Kinachopelekea wanaookoka au kusilimu na kuwa swala tano kufeli kimaisha

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,115
27,101
Wakristo na waislamu hawataweza kujua Mwenyezi Mungu anataka wao wwafanye kitu gani.

Kwa ufupi Wakristo na Waislamu bado wanaishi gizani na mafundisho ya dini zao pamoja na kwamba ni mazuri lakini hayampendezi Mungu.

Straight to the point hilo swali kwenye title huulizwa na watu wengi sana lakini majibu huwa hayapatikanagi.

Leo wacha nikupe jibu.

Jibu lake ni moja tu, mtu ambae hajaokoka au ambae hajasilimu na kuwa swala tano huwa ana uamini zaidi uwezo wake binafsi katika kufanya mambo yake katika maisha. Huiamini akili yake, maarifa yake na kadhalika.

Mtu huyu anapo okoka au kusilimu na kuwa swala tano, hushift imani aliyo nayo kwake na kuihamishia kwa Mungu jambo ambalo ni haramu machoni pa Mungu.

(UNAPO SHIFT IMANI YAKO KUTOKA KATIKA KUAMINI UWEZO WAKO MWENYEWE NA KUIHAMISHIA KWA MUNGU NI SAWA SAWA NA KUCHUKUA MAJI KUTOKA KWENYE KISIMA CHAKO NA KWENDA KUYAMWAGA BAHARINI HUKU UKIAMINI KWA KUFANYA HIVYO UNAIFURAHISHA BAHARI WAKATI BAHARI WALA HAI HITAJI MAJI YAKO)

Kama ni mfanyabiashara basi badala ya kutumia akili, uwezo, ufahamu na maarifa aliyo nayo kuhusu biashara yeye atabaki kusema Mungu ndo anae toa rizki kwa hivyo ata elekeza energy yake katika kusali/kuswali zaidi badala ya kutumia maarifa yake zaidi.

Mwisho wa siku mtu huyu biashara yake itafeli.

KWANINI NASEMA KUELEKEZA IMANI YAKO KWA MUNGU NI HARAMU?

KWA sababu Mungu hahitaji wewe uamini kwamba yeye ana nguvu ZOTE ana uwezo wote ana uwezo wa kufanya KILA kitu.

Mungu tayari vitu hivyo anavyo na wewe kusema kwamba Mwenyezi Mungu ana nguvu, Mwenyezi Mungu ni MUWEZA wa YOTE, you are not doing any favour to him. You are just repeating what he already knows a long time ago.

(Machoni pa Mungu?mwanadamu anae enda kwenye nyumba ya ibada na kuanza kusema Mwenyezi Mungu wewe ni Mungu mwenye Nguvu mwingi wa rehma, MUWEZA wa YOTE nakadhalika, hana tofauti na yale mapepo yaliyo kuwa yamemvaa yule mwendawazimu aliye kumbana na Yesu Masiha pale Gadarene( Mark 5)

Biblia inasema mapepo hayo yalipo muona Yesu yalianza kulia huku yakimwambia Yesu " Yesu Mwana Wa Mungu aliye juu kabisa (God the most high) tafadhali tunakuomba usitutoe ndani ya mtu huyu.

Lakini hata hivyo pamoja na kuyatukuza majina ya Mungu Yesu ali yatoa ndani ya mtu huyo.

Hii ni kwa sababu Mungu hahitaji kupewa sifa yoyote ile na kiumbe chake. He has nothing to do with it.

Watu wengi wanao enda kwenye nyumba za ibada kumsifu na kumtukuza Mungu kwa sifa zake huwa wanaishia kuwa cast out of their rightfully seats of authority.

Mwisho wa siku wanaishia kusema watu wasio fanya ibada wanafanikiwa katika maisha kwa sababu ya uchawi. Hell no.

God the Almighty doesn't need to praise him. KWANZA mwanadamu hana Maneno yanayo jitosheleza kuelezea sifa za Mungu and this has been proved by nature.

Wanasayansi Wana kubakubaliana kwamba machozi ni Maneno ambayo mtu ameshindwa kuyaelezea.

SASA kama huwezi kuyaelezea machozi tu utaweza vipi kumuelezea Mungu?

Kama ambavyo hakuna Maneno yanayo weza kuelezea machozi BASI hivyo hivyo hakuna Maneno yanayo weza kumuelezea Mungu.

