Baada ya Kuwamaliza vigogo wa Al-Quaeda Sasa tuwageukie Magaidi wavaa suti wa Washington

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,098
9,994
Osama bin laden- Founder
Hamza bin laden- Hero
Ayman al zawahiri -Technician
Al Baghdad- Friend
Murra Omari- father in law
Abu-ibadah Al bashir- fonder of Al quaeda second in command killed in MV bukoba crush

Nadhani tumewamaliza wengi kwa upande huu
Sasa ni zamu ya Magaidi wa washing ton kama huyu

download (39).jpeg

Anarekodi ya kuua zaidi ya watu Elf 10 laia wasio na hatia wa Iraq. Sijasema Afghanistan na kwingineko. Anamkono wa Damu
 
Ilikuwa Hakuna jinsi wasio na hatia wachache wafe Ili kuokoa wengi watakaokufa bila hatia kutokana na matendo ya ugaidi.
Magaidi walikuwa wanashambulia kisha wanakwenda jificha kwa raia kama kinga, njia pekee ilikuwa ni bora kuuwa magaidi na raia kwa pamoja Ili kuokoa raia wengine wasijeuliwa na magaidi.
 
Osama bin laden- Founder
Hamza bin laden- Hero
Ayman al zawahiri -Technician
Al Baghdad- Friend
Murra Omari- father in law
Abu-ibadah Al bashir- fonder of Al quaeda second in command killed in MV bukoba crush

Nadhani tumewamaliza wengi kwa upande huu
Sasa ni zamu ya Magaidi wa washing ton kama huyuView attachment 2312670
Anarekodi ya kuua zaidi ya watu Elf 10 laia wasio na hatia wa Iraq. Sijasema Afghanistan na kwingineko. Anamkono wa Damu
Magaidi wanahatarisha amani na ustawi wa dunia popote walipo lazima wasakwe na wauwawe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Osama bin laden- Founder
Hamza bin laden- Hero
Ayman al zawahiri -Technician
Al Baghdad- Friend
Murra Omari- father in law
Abu-ibadah Al bashir- fonder of Al quaeda second in command killed in MV bukoba crush

Nadhani tumewamaliza wengi kwa upande huu
Sasa ni zamu ya Magaidi wa washing ton kama huyu

View attachment 2312670
Anarekodi ya kuua zaidi ya watu Elf 10 laia wasio na hatia wa Iraq. Sijasema Afghanistan na kwingineko. Anamkono wa Damu
mtawaweza hawa?
 
Back
Top Bottom