Ifahamu sumu aina ya cyanide katika mihogo na majani yake

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Nimesoma katika health journal moja linasema mihogo na kisamvu ni vyakula hatari kuhifadhiwa ndani ya nyumba hasa jikoni. Vyakula hivi vina sumu aina ya cyanide ambayo humuua binadamu haraka sana. Moja ya dalili za sumu hii kwa mwanadamu ni kizungu zungu, kuuumwa kichwa, kuharisha na kutapika.

Kupika chakula mpaka kiive kabisha ndiyo njia ya kupunguza au kuondoa ukali wa sumu hii.

Tafakari yangu ninauona ukubwa wa Mwenyezi Mungu. Tulipokuwa wadogo mihogo tulimenya makopa na kuyaanika, bila kunawa mikono vizuri unachukua embe au fenesi unakula.

Mungu pia ni mwema, fikiria tungekua na uwelewa wa kuitumia sumu hii kwa maadui zetu, nyumba nyingi zingekua na wajane. Fikiria mume wako au mke wako ame cheat na unachemka kwa hasira, mbona cyanide ingemhusu.

Tafakari yangu ninauona ukubwa wa Mwenyezi Mungu. Tukipokua wadogo mihogo tulimenya makopa na kuyaanika, bila kunawa mikono vizuri unachukua embe au fenesi unakula.

"Me daily nacheza na mhogo mmoja mbichi ,karanga mbichi na Coca-Cola baridi"

Mbna cjawah experience such symptoms???
 
Mkuu hapo kwenye Coca-Cola umechemka sana. Mihogo mibichi na karanga nakupa tiki. Coca-Cola na Pepsi siyo nzuri ukiendelea nayo utashindwa 'kusimamisha'. Coca-Cola ni SUMU
 
Kwanza siyo muhogo yote yenye sumu, bali kwa kiwango kidogo ni ile ambayo ni michungu.

Sumu ya muhogo hujitokeza kulingana na aina ya mbegu-udongo-mazingira. Vitu hivyo vitatu vikikaa pamoja ndiyo muhogo unakuwa na sumu ya kuua mtu.

Nimewahi kusikia zamani mazingira kama hayo yameathiri ukulima wa muhogo katika maeneo ya Moshi kwani muhogo wao unakuwa na sumu na unaua. Jee bado hali hiyo ipo mpaka leo?
 
Duuh! Asante kwa taarifa mkuu,

ila Bwana Rashid yuko fiti, anatusunyua papuch mpaka wenye nazo wanaomba Pooh!

#Ntachange hapo kwa Coca-Cola!
 
Kwanza siyo muhogo yote yenye sumu, bali kwa kiwango kidogo ni ile ambayo ni michungu.

Sumu ya muhogo hujitokeza kulingana na aina ya mbegu-udongo-mazingira. Vitu hivyo vitatu vikikaa pamoja ndiyo muhogo unakuwa na sumu ya kuua mtu.

Nimewahi kusikia zamani mazingira kama hayo yameathiri ukulima wa muhogo katika maeneo ya Moshi kwani muhogo wao unakuwa na sumu na unaua. Jee bado hali hiyo ipo mpaka leo?
Asante kwa darasa hili.
 
Nimesoma katika health journal moja linasema mihogo na kisamvu ni vyakula hatari kuhifadhiwa ndani ya nyumba hasa jikoni. Vyakula hivi vina sumu aina ya cyanide ambayo humuua binadamu haraka sana. Moja ya dalili za sumu hii kwa mwanadamu ni kizungu zungu, kuuumwa kichwa, kuharisha na kutapika.

Kupika chakula mpaka kiive kabisha ndiyo njia ya kupunguza au kuondoa ukali wa sumu hii.

Tafakari yangu ninauona ukubwa wa Mwenyezi Mungu. Tukipokua wadogo mihogo tulimenya makopa na kuyaanika, bila kunawa mikono vizuri unachukua embe au fenesi unakula.

Mungu pia ni mwema, fikiria tungekua na uwelewa wa kuitumia sumu hii kwa maadui zetu, nyumba nyingi zingekua na wajane. Fikiria mume wako au mke wako ame cheat na unachemka kwa hasira, mbona cyanide ingemhusu.

..mbona lakini nyie mnatoa kisamvu cha kopo....tena wanasema kitamu sana....
 
Kuna mihogo mbegu fulani ni michungu sana, ukila ile kwa wingi unahisi kizunguzungu balaa.
 
Nimesoma katika health journal moja linasema mihogo na kisamvu ni vyakula hatari kuhifadhiwa ndani ya nyumba hasa jikoni. Vyakula hivi vina sumu aina ya cyanide ambayo humuua binadamu haraka sana. Moja ya dalili za sumu hii kwa mwanadamu ni kizungu zungu, kuuumwa kichwa, kuharisha na kutapika.

Kupika chakula mpaka kiive kabisha ndiyo njia ya kupunguza au kuondoa ukali wa sumu hii.

Tafakari yangu ninauona ukubwa wa Mwenyezi Mungu. Tulipokuwa wadogo mihogo tulimenya makopa na kuyaanika, bila kunawa mikono vizuri unachukua embe au fenesi unakula.

Mungu pia ni mwema, fikiria tungekua na uwelewa wa kuitumia sumu hii kwa maadui zetu, nyumba nyingi zingekua na wajane. Fikiria mume wako au mke wako ame cheat na unachemka kwa hasira, mbona cyanide ingemhusu.

Mihogo imeshaua sana watu,basi tu MUNGU anatupigania.Kuna kipindi miaka ya nyuma sana mama yetu mzazi alitupiga marufuku kula visamvu ili kuepukana na majanga.
 
Mkuu hapo kwenye Coca-Cola umechemka sana. Mihogo mibichi na karanga nakupa tiki. Coca-Cola na Pepsi siyo nzuri ukiendelea nayo utashindwa 'kusimamisha'. Coca-Cola ni SUMU
Coca cola wakikuomba uthibitishe hiyo sentensi yako ya mwisho utaweza?
 
Kwanza siyo muhogo yote yenye sumu, bali kwa kiwango kidogo ni ile ambayo ni michungu.

Sumu ya muhogo hujitokeza kulingana na aina ya mbegu-udongo-mazingira. Vitu hivyo vitatu vikikaa pamoja ndiyo muhogo unakuwa na sumu ya kuua mtu.

Nimewahi kusikia zamani mazingira kama hayo yameathiri ukulima wa muhogo katika maeneo ya Moshi kwani muhogo wao unakuwa na sumu na unaua. Jee bado hali hiyo ipo mpaka leo?
Nw i knw-Mimi nimekulia Moshi-Hv vitu ni so unpopular kwenye huo mji sababu ya mikasa yake .
 
Coca cola siyo sumu. Baada ya pepsi kushindwa kimauzo akaleta hayo mambo kumchafua Coca-Cola

Back
Top Bottom