Njia pekee ya kuelezea imani YAKO KWA MUNGU ni matendo YAKO na tendo pekee linalo weza kuelezea imani YAKO KWA MUNGU ni pale Unapo uamini uwezo wako KWA sababu hata Mungu pia ana uamini uwezo wako.

When your are praising God with words , you are not impressing him anyhow.

And you are not changing or adding anything to him.

MUNGU ANATAKA UAMINI KITU GANI SASA?

Mungu anataka ukiamini wewe mwenyewe. Mungu anataka u uamini uwezo akili, akili zako, maarifa YAKO, ufahamu wako na nguvu zako wewe.

Anataka kile unacho amini kuhusu Mungu ukiamini kuhusu wewe na sio vinginevyo.

KITU GANI HUTOKEA PALE MWANADAMU ANAPO SHIFT IMANI YAKE KWA MUNGU NA KUIELEKEZA KWAKE YEYE MWENYEWE.

Kwa kufanya hivyo mwanadamu hupata faida zifuatazo:

1. A human being who believes in his power more than the power of his creator share the same belief as his creator because the creator believes in his creation.

So uki amini katika nguvu zako jua upo pamoja na Mungu katika imani. KWA sababu hata Mungu pia ana amini katika nguvu zako na uwezo wako.

Kitu pekee kinacho weza ki draw attention ya Mungu kwako ni pale wewe mwenyewe Unapo amini katika nguvu zako.

Unapokuwa una amini katika nguvu zako tafsiri yake ni kwamba una amini katika nguvu na uumbaji wa Mungu kwa sababu Mungu ndio amekuumba wewe na Mungu huumba vitu ambavyo vina reflect nguvu zake na uwezo wake.

Hii dhana kwamba eti binadamu ni kiumbe dhaifu ni kufuru kubwa sana kwa Muumba.

Unaposema binadamu ni dhaifu tafsiri yake ni kwamba Mungu ndio dhaifu kwa sababu Mungu ndio kamuumba mwanadamu.

Ni sawa na kusema " Mercedes Benz ni gari dhaifu" ukisema mercedes ni gari dhaifu jua hujaitukana mercedes benz ila imeitukana teknolojia ya mjerumani ambayo ndio imetumika KUTENGENEZA mercedes benz. KWA hiyo kuanzia leo Shekhe au Mchungaji yoyote akikwambia wewe ni dhaifu Mwambie mimi sio dhaifu labda wewe ndio dhaifu.

Mungu alikuumba ukiwa umekamilika na alipendezwa na kitu alicho kiumba.

Kabla hajakuleta duniani Mungu aliweka ndani YAKO KILA kitu unacho kihitaji ( Ufalme wa Mungu upo ndani YAKO/ Ufalme wa Mungu= Nguvu/mamlaka ya Mungu)

Duniani hakuna kitu chochote kile kinacho weza kukushinda. Hakuna jini SHETANI mganga wala mchawi anae weza kumshinda mwanadamu anae ijua na kui ishi siri hii kwamba Nguvu za Mungu zipo ndani yake na kwamba anacho takiwa kufanya ni kuamini na kuzitumia.

Wachawi waganga mapepo majini na mashetani huwaga wanahangaika na the regular christians and muslims ambao bado wanaishi katika u-ignorance. Wanao enda kanisani na msikitini kutafuta nguvu za Mungu wakati nguvu za Mungu zipo ndani yao.

Mchawi hawezi kukuogopa kwa sababu anajua ur ignorant of your powers.

Start believing in urself and u will come to thank me.

Since I knew this secret my life has changed for better.

Hakuna mchawi wala mganga wala jini wala pepo yoyote yule anae weza kuni defeat .

The one thing that I can tell Lucifer is that " Hey Mr. Lucifer between me and you the one who is afraiding of your powers is you"

Yani ni sawa na Mandonga kamkwida Muhammad Ali( hata roho haidundi)

Mwanadamu unapo enda kumuomba Mungu AKUSAIDIE jambo ambalo Mungu anajua ndani YAKO ameweka tayari amekupa uwezo wa kulifanya jambo hilo una muhuzunisha sana. Yani ni sawa na mtoto wako mwenye umri wa miaka kumi na nne ana kuja kukuomba wewe baba ake au mama ake ukamtawadhe wakati anajua umefikia umri wa kujitawadha mwenyewe..

Ndio maana ukichunguza vizuri utagundua kuwa watu wanao sema kuwa Mungu hajibu maombi wengi wao ni waislamu kwa wakristu.

Simply kwa sababu ya siri hii.

Stop making God sad. Start believe in urself..

