#COVID19 Brazil: Sumu ya Nyoka ‘jararacussu’ Yabainika Inaweza Kupambana na Covid-19

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Watafiti nchini Brazil wamegundua aina ya nyoka ya jararacussu ambaye sumu yake ina protini ambzo zinavyoweza kupambana na #COVID19

Vitu vinavyopatikana katika sumu ya Jararacussu inaweza kupambana na PLPro ambayo ni enziyamu ya Corona bila kuathiri seli nyingine, ufanisi wake ni 75%

Jararacussu ni nyoka wanaopatikana kwa wingi nchini Brazil anaweza kufikia urefu hadi wa mita mbili pia hupatikana Bolivia, Paraguay na Argentina
===
1630474833114.png
Brazilian researchers have found that a molecule in the venom of a type of snake inhibited coronavirus reproduction in monkey cells, a possible first step toward a drug to combat the virus causing COVID-19.

A study published in the scientific journal Molecules this month found that the molecule produced by the jararacussu pit viper inhibited the virus's ability to multiply in monkey cells by 75%.

"We were able to show this component of snake venom was able to inhibit a very important protein from the virus," said Rafael Guido, a University of Sao Paulo professor and an author of the study.

The molecule is a peptide, or chain of amino acids, that can connect to an enzyme of the coronavirus called PLPro, which is vital to reproduction of the virus, without hurting other cells.


Already known for its antibacterial qualities, the peptide can be synthesized in the laboratory, Guido said in an interview, making the capture or raising of the snakes unnecessary.

"We're wary about people going out to hunt the jararacussu around Brazil, thinking they're going to save the world ... That's not it!" said Giuseppe Puorto, a herpetologist running the Butantan Institute's biological collection in Sao Paulo. "It's not the venom itself that will cure the coronavirus."

Researchers will next evaluate the efficiency of different doses of the molecule and whether it is able to prevent the virus from entering cells in the first place, according to a statement from the State University of Sao Paulo (Unesp), which was also involved in the research.

They hope to test the substance in human cells but gave no timeline.

The jararacussu is one of the largest snakes in Brazil, measuring up to 6 feet (2 meters) long. It lives in the coastal Atlantic Forest and is also found in Bolivia, Paraguay, and Argentina.

Source: Reuters
 
Kwa hiyo ukiwa na covd nyoka analetwa anakugonga, then ndio tiba ya ugonjwa. Kweli baada ya uwezo wa Mwenyezi Mungu mkuu wa kula kitu, sayansi inafuata.
 
It is only when mosquito land on your balls that you realize there is a way to solve problems without using violence.
 
Angekuwepo mwendazake angeagiza ndege ikafuate hao nyoka tuje kuwafuga tupande mbegu... Nasema uongo ndugu zangu
Hakika mwendazake angeenda kuwachukua tuje kuwafuga na kabudi angetoa mijicho kuwasifia
 
Kwahiyo ili upone inabidi umu uwe ili utoe hiyo sumu au unajipeleka anakugonga then unakuwa tayari umepata dawa...?
 
Back
Top Bottom