Jukwaa na kila mtandao

    Ndugu Madereva wa Bodaboda, Bajaji, Daladala, Mabasi ya Mikoani, Wamiliki wa Magari, na Vijana wote wa Tanzania, Salamu za amani na mshikamano. 1. UTANGULIZI Hii ni taarifa rasmi kutoka kwa waandaaji UWADAR na vyama vyote vya wasafirishaji nchini kuhusu maandamano ya amani yatakayofanyika...
  4. N

    JamiiForums Tanzania UZUSHI Taarifa ya maandamano ya 7/7 kwa wananchuo

    Je taarifa hii ni ya kweli
  5. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Wakati wa utawala wa hayati JPM usalama wa taifa ilikuwa idara makini. Taarifa zilitoka kwa wananchi. Ndio maana hayati JPM alifanya kazi kwa ufanisi

    Utawala wa hayati JPM ulifanya kazi kwa ufanisi na uliweza kuwaridhisha wananchi kuwa upo makini na ulijali maslahi ya wananchi. Idara ya usalama taifa ilikuwa karibu na wananchi. Ndio maana hata kama ni kero ndogo namna gani rais alikuwa na taarifa nayo kwa undani. Kero za wananchi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya 15 imetimia tangu Amos Lukinda apotee. Hakuna taarifa yoyote mahala alipo

    Ndugu na marafiki wamefuatilia kila kona na vituo vya polisi vyote lakini hakuna alimkuta. Maswali mengi yanaulizwa kuwa ni nani aliyemteka na kumpoteza. Je, alikuwa na uhasama na watu? Maana yeye ni msaidizi wa sheria yaani Paralegal. Je, ni polisi? Kama ni polisi alikuwa na kosa gani? Maana...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Katika Kipindi cha Miaka 30 ya Uwepo Wake, TRA Yafanya Mengi, Makubwa, Muzuri ya Mafanikio, Mfano ni Hai ni Hii Taarifa ya Mwaka Mmoja Tuu!.

    Wanabodi, Naendelea na Makala maalum za Maadhimisho ya Miaka 30 ya TRA, hii ni taarifa ya TRA Wenyewe Niwatakie Jumamosi Njema. Paskali.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Gawio la Bilioni 61 za NIDA: Mteja wa Mwisho ni Wewe! Taarifa zako Binafsi zinapogeuzwa kitegauchumi na Serikali

    Tarehe 30 Juni 2026, Ikulu ya Dar es Salaam ilishuhudia hafla ya kila mwaka ya upokeaji wa gawio na michango ya taasisi za umma. Miongoni mwa waliopanda jukwaani ni Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa, NIDA. Cheki kubwa ilikabidhiwa mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan. Thamani yake: zaidi ya...
  9. Inside10

    JamiiForums Tanzania Katambi: Ukitaka kuandamana, katoe taarifa Polisi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amezungumzia utaratibu wa maandamano na mikusanyiko ya hadhara kwa mujibu wa Katiba na Sheria, ikiwemo wajibu wa kutoa taarifa kwa Kituo cha Polisi saa 48 kabla ya kuandamana. Akizungumza leo Julai 2, 2026, Jijini Dar es salaam, Katambi amesema...
  10. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Taarifa za kikachero!

    Nimepata taarifa za kikachero. Ni kwamba Uzi wa rikiboy, 'kula tunda kimasihara' unazidi kusaidia CHAPUTA kujipatia wanachama wengi zaidi. Duru zunadai kuwa new membaz wanazidi kuufufua Uzi ule na kila wanapousoma basi hupandwa na ashiki kiasi cha kuukwea mnazi kwa kono moko. Combo ya kula...
  11. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Labda BAKITA itufafanulie upya maana ya Taarifa binafsi

    Waziri Katambi ameeleza kwamba NIDA sio taarifa binafsi, Umri sio taarifa binafsi, namba ya simu sio taarifa binafsi Huyu ni waziri mkubwa ndani ya baraza la mawari: Sina hakika sana na level ya elimu yake : lakini naishauri BAKITA kutoa tafsiri rasmi ya nini kinachoangukia ndani ya neno...
  12. McLaren

    JamiiForums Tanzania Waziri Patrobas Katambi: Kitambulisho cha NIDA sio taarifa binafsi. Ni Public na ndio maana mnasheherekea Birthday

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema kutoa Kitambulisho cha Taifa (NIDA) unapotembelea nyumba ya kulala wageni hakumaanishi kuanika taarifa binafsi, kwani kitambulisho hicho si taarifa binafsi. Soma Pia: Waziri Katambi: Wamiliki wa Hoteli, AirBnB, Guest Houses na Lodge...
  13. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania NJIA PEKEE iliyobakia kwa Tundu Lissu KUFIKISHA TAARIFA za maumivu anayopitia ukonga ni NJIA ya kanisa katoliki, je Padri unae msalishaga.