Ur brains are a very very powerful weapon. If you don't use them properly your enemy can use them against you because he is attracted to their powers. He wish to be the one possessing the powers of your brains .

(I have said your brains because humans have three brains/ this will be a topic for another day)

Ukianza kuamini katika uungu uliopo ndani YAKO hii dunia unayo ishi itabadilika na kuwa paradiso.

Utaona jinsi mambo yanavyo badikika for good.

Anza sasa. Bado hujachelewa.

# Tatizo kubwa la Mungu kwa wanadamu sio wanadamu kushindwa kumuamini yeye la hasha. Mungu hana uhaba wa watu Wana amini katika nguvu zake hata kidogo. Tatizo kubwa la Mungu kwa wanadamu ni wanadamu kuto amini nguvu za Mungu ambazo ameziweka ndani yao.

Wewe mwenyewe ndio uchague either kuwa tatizo au kutokuwa tatizo machoni pa Mungu
 
Ungebadili heading.

Kuokoka au kusilim hakumfanyi mtu kufeli kimaisha Bali mapokeo mabaya ya neno ndio huumfelisha mtu.
Ukimshika Mungu na ukafanya kazi that's a very good combination.

Walokole tupo hapa tunapiga kazi na maombi tunapiga kama kawaida tumeshikilia mstari wa,"Nayaweza mambo yote katika yeye anitiae nguvu"
 
Hapo kwenye maombi ndipo mnapo feli.

Mungu hahitaji umuombe chochote KWA sababu amekupa KILA kitu tayari. KILA kitu kipo ndani YAKO.

Ibada pekee inayo kubalika mbele za Mungu ni ibada ya shukurani.

Unamshukuru Mungu kwa kuku umba na kuweka nguvu zake ndani YAKO..
 
"Maisha ni fumbo kubwa sana"

Laiti ungejua wapo wanaokesha usiku na mchana kutwa kutafuta mafanikio kiuchumi lakini wanajikuta wako pale pale miaka nenda rudi ilihali hawajaslimu wala kuokoka ungeelewa nini maana ya dunia.

Wakati mwingine kila jambo huwa lina sababu zake lakini amini usiamini maisha bila baraka za Mungu ni sawa na kuukimbiza upepo.
 
Wakristo na waislamu hawataweza kujua Mwenyezi Mungu anataka wao wwafanye kitu gani.

Kwa ufupi wakristo na waislamu bado wanaishi gizani na mafundisho ya dini zao pamoja na kwamba hayampendezi Mungu.

Straight to the point hilo swali kwenye title huulizwa na watu wengi sana lakini majibu huwa hayapatikanagi.

Leo wacha nikupe jibu.

Jibu lake ni moja tu, mtu ambae hajaokoka au ambae hajasilimu na kuwa swala tano huwa ana uamini zaidi uwezo wake binafsi katika kufanya mambo yake katika maisha. Huiamini akili yake, maarifa yake na kadhalika.

Mtu huyu anapo okoka au kusilimu na kuwa swala tano, hushift imani aliyo nayo kwake na kuihamishia kwa Mungu jambo ambalo ni haramu machoni pa Mungu.

( UNAPO SHIFT IMANI YAKO KUTOKA KATIKA KUAMINI UWEZO WAKO MWENYEWE NA KUIHAMISHIA KWA MUNGU NI SAWA SAWA NA KUCHUKUA MAJI KUTOKA KWENYE KISIMA CHAKO NA KWENDA KUYAMWAGA BAHARINI HUKU UKIAMINI KWA KUFANYA HIVYO UNAIFURAHISHA BAHARI WAKATI BAHARI WALA HAI HITAJI MAJI YAKO )

Kama ni mfanyabiashara basi badala ya kutumia akili, uwezo, ufahamu na maarifa aliyo nayo kuhusu biashara yeye atabaki kusema Mungu ndo anae toa rizki kwa hivyo ata elekeza energy yake katika kusali/kuswali zaidi badala ya kutumia maarifa yake zaidi.

Mwisho wa siku mtu huyu biashara yake itafeli.

KWANINI NASEMA KUELEKEZA IMANI YAKO KWA MUNGU NI HARAMU?

KWA sababu Mungu hahitaji wewe uamini kwamba yeye ana nguvu ZOTE ana uwezo wote ana uwezo wa kufanya KILA kitu.

Mungu tayari vitu hivyo anavyo na wewe kusema kwamba Mwenyezi Mungu ana nguvu, Mwenyezi Mungu ni MUWEZA wa YOTE, you are not doing any favour to him. You are just repeating what he already knows a long time ago.

