suti

Suti is a town, with a police station, not identified in 2011 census as a separate place, in the Suti II CD block in the Jangipur subdivision of Murshidabad district in the state of West Bengal, India.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwambieni huyo Mgaigai ( Mshamba ) wenu wa Kikongo kuwa Suti huwa haichomekewi anaharibu na anaboa sasa

    Halafu mwambieni kwa huo Upuuzi wake ambao kuna baadhi ya Wapuuzi wanaufurahia Kibiashara anaweza akawa anajifungia Milango ya kupata Endorsements nyingi na Watu serious na akaishia tu kupata hizo Fedha za Magodoro yenye Kunguni na Vyura ndani yake na Kumiliki hilo Gari ambalo anadhani ni lake...
  2. Kenya: Kaunda suti haziruhusiwi ndani ya Bunge

    Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang'ula amepiga marufuku mavazi yasiyo rasmi ndani ya eneo la bunge. Wetang'ula alisema kanuni hiyo inawahusu Wabunge wote, wasio wafanyakazi, wawakilishi wa vyombo vya habari na wageni Pia alieleza kuwa wasio wabunge ni lazima wakati wote wavae vitambulisho...
  3. F

    Kama wewe unajua kuuza. Biashara ya U MC wa Harusi ndie biashara nyepesi kukupa faida ya milioni 20 kwa mwezi. Kwa mtaji wa mdomo wako tu na suti

    Habari wadau. Kwenye jukwaa la biashara leo tuongelee kuhusu biashara ya ku sherehesha sherehe. Ni biashara ambayo watu wengi hawaiwazi. Ila inaingiza hela nyingi sana kama faida. Unapaswa kuwa mjanja kuelewa biashara yao wanavyoifanya na cost wanazotumia. Hiyo biashara imejigawa pande...
  4. Nashauri Pascal Mayalla ateuliwe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara

    Ndugu yetu Pascal Mayalla amesugua benchi sana. Na kama kutumia uwezo wake kuwashawishi viongozi, ametumia wote. Ni muda mwafaka sasa wa mwana JF mwenzetu kuukwapua ukuu wa wilaya ya mtwara. Bwana Pascal Mayalla anayohaiba ya kuwa mkuu wa wilaya na anaijua miiko ya uongozi. Napaza sauti yangu...
  5. Panya road waliovaa suti?

    Msanii Nay wa Mitego, ameshusha Ngoma mpya humo ndani wanatajwa Panya Road, waliovaa suti mm bado sijawajua hao Panya Road waliovaa suti ni wa kina nani. Mwenye uelewa tafadhali.
  6. Unaweza kushona/kutengeneza mfano wa zile suti za superheroes kama(Spiderman, Superman...)

    Habari zenu wakuu? Nahisi kichwa cha uzi kinajitosheleza, japo kwa kuongezea kama wewe ni mmoja kati ya wanaoweza/kumfahamu anayeweza naomba tuwasiliane. Njoo PM chap kwa haraka tufanye biashara.
  7. Zelensky kutokupigilia suti kama marais wenzake, kung'angania tisheti casual na combat inadhalilisha Ukraine

    Kwanini asivae suti kali? Kwanini avae tisheti tu? Mbaya zaidi hata anapokutana na delegations za nchi nyingine, pamoja na mikutanoni yeye ni matisheti tu. Why? Yaani unakuta hadi walinzi na madereva wa hao viongozi wengine wamenyuka misuti mikali mikali halafu rais wanayempokea/pokelewa naye...
  8. Vijana wa Chadema msiwe na hofu mimi sio mwanaCCM kuvaaa kaunda suti ya kijani sio kwamba mimi kada. Ila CCM wanajitahidi kumantain political of peace

    Just imagine unavaa kaunda suti ya kijani kisa tu vijana wa Chadema wanakujua wewe ni Idugunde basi kila mtu anaaanza kukughasi umnunulie bia. By the way nilikuwa Singida naangalia mechi ya Yanga na big stars sasa ninadrive mkweche wangu kwenda Igunga. Nimekula kuku , balimi extra lager na ...
  9. Suti aina ya Zoot kama anavyoielezea Malcom X

    Kwenye biography yake, Malcom X anaelezea jinsi alivyonunua suti aina ya zoot alivyofika jijini Boston. Suruali ya bluu, magotini ikiwa na upana wa nchi thelathini, kisha inapungua upana kuelekea chini hadi kufikia upana wa nchi kumi na mbili kwenye pindo la chini. Koti lake lilikuwa refu...
  10. Kama Yesu alivishwa sanda alipofariki, ninyi Wakristo mambo ya kuvishana suti mmetoa wapi?

