sumu

  1. JamiiForums Tanzania Maziwa ni sumu mwilini

    Mwana jamvi, pengine unahisi nimekosea. Hapana sijakosea iko hivi, wengi tunatambua maziwa kama agent wa kuua sumu mwilini, hasa pale mtu anapozamilia kujitoa uhai akanywa sumu tunamuwahi kwa maziwa. Hiyo ni faida ndogo sana ukilinganisha madhara u anayoyapata kwa kutumia maziwa mara kwa mara...
  2. JamiiForums Tanzania Bee Venom: Zao la Sumu ya Nyuki na uvunaji wake

    Nchini Tanzania ni kama maeneo mbalimbali barani Afrika, kumekuwa na ufugaji wa nyuki kwa ajili ya uvunaji wa mazao yake ili kujipatia fedha lakini bahati mbaya kumekuwa na uvunaji wa mazao machache huku mazao mengine yakiwa hayajulikani. Kwa ufugaji wa kisasa Nyuki huvunwa mazao sita ambayo ni...
  3. JamiiForums Tanzania Vyakula ambavyo ukichanganya tuu vinageuka sumu

    Limeandikwa na BBC Aina sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa hugeuka sumu 21 Agosti 2021 Imeboreshwa 10 Septemba 2021 Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine. Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya...
  4. JamiiForums Tanzania Watu 12 wafariki DR Congo kutokana na mgodi uliovuja sumu Angola

    Karibu watu 4,500 wameugua kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia kuvuja kwa sumu kutoka kwa mgodi wa almasi katika nchi jirani ya Angola, waziri wa mazingira anasema. Eve Bazaiba alisema watu 12 walikuwa wamefariki dunia. Alisema kuwa DR Congo itauliza fidia ya uharibifu...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanzo nilijua ni allergy kumbe ni aina ya sumu nilitengeneza mwilini bila kujua

    Niliwahi kuwa nawashwa sana masikio kwa ndani, nilijaribu sana kwenda hospitali nikatumia dawa zikawa zinatuliza ila sikujua kuwa kuna kitu ninachokula karibia kila siku ndio kinacho tengeneza sumu kwenye damu kiasi kwamba nikila Karanga, Tangawizi, Parachichi… nasikia masikio yana washa sana...
  6. JamiiForums Tanzania Brazil: Sumu ya Nyoka ‘jararacussu’ Yabainika Inaweza Kupambana na Covid-19

    Watafiti nchini Brazil wamegundua aina ya nyoka ya jararacussu ambaye sumu yake ina protini ambzo zinavyoweza kupambana na #COVID19 Vitu vinavyopatikana katika sumu ya Jararacussu inaweza kupambana na PLPro ambayo ni enziyamu ya Corona bila kuathiri seli nyingine, ufanisi wake ni 75%...
  7. JamiiForums Tanzania Aina ya Sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa vinaweza kuwa sumu

    Aina ya sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa hugeuka sumu. Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine. Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya. Wengine huumwa hadi kusababisha kupoteza uhai na hii ni baada...
  8. JamiiForums Tanzania Ifahamu sumu aina ya cyanide katika mihogo na majani yake

    Nimesoma katika health journal moja linasema mihogo na kisamvu ni vyakula hatari kuhifadhiwa ndani ya nyumba hasa jikoni. Vyakula hivi vina sumu aina ya cyanide ambayo humuua binadamu haraka sana. Moja ya dalili za sumu hii kwa mwanadamu ni kizungu zungu, kuuumwa kichwa, kuharisha na...
  9. JamiiForums Tanzania Nigeria: Watu 24 wa familia moja wafariki kwa kula sumu

    Watu 24 wa familia moja wamefariki dunia baada ya kula chakula kinachohisiwa kuwa na sumu Kaskazini Magharibi mwa Nigeria katika jimbo la Sokoto. Kamishna wa Afya wa jimbo hilo, Ali Inname amewaambia waandishi wa habari kwamba familia hiyo ilitumia kimakosa kemikali ya mbolea ambayo ilionekana...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uvumilivu wa kisiasa usio na ukomo ni sumu ya uvumilivu wa kisiasa

    Uvumilivu wa kisiasa ni miongoni mwa kanuni kuu katika dhana ya demokrasia. Hata hivyo katika jamii yetu bado tunahitaji kuukubali ukweli huu ili kuwa na demokrasia yenye kuchochea utawala bora katika nyanja zote. Kuna umuhimu na ulazima mkubwa wa kutambua kuwa, si kila mtu atakuwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Sumu gani inaua mbwa au paka haraka?