( Machoni pa Mungu?mwanadamu anae enda kwenye nyumba ya ibada na kuanza kusema Mwenyezi Mungu wewe ni Mungu mwenye Nguvu mwingi wa rehma, MUWEZA wa YOTE nakadhalika, hana tofauti na yale mapepo yaliyo kuwa yamemvaa yule mwendawazimu aliye kumbana na Yesu Masiha pale Gadarene( Mark 5)

Biblia inasema mapepo hayo yalipo muona Yesu yalianza kulia huku yakimwambia Yesu " Yesu Mwana Wa Mungu aliye juu kabisa ( God the most high) tafadhali tunakuomba usitutoe ndani ya mtu huyu.

Lakini hata hivyo pamoja na kuyatukuza majina ya Mungu Yesu alie yatoa ndani ya mtu huyo.

Hii ni kwa sababu Mungu hahitaji kupewa sifa yoyote ile na kiumbe chake. He has nothing to do with it.

Watu wengi wanao enda kwenye nyumba za ibada kumsifu na kumtukuza Mungu kwa sifa zake huwa wanaishia kuwa cast out of their rightfully seats of authority.

Mwisho wa siku wanaishia kusema watu wasio fanya ibada wanafanikiwa katika maisha kwa sababu ya uchawi. Hell no.

You are not impressing him anyhow. And you are not changing or adding anything to him.

MUNGU ANATAKA UAMINI KITU GANI SASA?

Mungu anataka ukiamini wewe mwenyewe. Mungu anataka u uamini uwezo akili, akili zako, maarifa YAKO, ufahamu wako na nguvu zako wewe.

Anataka kile unacho amini kuhusu Mungu ukiamini kuhusu wewe na sio vinginevyo.

KITU GANI HUTOKEA PALE MWANADAMU ANAPO SHIFT IMANI YAKE KWA MUNGU NA KUIELEKEZA KWAKE YEYE MWENYEWE.

Kwa kufanya hivyo mwanadamu hupata faida zifuatazo:

1. A human being who believes in his power more than the power of his creator share the same belief as his creator because the creator believes in his creation.

So uki amini katika nguvu zako jua upo pamoja na Mungu katika imani. KWA sababu hata Mungu pia ana amini katika nguvu zako na uwezo wako.

Kitu pekee kinacho weza ki draw attention ya Mungu kwako ni pale wewe mwenyewe Unapo amini katika nguvu zako.

Unapokuwa una amini katika nguvu zako tafsiri yake ni kwamba una amini katika nguvu na uumbaji wa Mungu kwa sababu Mungu ndio amekuumba wewe na Mungu huumba vitu ambavyo vina reflect nguvu zake na uwezo wake.

Hii dhana kwamba eti binadamu ni kiumbe dhaifu ni kufuru kubwa sana kwa Muumba.

Unaposema binadamu ni dhaifu tafsiri yake ni kwamba Mungu ndio dhaifu kwa sababu Mungu ndio kamuumba mwanadamu.

Ni sawa na kusema " Mercedes Benz ni gari dhaifu" ukisema mercedes ni gari dhaifu jua hujaitukana mercedes benz ila imeitukana teknolojia ya mjerumani ambayo ndio imetumika KUTENGENEZA mercedes benz. KWA hiyo kuanzia leo Shekhe au Mchungaji yoyote akikwambia wewe ni dhaifu Mwambie mimi sio dhaifu labda wewe ndio dhaifu.

Mungu alikuumba ukiwa umekamilika na alipendezwa na kitu alicho kiumba.

Kabla hajakuleta duniani Mungu aliweka ndani YAKO KILA kitu unacho kihitaji ( Ufalme wa Mungu upo ndani YAKO/ Ufalme wa Mungu= Nguvu/mamlaka ya Mungu)

Duniani hakuna kitu chochote kile kinacho weza kukushinda. Hakuna jini SHETANI mganga wala mchawi anae weza kumshinda mwanadamu anae ijua na kui ishi siri hii kwamba Nguvu za Mungu zipo ndani yake na kwamba anacho takiwa kufanya ni kuamini na kuzitumia.

Wachawi waganga mapepo majini na mashetani huwaga wanahangaika na the regular christians and muslims ambao bado wanaishi katika u-ignorance. Wanao enda kanisani na msikitini kutafuta nguvu za Mungu wakati nguvu za Mungu zipo ndani yao.

Mchawi hawezi kukuogopa kwa sababu anajua ur ignorant of your powers.