    Moja ya changamoto iliyo ndani ya kanisa katoliki ni kitendo cha sisi waumini kwenda kanisani kusali na baada ya Ibada wale waumini utawanyika na kurudi majumbani mwao. Hali hii ni tofauti sana mathalani kwa WENZETU makanisa ya kilokole wao viongozi wao uwasikiliza waumini wao. Mfano mtu kama...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kila idara kila kona taarifa zimekuwa za kificho kabisa

    Cha kushangaza hata hizo heshima anazopewa kila kona nazo zinafichwa kwenye mfumo wa serikali. Kwa sasa si rahisi kujua hata CV,umiliki,jina la muhusika labda kama unatuma pesa kwenye simu. Na kushangaza mpaka namba zao zimepewa uficho ukijaribu kuangalia taarifa. Jambo lengine la kuchekesha...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Namna Milioni 100 ‘kuwalipa watoa taarifa’ za uhalifu nchini malawi zitakavyotumika

    Kielelezo cha kula kwa ufupi wa kamba Sample bajeti Idadi ya mikoa 5 Idadi ya wanufaika kwa mikoa yote ni 100 Viongozi 15 @200,000 = 3,000,000/= Wasaidizi 50 @100,000 = 5,000,000/= Vidampa 50 @50,000 = 2,500,000/= 500,090 logistics jumla kuu 11,000,000/= Kielelezo cha kula kwa urefu wa kamba...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Majohe: Zaidi ya Masaa 24 Bila Umeme, Tanesco Hamtoi Taarifa Wala Majibu, Tatizo Nini?

    Ninaomba kuwasilisha kero yangu kwa Tanesco kuhusu hali ya umeme katika maeneo la Majohe, Dar es Salaam. Kwa muda sasa tumekuwa tukikumbana na tatizo la kukatika umeme mara kwa mara bila taarifa yoyote. Karibu kila baada ya siku mbili au tatu tunakaa siku nzima bila umeme, huku wananchi...
  17. Bakulutu

    JamiiForums Tanzania Hii ni haki kweli? Nimekuta gari yangu inadaiwa wala sijui kosa, sina taarifa yeyote

    Habari, leo nikiwa na kagua nijue nadaiwa kiasi gani cha maegesho ya gari gafla nakuta na daiwa sh 60000 ya makosa barabani , sijui niliandikiwa wapi na lini ! Huu utaratibu ukoje ? Naweza peleka malalamiko ? Moderator Maxence Melo
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lijenge utamaduni wa kutolea mrejesho matukio yenye maslahi kwa umma wanayotelea taarifa za awali

    Kwa nyakati tofauti, Jeshi la Polisi limekuwa likijikuta kwenye mtihani wa kuaminika mbele ya umma kutokana na matukio yenye utata ambayo huacha maswali mengi bila majibu ya wazi. Mara nyingi, taarifa za awali hutolewa, lakini baada ya hapo umma hukosa mrejesho kuhusu hatua za uchunguzi au...
  19. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: CHADEMA wamefanya vikao vya siri ili kuhamasisha vurugu kupitia maandamano wanayoratibu

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa na kile kilichokiita ni mipango ya siri inayoratibiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yenye lengo la kuhamasisha vurugu nchini kupitia maandamano. Kauli hiyo imetolewa leo Juni 13, 2026, Jijini Dodoma na Katibu wa Itikadi, Uenezi na...
  20. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Magaidi Jama’at Nusrat al-Islam wal Muslimin wenye uhusiano na Al- Qaeda, wametangaza zawadi ya mabilioni kwa atakae toa taarifa ya alipo rais wa Mali

    Taarifa ya kundi hilo la kigaidi la JNIM limekuja siku moja tu, baada ya serikali ya Mali, kutangaza zawadi ya mamilioni ya pesa kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu watu walioishambulia serikali, miundombinu na raia. Kobaz once again...
Back
Top Bottom