Tusije kukuuzia kumbe wewe ni jambazi unataka kwenda kuua mbwa haraka kabla hujavamia eneo.Samahani naomba mnisaidie ni sumu ipi inaua mbwa maana wanakula vifaranga na wanaingia ndani kula mayai, nilimtega kwa sumu ya panya anapeta tu mtaani
Nahitaji msaada wenu maana nikimuacha atamaliza kuku wangu.
Pole sana mkuu, ngoja utapata suluhisho.Tangu mwaka jana nimemvumilia kuku akitaga yeye anaingia yaani nimepata hasira
Tafuta mhehe, uje kunishukuru hapaNipe tenda ya mauaji hayo mkuu.
kila mnyama mmoja naua kwa elfu 25.
Huyu bwana anataka mtego wa mbwa c pakaKuna jamaa njombe anatengeneza mitego ya paka, ipo efficiency sana ila namba zake nilipoteza.
Mkuu huyo mbwa ni wako?Samahani naomba mnisaidie ni sumu ipi inaua mbwa maana wanakula vifaranga na wanaingia ndani kula mayai, nilimtega kwa sumu ya panya anapeta tu mtaani
Nahitaji msaada wenu maana nikimuacha atamaliza kuku wangu.
Jaribu mbususuMkuu niliweka kwenye nyama tena ile sumu ya vidonge
Hio sumu itakua fake au ime expire,Mkuu niliweka kwenye nyama tena ile sumu ya vidonge
Mchukue mbwa wako au paka wako, nenda nae bar, mnunulie nyama choma za kutosha, kisha rudi naye home. Utapata thawabu zaidi kuliko kumuua.Samahani naomba mnisaidie ni sumu ipi inaua mbwa maana wanakula vifaranga na wanaingia ndani kula mayai, nilimtega kwa sumu ya panya anapeta tu mtaani
Nahitaji msaada wenu maana nikimuacha atamaliza kuku wangu.
Nenda Juliana mbezi beach muulize mmiliki ile baa/guest/restaurant aliwamalizaje paka kitaani kwetu.Mawe anayakwepa balaa