Start believing in urself and u will come to thank me.

Since I knew this secret my life has changed for better.

Hakuna mchawi wala mganga wala jini wala pepo yoyote yule anae weza kuni defeat .

The one thing that I can tell Lucifer is that " Hey Mr. Lucifer between me and you the one who is afraiding of your powers is you"

Yani ni sawa na Mandonga kamkwida Muhammad Ali( hata roho haidundi)

Mwanadamu unapo enda kumuomba Mungu AKUSAIDIE jambo ambalo Mungu anajua ndani YAKO ameweka tayari amekupa uwezo wa kulifanya jambo hilo una muhuzunisha sana. Yani ni sawa na mtoto wako mwenye umri wa miaka kumi na nne ana kuja kukuomba wewe baba ake au mama ake ukamtawadhe wakati anajua umefikia umri wa kujitawadha mwenyewe..

Ndio maana ukichunguza vizuri utagundua kuwa watu wanao sema kuwa Mungu hajibu maombi wengi wao ni waislamu kwa wakristu.

Simply kwa sababu ya siri hii.

Stop making God sad. Start believe in urself..

Ur brains are a very very powerful weapon. If you don't use them properly your enemy can use them against you because he is attracted to their powers. He wish to be the one possessing the powers of your brains .

( I have said your because because humans have three brains/ this will be a topic for another day )

Ukianza kuamini katika uungu uliopo ndani YAKO hii dunia unayo ishi itabadilika na kuwa paradiso.

Utaona jinsi mambo yanavyo badikika for good.

Anza sasa. Bado hujachelewa.
Ubarikiwe sana kiongozi naanza kuyaishi matashi yako sasa LIKUD
 
"Maisha ni fumbo kubwa sana"

Laiti ungejua wapo wanaokesha usiku na mchana kutwa kutafuta mafanikio kiuchumi lakini wanajikuta wako pale pale miaka nenda rudi ilihali hawajaslimu wala kuokoka ungeelewa nini maana ya dunia.

Wakati mwingine kila jambo huwa lina sababu zake lakini amini usiamini maisha bila baraka za Mungu ni sawa na kuukimbiza upepo.

Hawajasilimu wala kuokoka= wanaenda KWA waganga na wachawi.

So it is the same thing. Wanapo enda huko Wana enda kunajisi nguvu zao za asili. Wana direct energy zao KWA viumbe wasivyo vijua badala ya ku amini katika uwezo wao wenyewe.

Mwanadamu ni Mungu kabisa my brother. Nimezaliwa katika uislamu lakini Biblia inaposema " Mwanadamu ameumbwa KWA sura na mfano wa Mungu ni kweli kabisa mkuu"

Na hapo bado sijamuasha (nyoka /kundalini) anae ishi ndani ya KILA mwanadamu.
So mkuu just believe in urself and see how ur life take a u turn
 
Hapo kwenye maombi ndipo mnapo feli.

Mungu hahitaji umuombe chochote KWA sababu amekupa KILA kitu tayari. KILA kitu kipo ndani YAKO.

Ibada pekee inayo kubalika mbele za Mungu ni ibada ya shukurani.

Unamshukuru Mungu kwa kuku umba na kuweka nguvu zake ndani YAKO..
Mkuu,hivi wewe Ni dini gani, maana threads zako naona unahama hama sn.
Kuna muda unakuwaje na mtazamo wa kikristo alafu Kuna muda unakuwa na mtazamo wa kiislamu.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
KAMA NIMEKUELEWA HIVI ILA KAMA ITAWEZEKANA SHUSHA NONDO ZAIDI.

Rais Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, right?

Amekuteua kuwa Mkuu wa wilaya ya Kinondoni right?

Na kupitia mamlaka yake amekupa nguvu na mamlaka ya kusimamia shughuli mbalimbali za kiutawala katika wilaya YAKO, right?

Unafikiri ni kitu gani ambacho Mh. Rais atapendezwa nacho kutoka kwako au ambacho anakihitaji kutoka kwako Kati ya hivi vifuatavyo?:

1. Wewe kwenda kumwambia : MH. RAIS WEWE NI RAIS WA JAMHURI. WEWE NI AMRI JESHI MKUU. Wewe una nguvu sana ! Wewe unaweza kufanya so and so and si katika nchi hii etc etc au

2. Wewe kutimiza majukumu YAKO KWA kutumia nguvu na mamlaka aliyo kupa?

Bila shaka jibu sahihi ni namba 2.
She doesnt need you to praise her.

