sumu

  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi wamkamata kijana akisafirisha vipodozi vyenye sumu

    Mnamo tarehe 06.03.2022 majira ya saa 02:00 usiku, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lilifanya msako huko Kata ya Chimala, Tarafa ya Ilongo Wilaya ya Mbarali, Mkoa wa Mbeya na katika msako huo alikamatwa mtuhumiwa EMANUEL MSIGALA [42] Mkazi wa Uyole – Mbeya akiwa amepakia na kusafirisha vipodozi...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Lindi: Mama amnywesha mwanaye wa mwaka mmoja sumu kwa kushindwa kukaa naye

    WATOTO wawili mkoani Lindi wamefariki dunia katika matukio tofauti, likiwamo la mama mzazi kudaiwa kumnywesha sumu ya kuua magugu kutokana na kinachodaiwa kuchukizwa na kitendo cha mkwe wake kukataa kumchukua mjukuu wake huyo. Kwa mujibu wa taarifa kutoka wilayani Nachingwe na Ruangwa...
  3. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Ukatili wa kijinsia ni ‘sumu’, Watanzania wapewa somo la utayari wa kutoa taarifa

    Jamii imetakiwa kuwa tayari kutoa taarifa za matukio ya ukatili wa kijinsia katika jamii ikiwemo ukeketaji kwa watoto wa kike ili kuleta usawa. Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Amon Mpanju wakati akifungua Kongamano la Kitaifa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rwanda yapata chanzo kipya cha umeme kutokana na gesi ya sumu

    Nchi ya Rwanda imefanikiwa kupata chanzo kipya cha umeme kupitia gesi ya methane iliyoko ziwa kivu ziwa lililobatizwa jina la utani la killer lake mpaka sasa inakadiliwa kuwa chanzo hicho kipya cha umeme kitaweza kuchangia hadi 30% ya matumizi ya umeme wa nchi nzima
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mwanamke amuua mama mkwe wake kwa sumu

    Jeshi la polisi linamshikilia mwanadada NEEMA MWAMBUSI USWEGE(29) mkoani Mwanza kwa kosa la kumlisha mama mkwe wake sumu kwenye chakula na kumsababishia umauti. Inadaiwa kuwa mama wa JAMES BULAYA (38) bi ANETH MANYIRIZU umemkuta umauti huo tarehe 13/1/2022 saa 12:00 mchana alipopelekwa...
  6. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Nimemkuta masai amesimamia ng'ombe wale ndani ya shamba langu la mazao kusudi, ni sumu gani inauwa ng'ombe taratibu niwafunze adabu?

    Kama Bashe mwenye wizara yako upo humu utaniwia radhi kwani hawa wamasai wamezidi dharau. Leo nimemkuta masai anachunga ndani ya shamba huku akipawabembeleza ng'ombe wake kwa miruzi wale shambani kwangu jambo ambalo nimewaza nimeona njia rahisi ni kpuliza sumu ndani ya shamba yeyote...
  7. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yashikilia meli iliyosheheni sumu ya nyuklia iliyokuwa inapeleka Tanzania

    Mashini za kukagua miyonzi ya nyuklia zinaonyesha humo kuna kontena moja lenye sumu ya nyuklia, kulingana na sheria za kimataifa, Kenya inalazimika kuagiza meli irudi ilikotoka kule India, ila sasa Watz watang'aka kwamba wanahujumiwa, itabidi waalikwe waje waone wenyewe kwanza, maana hata sijui...
  8. scatter

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoona mbali, Waziri Ndalichako ni sumu kwenye mfumo wa elimu

    Kwa muongo mmoja uliopita umuhimu wa elimu ulikuwa na thamani sana kwa vijana maana thamani yake iliendana na mazingira yaliyokuepo na watu wengi walitamani kupata elimu ili waweze kujikomboa kiuchumi Baadaya ya muongo mmoja kupitia, hali iliyopo sasa KWA TANZANIA SIO DUNIANI KOTE elimu...
  9. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Fira: ni nyoka wenye sumu ambao ni wana wa nusufamilia Elapinae katika familia Elapidae

    Uainishaji wa kisayansi Himaya:Animalia (Wanyama) Faila:Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni) Nusufaila:Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo) Ngeli:Reptilia (Wanyama wenye damu baridi na magamba ngozini) Oda:Squamata (Mijusi, mijusi-nyungunyungu na nyoka) Nusuoda:Serpentes (Nyoka)...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Chanjo hazina viambata hatari na sumu

    Je, chanjo zina viambato hatari na sumu? Hapana. Ingawa viambata vilivyo kwenye lebo za chanjo vinaweza kutisha, (k.m. zebaki, alumini, na formaldehyde) kwa kawaida hupatikana katika mwili, chakula tunachokula na mazingira yanayotuzunguka - kwa mfano, katika tuna. Kiasi katika chanjo ni kidogo...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Pata huduma ya Kusafisha tumbo. Kile unachokula ndicho kinachokuja kuwa sumu mwilini kwako !

