Una mtazamo gani kuhusu kumpa mwanamke pesa baada ya kulala naye?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,796
32,148
Habari wana JF

Ni matumaini yangu hamjambo wote mnaendelea vizuri. Kwangu mimi kuna suala lanitatiza kidogo hapa.

Et wanaume wezangu baada ya sex ni lazima kumpa mwanamke hela au demu wako unayempenda?

Kwangu naona kama nikimpa hela kwa muda huo naona kama anajiuza kwangu yaani kama nimelala na wafanyabiashara wa ngono.

Nimekuwa na desturi ya kutotoa hela baada ya sex lakini watu ninaokutana nao wanalalamika eti hata hujanipa hela.

Nisaidieni hapo
 
Sio lazima kumpa hela mkuu

Na ikiwa wengne wanakulalamikia hujawapa pesa ni sahih tu coz hakuna faida yyte Acha walalamike tu,
Mwanaume inatakiwa ujijali kwanza ww then ndo wafate hao wanawake ikiwa kutakuwa na nafasi
ACHA WAKULALAMIKIE TU KIKUBWA UKIWA UNAWAPELEKEA MOTO VIZUR WATAKUWA WANAKUFATA TU WENYEW
 
Habari wana JF

Ni matumaini yangu amjambo wote mnaendelea vizuri. Kwangu mimi kuna suala lanitatiza kidogo hapa.

Et wanaume wezangu baada ya sex ni lazima kumpa mwanamke hela au demu wako unayempenda?

Kwangu naona kama nikimpa hela kwa muda huo naona kama anajiuza kwangu yaani kama nimelala na wafanyabiashara wa ngono.

Nimekuwa na desturi ya kutotoa hela baada ya sex lakini watu ninaokutana nao wanalalamika eti hata hujanipa hela.

Nisaidieni hapo
Ngono ili ifanyike lazima kuwe na transaction. Na transaction inaweza kuwa ni ndoa au malipo kabla na baada ya tendo lenyewe. Kwa hiyo suala zima la ngono ni biashara kama biashara nyingine
 
Back
Top Bottom