She doesnt need you to tell her. That she has power because she already know she has power.

She also doesn't expect you to go and ask him to do a thing which is already in your powers.

She doesn't need you to ask her for a permission to do a thing which is under your power to do...

The only reasonable thing you can tell her is at least to thank her for believing in you and trusting you with the power which she has given you..

When you believe in the power that she has given to you is the same as believing in her decision to entrust you with those powers.

Ndivyo ilivyo kwa Mungu na wanadamu..

Hata wanadamu wanau jua huu ukweli kujua kama wanaujua.

Wanadamu hawajawahi kumtii na kumuheshimu mtu KWA sababu eti mtu huyo ana imani sana kwa Mungu, never.

Wanadamu Wana mti na kumuheshimu mtu ambae anajiamini yeye mwenyewe.

Makanisani kuna watu wanapinga sana prayer ( prayer warriors) wanafunga na kuomba sana lakini hakuna mtu anae wafuata kuwa muumini wao.

Vile vile misikitini kuna jamaa Wamehifadhi Qur'aan yote na wanapiga mkeka swala tano lakini hakuna mtu anae waheshimu na kuwatii.

Ila wapo watu wa kawaida tu kama hizi dini zetu watu Wana waheshimu sana.

KWA mfano pale Kawe. Tofauti Kati ya Mwamposa na waumini wake ni kwamba Mwamposa anajiamini zaidi yeye wakati wafuasi wake wanamuamini zaidi Mungu. And he is the one who has power over them. Akisema leo tunakanyaga mafuta kila mtu anatii.

Kama huko misikitini, ma ostaz ambao watu huwafuata KWA kuwaamini na kuwatii wengi wao hawanaga imani sana na Mungu ila ni watu wanao amini katika nguvu zao.

Demu wako akufuate akwambie anaomba iphone 14 halafu ukamjibu wacha nifanye maombi/dua Mungu anifanyie wepesi kwenye kazi zangu nipate hiyo hela, demu hato kuheshimu.

Lakini ukimwambia , hapa sina hiyo hela ila mimi ni mwanaume. I promise you by mwisho wa Mwezi nitakuwa nimekununulia hiyo simu , she will respect you.
 
Mkuu,hivi wewe Ni dini gani, maana threads zako naona unahama hama sana.
muda unakuwaje na mtazamo wa kikristo alafu Kuna muda unakuwa na mtazamo wa kiislamu.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mkuu nitake radhi mimi sina dini. Kuniuliza mimi dini gani ni sawa na kunitukania shangazi yangu.

Anyways nimezaliwa katika familia ya kiislamu ila now nimekuwa engligntened.

Usishangae mimi kunukuu vifungu vya biblia KWA sababu waislamu huisoma biblia pia.

Mimi ni mfuasi wa Mwanga. I am a disciple of the Light.

I shall always follow the light no matter who bearers it.

Navutiwa na mafundisho ya Yesu KWA sababu yana appeal with my personal belief.

I believe I have the power of God in me and Jesus confirmed to me by actually saying we humans possess the power of God in us.

Siamini katika dhana ya kwenda kanisani au msikitini kwa ajili ya kumuomba Mungu kwa sababu Mungu hahitaji tumuombe chochote KWA sababu ametupa kila kitu.

Ndio maana King David anasema " The Lord is my shepherd I shall never want" .

I don't want anything because I have everything in me. All I need to do is to use it and never to ask.

Kanisani au msikitini ni sehemu za kwenda kwa ajili ya kusocialize na watu wako lakini sio kwenda kumuomba Mungu.

Mungu hayupo kanisani au msikitini. Mungu yupo ndani yetu
 
Wakristo na waislamu hawataweza kujua Mwenyezi Mungu anataka wao wwafanye kitu gani.

Kwa ufupi wakristo na waislamu bado wanaishi gizani na mafundisho ya dini zao pamoja na kwamba ni mazuri lakini hayampendezi Mungu.

Straight to the point hilo swali kwenye title huulizwa na watu wengi sana lakini majibu huwa hayapatikanagi.

Leo wacha nikupe jibu.

Jibu lake ni moja tu, mtu ambae hajaokoka au ambae hajasilimu na kuwa swala tano huwa ana uamini zaidi uwezo wake binafsi katika kufanya mambo yake katika maisha. Huiamini akili yake, maarifa yake na kadhalika.

Mtu huyu anapo okoka au kusilimu na kuwa swala tano, hushift imani aliyo nayo kwake na kuihamishia kwa Mungu jambo ambalo ni haramu machoni pa Mungu.