    Samahani naomba mnisaidie ni sumu ipi inaua mbwa maana wanakula vifaranga na wanaingia ndani kula mayai, nilimtega kwa sumu ya panya anapeta tu mtaani Nahitaji msaada wenu maana nikimuacha atamaliza kuku wangu.
  12. JamiiForums Tanzania Kabla hamjamshitaki Mbowe kwa tuhuma za ugaidi kamilisheni uchunguzi wa sumu aliyopewa Mangula

    Naliomba jeshi la polisi likamilishe uchunguzi wa nani alimpa Mangula Sumu na ni nani aliemshambulia Lisu kwa risasi ili wote wajumuishe kwenye mashtaka ya kuua viongozi na ugaidi kama mnavotaka kufanya Kwa Mbowe! Huku mtaani kuna tetesi zinazagaa kuwa Mama umesimamishwa Uongozi wako na Jeshi...
  13. T

    JamiiForums Tanzania SoC01 Simu imekuwa kama Nyoka kwenye Mahusiano, Mapenzi na Urafiki. Sumu yake ni hatari sana

    Wana JF, salaam nyingi. SUMU YA SIMU NA SUMU YA NYOKA: “Naongea na simu”. Siku hizi simu zinatoa sumu kali sana, hadi kuua zinaua. Hebu tulia kidogo, kisha fananisha kidogo simu yako na nyoka. Vipi, simu yako mara ya mwisho kutoa sumu ni lini? Nyoka asipotoa sumu hana madhara, lakini akitoa...
  14. JamiiForums Tanzania Watu sumu tuko wengi kila mtu kwa namna yake

  15. JamiiForums Tanzania Kuna madhara yoyote kula nyama ya mnyama aliyeuawa kwa sumu?

    Kuna kuku wangu hapa amekula sumu ya panya nikamkuta amelegea nikamuwahi kumchinja sasa hapa mguu nje mguu ndani kuhusu kumla. Yaani kuna akili inanijia nimuepuke wakati huo si mara ya kwanza kula nyama ya namna hiyo basi nachanganyikiwa tu. Nimeshakula nyama zilizotokana na ajali ya kugongwa...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Kifo cha ghafla cha Mfugale sawa na Prof. Chachage: Kuna viashiria vyote vya kupewa sumu. Serikali ichunguze

    Habari wana JF. Leo nimefuatilia live wakati Eng. Mfugale anaagwa Dar. Kwa maelezo machache ya familia, idara na wizara ni wazi kabisa Eng. Mfugale alipewa sumu. Wito wangu kwa Serikali ifanye uchunguzi wa kina kwa kutumia vyombo na njia zote. Kwa sababu bado hajazikwa nafasi ya uchunguzi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Zifahamu sumu zinazotumiwa na majasusi kuua watu

    Mnamo agosti tarehe 20 mwaka wa 2020, kiongozi wa Upinzani wa Urusi na mwanaharakati wa kupambana na ufisadi Alexei Navalny aliwekeea sumu ya kulemaza neva kwa jina Novichok na kukimbizwa akiwa hospitalini katika hali mbaya . Uchunguzi ulionyesha kupatikana kwa smu hiyo katika damu yake na hilo...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini wanasema simu ya mpenzi wako sumu?

    Wengi wanajutia au hata kufurahia uamuzi wao wa kujikuta wanachungulia ujumbe na mawasiliano ya wenzao katika simu zao za mkononi lakini matokeo yake ni jambo ambalo hawakulipangia. Ni kifaa kidogo cha mkononi ambacho kilifaa kurahisisha mawasiliano miongoni mwa watu. Lakini sasa hivi kama...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Washika dau kwenye soko la mahindi Tanzania wakiri wenyewe tatizo la sumu ni changamoto kwao huko

    Wamekutana na kujadili namna ya kushughulkia hilo tatizo ili kuboresha soko ukanda wote huu, ikikumbukwa walivyopiga makelele wakati walipoambiwa warekebishe, wenyewe wanafahamu hilo tatizo kimya kimya halafu walitaka kulazimisha kwa kupiga ukunga. Wamelalamika kwamba TBS ndio huwakwamisha kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Tabora: Mganga wa jadi afariki akinadi kinga yake dhidi ya sumu

    Mtu mmoja ambaye amebainika kuwa ni mganga wa jadi, Robert Masumbuko, amefariki dunia mkoani Tabora wakati akijaribu kuwaaminisha wateja wake kwamba ana uwezo wa kuwapatia kinga dhidi ya sumu yoyote ambayo mtu anaweza kuinywa pasipo kudhurika. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Safia Jongo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…