sumu

  1. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Huu uongo kuwa nyongo ya mamba ni sumu ulianzishwa na nani?

    Nyongo ya mamba ni nyongo kama nyongo zingine. Hizi habari kwamba ni sumu zilitoka wapi?
  2. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania "MV PROBO KOALA" meli ya Sumu, iliyoleta maafa Ivory Coast

    MV PROBO KOALA hii ilikuwa ni meli ya kubeba mafuta iliyokuwa imekodiwa na kampuni ya Traffigura yenye makao makuu nchini Singapore. Meli hii ilikuwa na usajili wa nchi ya Panama na kumilikiwa na kampuni ya wagiriki Prime Marine Management Inc. Meli hii ilikuwa imebeba petrol yenye ubora wa...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jamaa kakopa sumu kaenda kujiua, nikawadai ndugu zake?

    Nina kiduka changu maeneo ya Mbingu huku Morogoro Vijijini Kuna jamaa jana kaja kakopa sumu ya panya nikampa akiahhidi kuwa angelipa asubuhi, kumbe kaenda kujiua, sasa nawaza ndugu zake wanilipe kwa kuwa ndio faida yenyewe aisee Kwa huku Nilipo mara nyingi mzigo naufuata Ifakara sasa nawaza...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tunduru: Mama aua mtoto wake kwa sumu ya panya kwa masharti ya kupata kazi za ndani Arusha

    MKAZI wa Kijiji cha Mwenge, Kata ya Mtina wilayani Tunduru, mkoani Ruvuma, Neema Athumani (24), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake kwa kumwekea sumu ya panya kwenye soda. Taarifa za tukio hilo zinadai kuwa mwanamke huyo alitekeleza mauaji hayo Desemba 24, mwaka huu, baada...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Manyara: Mama aua watoto 3 kwa kuwalisha sumu kutokana na ugomvi wa kifamilia na mume wake

    Mama mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Regina Daniel (24) mkazi wa Louxmanda Kijiji cha Bashnet Wilaya ya Babati mkoa wa Manyara, anatuhumiwa kuwauwa watoto wake watatu kwa kuwalisha maembe yenye sumu inayodaiwa ni ya Panya . Tukio hilo la kusikitisha limetokea Desemba 5 mwaka huu ambapo...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyepandikiza Sumu hii isiyo ya Kiutu ndani ya Mioyo ya Waswahili (Watanzania) wengi hasa hasa Siku hizi?

    Unakuta Ndugu au Rafiki yako kabisa labda amepatwa na Msiba wa Mzazi wake lakini Wewe ambaye pengine kwa sasa anakuona huna Kipato (Pesa) hakutaarifu au unakuja Kusikia kutoka kwa Watu wengine. Na kama haitoshi hapo hapo tena unakuta Ndugu yako kabisa labda anauguza Mzazi wake lakini hakutaarifu...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wanapinga miradi ya Awamu ya Tano na kuwalisha sumu watu kwamba haina maana

    Kwanza: Wao sera yao ni ya majimbo .hivyo miradi mikubwa ya kitaifa kwao haina maana maana miradi mikubwa ya kitaifa ni kwa ajiri ya taifa na siyo jimbo.Hivyo mtu kutoka majimbo ya sera ya chadema anaona wivu mkubwa kwa sababu anahisi kodi yake ingebaki jimboni Kwake ili inufaishe watu wake...
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kilochopelekea Tundu Lissu kwenda kwa haraka kumwaga sumu Zanzibar

    Ndugu watanzania wenzangu, Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuiona siku ya leo. Kwa kifupi sana, nadhani baada ya Tundu Lissukuona trend ya kampeni za Mh. Magufuli: Dodoma, Tobora, Shinyanga, Simiyu, Mara, na baadaye mapokezi yake kule Mwanza, wanamwanza ndiyo walivunja rekondi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea wenye mentality kama hizi, ni hatari sana kwa musitakabali wa amani yetu

    Ndugu zangu, Kwa kifupi, Nilikuwa namsikiliza Mh. huyu katika maongozi yake, ila inaonekana kama amekaa kaa kishari kishari vile () Kama akishindwa itakuaje sasa? Maana sioni vyama vingine kama vinatoa vitisho tisho kama hivi, upande huu kuna nini? Asante, Nawasilisha Kejuu
  10. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Upinzani Nchini Urusi, Alexei Navalny akimbizwa Hospitali baada ya kuwekewa sumu kwenye chai