    Naam, Kama tulivyojadili katika kipande cha kwanza sasa kuhusu Sanda hii ambayo Jamii kubwa miongoni mwa wakazi wa Dunia hii huamini ni Nguo takatifu aliyovikwa bwana baada ya kusulubiwa. Kitambaa hiki kulingana na tafiti inaonyesha Taswira ya Mtu aliesulubiwa na kusulubiwa ilikuwa adhabu ya...
  11. INAUZWA Pata suti kali kwa bei ofa

    Suti_mikoani ni wauzaji wa suti za kiume Kwa ajili ya sherehe za harusi, ofisini, vikao na matukio maalumu. Tunatuma mikoani kwa uhakika na haraka zaidi na wateja wetu wa Dar es Salaam tunafanya free delivery. Wateja wetu karibuni dukani kwetu. Tucheki kupitia namba hii; call/WhatsApp...
  12. Niwafanye nini viumbe hawa wameharibu suti yangu

    Hawa viumbe wanaifanya wikend nione chungu wameharibu suti nilitaka kuivaa kesho kwa mzee wa upako, niwape adhabu gani maana bado wapo hai!
  13. Baada ya Kuwamaliza vigogo wa Al-Quaeda Sasa tuwageukie Magaidi wavaa suti wa Washington

    Osama bin laden- Founder Hamza bin laden- Hero Ayman al zawahiri -Technician Al Baghdad- Friend Murra Omari- father in law Abu-ibadah Al bashir- fonder of Al quaeda second in command killed in MV bukoba crush Nadhani tumewamaliza wengi kwa upande huu Sasa ni zamu ya Magaidi wa washing ton kama...
  14. Maujanja ya Suti

  15. Wapenda Kula Ndizi na Kulamba Ice Cream za 'Kibaiolojia' mkiwa na Suti zenu za Uumbwaji acheni kwani HIV 'Kajibanza' huko sana

    Sasa Wewe jifanye unajua sana ' Malavidavi ' na unataka kuonyesha Mbwenbwe zako Kitandani Ufe. Kwanza kwa Maisha haya Magumu nyie Mabwege mnaopenda sijui Kulamba Ice Cream na Kula Ndizi mkiwa ' Mnabanjuana ' mnaupata wapi huo muda? Pateni Nakala ya Gazeti la Nipashe la Leo ili mjue mengi zaidi...
  16. M

    Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa

    Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa (Mkuu wa Jopo la Mawakili) wa hovyo hovyo waliojitutumua Kupambana na Wakili Msomi Mmoja tu Raia wa Ghana huko CAS Bernard Morrison na leo Kawaumbua. Kuna Wakili Msomi Mmoja (tena Mwandamizi tu) aliwahi kunipa Takwimu za Kesi...
  17. V

    INAUZWA Wauzaji wa suti genuine kutoka Uturuki na Italy

    Karibuni smart collection ni wauzaji wa suti genuine kutoka Italy na Uturuki Suti zetu ni slim body Size 32mpka 40 unapata Kwa bei ya Tsh 250,000 Utapata koti kizibao na suruali Tuko kariakoo Mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa Whatapp 0657710078
  18. Niliwasha Moto mahali kwa bahati mbaya ukaunguza nyumba 300

    Nilikuwa na shamba langu mahali Fulani mwaka fulani nilienda kulisafisha nilipowasha mabiwi ya majani Moto ukanishinda nguvu kwasababu niliwasha mchana wa jua Kali. Moto unaenda Kijiji I kuchoma nyumba 300 mnisamehe. Sipendi ujinga. Kisa Cha kwanza. Meya wa mji x aliniita lofa mbele ya watu...
  19. 1910 suti ya vipande vitatu na kofia ilikua ndiyo vazi la heshima kwa wanaume

    Ukitoka nje ya nyumba yako unakubalika katika jamii ukiwa na vazi hili. Kuvaa jeans na t-shirt ilionekana si ustaarabu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…