( UNAPO SHIFT IMANI YAKO KUTOKA KATIKA KUAMINI UWEZO WAKO MWENYEWE NA KUIHAMISHIA KWA MUNGU NI SAWA SAWA NA KUCHUKUA MAJI KUTOKA KWENYE KISIMA CHAKO NA KWENDA KUYAMWAGA BAHARINI HUKU UKIAMINI KWA KUFANYA HIVYO UNAIFURAHISHA BAHARI WAKATI BAHARI WALA HAI HITAJI MAJI YAKO )

Kama ni mfanyabiashara basi badala ya kutumia akili, uwezo, ufahamu na maarifa aliyo nayo kuhusu biashara yeye atabaki kusema Mungu ndo anae toa rizki kwa hivyo ata elekeza energy yake katika kusali/kuswali zaidi badala ya kutumia maarifa yake zaidi.

Mwisho wa siku mtu huyu biashara yake itafeli.

KWANINI NASEMA KUELEKEZA IMANI YAKO KWA MUNGU NI HARAMU?

KWA sababu Mungu hahitaji wewe uamini kwamba yeye ana nguvu ZOTE ana uwezo wote ana uwezo wa kufanya KILA kitu.

Mungu tayari vitu hivyo anavyo na wewe kusema kwamba Mwenyezi Mungu ana nguvu, Mwenyezi Mungu ni MUWEZA wa YOTE, you are not doing any favour to him. You are just repeating what he already knows a long time ago.

( Machoni pa Mungu?mwanadamu anae enda kwenye nyumba ya ibada na kuanza kusema Mwenyezi Mungu wewe ni Mungu mwenye Nguvu mwingi wa rehma, MUWEZA wa YOTE nakadhalika, hana tofauti na yale mapepo yaliyo kuwa yamemvaa yule mwendawazimu aliye kumbana na Yesu Masiha pale Gadarene( Mark 5)

Biblia inasema mapepo hayo yalipo muona Yesu yalianza kulia huku yakimwambia Yesu " Yesu Mwana Wa Mungu aliye juu kabisa ( God the most high) tafadhali tunakuomba usitutoe ndani ya mtu huyu.

Lakini hata hivyo pamoja na kuyatukuza majina ya Mungu Yesu ali yatoa ndani ya mtu huyo.

Hii ni kwa sababu Mungu hahitaji kupewa sifa yoyote ile na kiumbe chake. He has nothing to do with it.

Watu wengi wanao enda kwenye nyumba za ibada kumsifu na kumtukuza Mungu kwa sifa zake huwa wanaishia kuwa cast out of their rightfully seats of authority.

Mwisho wa siku wanaishia kusema watu wasio fanya ibada wanafanikiwa katika maisha kwa sababu ya uchawi. Hell no.

God the Almighty doesn't need to praise him. KWANZA mwanadamu hana Maneno yanayo jitosheleza kuelezea sifa za Mungu and this has been proved by nature.

Wanasayansi Wana kubakubaliana kwamba machozi ni Maneno ambayo mtu ameshindwa kuyaelezea.

SASA kama huwezi kuyaelezea machozi tu utaweza vipi kumuelezea Mungu?

Kama ambavyo hakuna Maneno yanayo weza kuelezea machozi BASI hivyo hivyo hakuna Maneno yanayo weza kumuelezea Mungu.

Njia pekee ya kuelezea imani YAKO KWA MUNGU ni matendo YAKO na tendo pekee linalo weza kuelezea imani YAKO KWA MUNGU ni pale Unapo uamini uwezo wako KWA sababu hata Mungu pia ana uamini uwezo wako.

When your are praising God with words , you are not impressing him anyhow.

And you are not changing or adding anything to him.

MUNGU ANATAKA UAMINI KITU GANI SASA?

Mungu anataka ukiamini wewe mwenyewe. Mungu anataka u uamini uwezo akili, akili zako, maarifa YAKO, ufahamu wako na nguvu zako wewe.

Anataka kile unacho amini kuhusu Mungu ukiamini kuhusu wewe na sio vinginevyo.

KITU GANI HUTOKEA PALE MWANADAMU ANAPO SHIFT IMANI YAKE KWA MUNGU NA KUIELEKEZA KWAKE YEYE MWENYEWE.

Kwa kufanya hivyo mwanadamu hupata faida zifuatazo:

1. A human being who believes in his power more than the power of his creator share the same belief as his creator because the creator believes in his creation.