    Alexei Navalny ambaye amekuwa mstari wa mbele wa kuipinga Serikali ya Urusi inayoongozwa na Vladimir Putin ameripotiwa kupewa sumu na kukimbizwa Hospitali akiwa hajitambui. Inaelezwa kuwa Alexei ambaye amejipambanua kama mwanaharakati wa kupinga rushwa amewekewa sumu hiyo kwenye chai yake...
  11. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 IGP Simon Sirro akutana na Wadau wa Uchaguzi 2020, aitaja JamiiForums na Mitandao mingine kama changamoto ya Uhalifu wa Kimtandao sababu ya Teknolojia

    Ikiwa imebaki miezi michache kufikia mwezi Oktoba, mwezi ambao uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 utafanyika nchini, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania, Inspekta Jenerali, Simon Sirro, leo Agosti 19, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa vyama vya siasa, pamoja na Tume ya Taifa ya...
  12. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Kitaalamu Nyongo ya Mamba [crocodile bile] siyo sumu, wachina hutumia kama vumbi la Congo kwenye ngono

    Kwa mujibu wa utafiti wa mwaka 1984 wa Prof. Norman Nyazema mbobezi wa Pharmacology wa huko Zimbabwe anasema nyongo ya mamba siyo sumu na taarifa zinaonesha ikikaushwa na kusagwa inauzwa nchi za Asia kama uchina kwa matumizi ya kuhamasisha tendo la ngono ( aphrodisiac ) kama lile vumbi la...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Serikali na BASATA upigeni marufuku upesi wimbo mpya wa Msaga Sumu kwani una Matusi matupu na si wa kimaadili pia

    Maneno yake ya Ubeti wa Kwanza kutoka Kwake Msaga Sumu. " Nina hamu ya Nyumba ya Kupanga " Kisha Mwanamke aliyemshirikisha anamjbu Msaga Sumu. " Nyumba yangu ina Vyumba viwili tu je, unataka vyote au nikupe Kimoja tu? " Msaga Sumu anaendelea. " Nataka Kimoja tu ila kama kina Vumbi...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mwanamke atuhumiwa kuwaua wanaye kwa sumu

    Mama mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Beatrice(42) amewaua wanae wanne kwa sumu, Mjini Naivasha Kenya. Watoto hao ni wana umri kati ya miaka miwili hadi minane Imedaiwa ya kuwa mwanamke huyo alikuwa amesimamishwa kazi kwenye Taasisi isiyo ya kiserikali, NGO mjini humo miezi miwili iliyopita...
  15. Kawe Alumni

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli awataka watendaji kufanya kazi kwa kuzingatia viapo vyao. Awaasa kuridhika na nafasi walizo nazo, siyo kukimbilia Ubunge

    Tunasubiri tuone atasema nini Rais Mzalendo Magufuli ------ UPDATE---- Rais Magufuli leo amemwapisha Idd Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha anayechukua nafasi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo baada ya kutenguliwa Juni 19, 2020. HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI) Nami niungane...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Ikongo: Walioniteka, kunivalisha kitambaa cha sumu nawafahamu

    Tukio la Askofu Pius Ikongo kutekwa na watu wenye silaha aina ya bastola wakiwa na magari mawili na kufunikwa na kitambaa chenye sumu na kupata madhara makubwa mwilini linasikitisha sana. Kinachoumiza ni kutokamatwa wala kuhojiwa kwa watesi wake licha ya kuwatambua na kuwataja kwa majina...
  17. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Nyoka yoyote mwenye Sumu Kali akikutana na Mtoto Mchanga au Mdogo hawezi kumdhuru na atakuwa anacheza naye tu?

    Nasikia kuwa kuna Siri Moja kubwa sana ya Kimungu na Kimaajabu katika hili hivyo nataka Kulithibitisha hili kutoka kwenu Wajuzi hapa Jamvini JF.
  18. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Huwa nafikiria sana haya, Hivi Nkurunzinza alikufa na Corona au ameuawa na sumu za kisasa. Ilikuwa sahihi sana Viongozi wetu kuwa sehemu salama

    Hii Corona ukiifikilia kwa undani ipo na Siri kubwa. Kwa wanaotafakari kwa undani lazma wajiulize hivi ilikuwaje. Mara Waziri wa afya Uingereza kaugua korona, kidogo Waziri mkuu oh Mara imeingia ikulu ya Marekani. Kwa wataalamu wa Mambo huwenda ilikuwa sio kwa bahati mbaya ili ionekane wazi kuwa...
  19. Mystery

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Polisi watujulishe kuhusu upelelezi wao juu ya wale waliomnywesha sumu Mzee Mangula

    Mwanzoni mwa mwezi wa tatu mwaka huu, tulimwona Kamanda wa Polisi wa kanda maalum ya Dar, Lazaro Mambosasa, akiongea na waandishi wa habari, akielezea tukio la kulazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili, kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mzee Mangula. Katika taarifa yake hiyo alitutueleza...
Back
Top Bottom