    Copy & Paste kutoka kwenye hii link ya Group la WhatsApp. Safisha tumbo lako mara kwa mara ili uboreshe afya yako. Afya yako ni mali zaidi ya mali yako! Chanzo kikuu cha magonjwa mengi ni matokeo ya chakula tunachokula kugeuka kuwa sumu mwilini. Ndio maana Watalaam wa afya wanahimiza sana...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Aina sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa hugeuka sumu

    Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine. Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya. Wengine huumwa hadi kusababisha kupoteza uhai na hii ni baada tu ya kupendelea kuchanganya chakula. Mtu mmoja anaweza kula...
  13. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania Madodoso ya namna hii ni sumu inayoua ufanisi wa kazi, ndiyo maana taasisi nyingi za umma tija ni ndogo

    Nikiambiwa nim-rate huyu mkuu wa idara aliyeandaa hili dodoso kwa wafanyakaze wake basi nitampa 0/5. Huyu hata taratibu na sheria za utumishi wa umma hazijui na kama anazijua basi ameamua makusudi kuihujumu taasisi yake. Kiwango cha ufanisi wa mfanyakazi hupimwa kwa OPRAS na sio kwa madodoso ya...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Demokrasia na umaskini ni kama mafuta na maji, umaskini ni sumu ya demokrasia

    Bila kuuondoa umaskini ni vigumu sana kusimika demokrasia. Nchi zote zenye demokrasia iliyoshamiri zimefika hapo baada ya kupiga hatua kubwa kuuondoa umaskini. Mambo matano ya yanayofanya umaskini kwa sumu kwa demokrasia ni; 1. Umaskini unadumuza kwa kiasi kikubwa uwezo wa raia kufikiri na...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TBS: Juisi ya Ceres yenye sumu haijaingia nchini

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wamesema sharubati(Juisi) ya Ceres ambayo ilitahadharishwa kuwa na sumu kuvu haijaingia nchini Tanzania Mamlaka ya Kimataifa ya Kudhibiti Usalama wa Chakula(INFOSAN) ambayo ipo chini ya FAO na WHO walitahadharisha kuhusu juisi hiyo TBS walichukua hatua ya...
  16. sinajinasasa

    JamiiForums Tanzania Mnajenga Hospitali za nini?

    Watu ni wajinga sana, kitu cha maana wanachokiona ni kujengewa zahanati kila kijiji, lakini nawaambia hivi Medical system yoyote pale duniani zinafanana kwa principle zake za uendeshaji. Medical system haipo kwa ajili ya kutibu na kufuta magonjwa bali kuyaongeza na kuyaongeza zaidi, watu...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kumwacha jela kifungo cha mwaka kutasaidia kutoa sumu ya ulevi wa pombe?

    UPDATE: Nimepewa wazo na Mshana Jr na Daudi Mchambuzi kumuacha Polisi au mahabusu muda mrefu, Bado naendelea kupokea maoni Kuna ndugu yangu ni mlevi sana, Mara kwa mara nimelazimika kumtoa kituo cha polisi kwa kuwapa pesa za kubrashia viatu ma afande ambao tunajuana, Matatizo hayo yanatokea...
  18. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na hizi tabia 9, jiandae kufa maskini wa kutupwa

    "Umasikini hauji kwa bahati mbaya kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela, R.I.P) _"Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si kila mtu yuko tayari kushika majukumu na wajibu wa kumpeleka kwenye mafanikio"(Mwl Nyerere, R.I.P)...
  19. Candela

    JamiiForums Tanzania Maziwa ni sumu mwilini

    Mwana jamvi, pengine unahisi nimekosea. Hapana sijakosea iko hivi, wengi tunatambua maziwa kama agent wa kuua sumu mwilini, hasa pale mtu anapozamilia kujitoa uhai akanywa sumu tunamuwahi kwa maziwa. Hiyo ni faida ndogo sana ukilinganisha madhara u anayoyapata kwa kutumia maziwa mara kwa mara...
  20. Fred Katulanda

    JamiiForums Tanzania Bee Venom: Zao la Sumu ya Nyuki na uvunaji wake

    Nchini Tanzania ni kama maeneo mbalimbali barani Afrika, kumekuwa na ufugaji wa nyuki kwa ajili ya uvunaji wa mazao yake ili kujipatia fedha lakini bahati mbaya kumekuwa na uvunaji wa mazao machache huku mazao mengine yakiwa hayajulikani. Kwa ufugaji wa kisasa Nyuki huvunwa mazao sita ambayo ni...
Back
Top Bottom