So uki amini katika nguvu zako jua upo pamoja na Mungu katika imani. KWA sababu hata Mungu pia ana amini katika nguvu zako na uwezo wako.

Kitu pekee kinacho weza ki draw attention ya Mungu kwako ni pale wewe mwenyewe Unapo amini katika nguvu zako.

Unapokuwa una amini katika nguvu zako tafsiri yake ni kwamba una amini katika nguvu na uumbaji wa Mungu kwa sababu Mungu ndio amekuumba wewe na Mungu huumba vitu ambavyo vina reflect nguvu zake na uwezo wake.

Hii dhana kwamba eti binadamu ni kiumbe dhaifu ni kufuru kubwa sana kwa Muumba.

Unaposema binadamu ni dhaifu tafsiri yake ni kwamba Mungu ndio dhaifu kwa sababu Mungu ndio kamuumba mwanadamu.

Ni sawa na kusema " Mercedes Benz ni gari dhaifu" ukisema mercedes ni gari dhaifu jua hujaitukana mercedes benz ila imeitukana teknolojia ya mjerumani ambayo ndio imetumika KUTENGENEZA mercedes benz. KWA hiyo kuanzia leo Shekhe au Mchungaji yoyote akikwambia wewe ni dhaifu Mwambie mimi sio dhaifu labda wewe ndio dhaifu.

Mungu alikuumba ukiwa umekamilika na alipendezwa na kitu alicho kiumba.

Kabla hajakuleta duniani Mungu aliweka ndani YAKO KILA kitu unacho kihitaji ( Ufalme wa Mungu upo ndani YAKO/ Ufalme wa Mungu= Nguvu/mamlaka ya Mungu)

Duniani hakuna kitu chochote kile kinacho weza kukushinda. Hakuna jini SHETANI mganga wala mchawi anae weza kumshinda mwanadamu anae ijua na kui ishi siri hii kwamba Nguvu za Mungu zipo ndani yake na kwamba anacho takiwa kufanya ni kuamini na kuzitumia.

Wachawi waganga mapepo majini na mashetani huwaga wanahangaika na the regular christians and muslims ambao bado wanaishi katika u-ignorance. Wanao enda kanisani na msikitini kutafuta nguvu za Mungu wakati nguvu za Mungu zipo ndani yao.

Mchawi hawezi kukuogopa kwa sababu anajua ur ignorant of your powers.

Start believing in urself and u will come to thank me.

Since I knew this secret my life has changed for better.

Hakuna mchawi wala mganga wala jini wala pepo yoyote yule anae weza kuni defeat .

The one thing that I can tell Lucifer is that " Hey Mr. Lucifer between me and you the one who is afraiding of your powers is you"

Yani ni sawa na Mandonga kamkwida Muhammad Ali( hata roho haidundi)

Mwanadamu unapo enda kumuomba Mungu AKUSAIDIE jambo ambalo Mungu anajua ndani YAKO ameweka tayari amekupa uwezo wa kulifanya jambo hilo una muhuzunisha sana. Yani ni sawa na mtoto wako mwenye umri wa miaka kumi na nne ana kuja kukuomba wewe baba ake au mama ake ukamtawadhe wakati anajua umefikia umri wa kujitawadha mwenyewe..

Ndio maana ukichunguza vizuri utagundua kuwa watu wanao sema kuwa Mungu hajibu maombi wengi wao ni waislamu kwa wakristu.

Simply kwa sababu ya siri hii.

Stop making God sad. Start believe in urself..

Ur brains are a very very powerful weapon. If you don't use them properly your enemy can use them against you because he is attracted to their powers. He wish to be the one possessing the powers of your brains .

( I have said your brains because humans have three brains/ this will be a topic for another day )

Ukianza kuamini katika uungu uliopo ndani YAKO hii dunia unayo ishi itabadilika na kuwa paradiso.

Utaona jinsi mambo yanavyo badikika for good.

Anza sasa. Bado hujachelewa.

# Tatizo kubwa la Mungu kwa wanadamu sio wanadamu kushindwa kumuamini yeye la hasha. Mungu hana uhaba wa watu Wana amini katika nguvu zake hata kidogo. Tatizo kubwa la Mungu kwa wanadamu ni wanadamu kuto amini nguvu za Mungu ambazo ameziweka ndani yao.

Wewe mwenyewe ndio uchague either kuwa tatizo au kutokuwa tatizo machoni pa Mungu
Uzi na kichwa havijaoana, ebu fungisha ndoa hapo chap
 
Back
Top Bottom