story

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili Kubwa: 28-year-old Kenyan engineer owns a USB cable factory

    Anthony Muthungu, a youthful engineering graduate, has had his inspiring story go viral after it emerged that he had established a manufacturing company that locally manufactures mobile charging and data transfer USB cables. The 28-year-old who hails from Kirinyaga County started TOTOSCI Ltd in...
  2. L

    JamiiForums Tanzania True story: Jinsi nilivyopambana kutafuta mali za Mjerumani mkoani Morogoro, mauzauza na vimbwanga nilivyokutana navyo

    Habarini za leo wanaJF Niliombwa na baadhi yana JF kutoa ushuhuda wangu kidogo jinsi nilivyopambana kutafuta mali za mjerumani mkoani Morogoro. Hii ni baada ya kuona nikichangia baadhi ya thread kuhusiana na matukio hayo. Ni matukio ya kweli Ndugu wana JF kwa wale wanaopenda kufuatilia habari...
  3. JamiiForums Tanzania Are democratic reforms at risk in Tanzania? Inside Story

    Kipindi kimerushwa jana. Washiriki ni Tundu Lissu, Aikande Kwayu, na wa tatu nimelisahau jina lake.
  4. JamiiForums Tanzania How effective are vaccines in dealing with corona virus? Israel's story

    Jerusalem Post Health & Science Coronavirus in Israel: What do we know about the 143 hospitalized people? By MAAYAN JAFFE-HOFFMAN JULY 21, 2021 18:07 Of the 143 hospitalized patients, 58% were vaccinated, 39% were not at all, and 3% were partially vaccinated. Some 143 Israelis were...
  5. JamiiForums Tanzania Story ya chips egg far far or confuse

    Kuna Mzungu alikuja Tanzania kwa shughuli za kikazi. Katika mihangaiko yake alisikia njaa na muda wa lunch uliwadia. Alifikiria pa kupata chakula, aliamua kutafuta sehemu inayouza chakula apate rizki. Alikuta kijiwe cha chips na wasela kibao wanapata msomi. Alikaribia ile sehemu, kulikua na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msingi wa mabadiliko

    Watu wengi wanajua wanachopaswa kufanya hapa duniani ili kubadilisha maisha yao na kugusa maisha ya watu wengine katika jamii,lakini changamoto kubwa wanashindwa kuanza kufanya chochote kwa hofu ambayo kimsingi haina mantiki yowote. Hawa ni wale wenye shauku kubwa moyoni mwao kufanya jambo la...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Changa moto za kuelekea kwenye mafanikio

    🛣️ CHANGA MOTO ZA KUELEKEA KWENYE MAFANIKIO ✍🏿 Kila mtu anaye ishi anahitaji kuwa na mafanikio kwa ghalama yoyote ile. Wengi tumekuwa tukikosa kuyaendea malengo yetu ambayo n mafanikio kwa baadhi ya changamoto. 🙏🙏 Naomba ni bainishe baadhi ya changamoto ili uzijue na ukabiliane nazo. 1...
  8. JamiiForums Tanzania SoC01 Tutokomeze ulawiti kwa watoto

    Suala kubakwa na kuingiliwa kinyume na maumbile kwa watoto limekuwa likijitokeza Mara kwa Mara hapa nchini. Suala hili linatakiwa kuangaliwa kwa umakini na kutafutiwa mwarobaini wake mapema. Chanzo cha tatizo hili:- (a) Malezi (maadili) mabovu kwa watoto. Nilikuwa nikifanya research kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Nenda Sia, kila nikikumbuka nasimulia na wengine nawasaidia (Stori ya kweli)

    Sia ni binti ambaye wakati Fulani tuliwahi kuwa katika uhusiano wa kimapenzi,Japokuwa ndio kwanza tulikuwa tumetoka masomoni kwa kuhitimu kidato cha sita.Si jina lake halisi ,Lakini naamini litafanikisha kufikisha ujumbe niliokusudia. Hatukudumu sana hasa baada ya matokeo kutoka na kila mmoja...
  10. JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana na Ubunifu, Ujuzi, na Maarifa kwenye Soko la Ajira, Ujasiriamali na Kazi

    Tumekuwa tukilalama kuhusu changamoto ya ajira na kazi inayo wakabili vijana ambao ni kundi kubwa kuliko yote Tanzania. Imethibitishwa kuwa wastani wa umri wa Kijana kwa sasa Tanzania ni miaka 17.7. Wengi wamekua wakihoji kama tumetanabaisha maana ya hizi takwimu na jinsi gani kama taifa...
  11. JamiiForums Tanzania Afya sambamba na uchumi

    Afya sambamba na uchumi Changamoto kubwa sana inayotukabiri sisi wa Tanzania pamoja na mataifa mengine yanayoendelea ,ni kwamba tunashindwa kutambua ni jinsi gani afya za wananchi zinaathiri moja kwa moja Uchumi wa Taifa. Iwapo wananchi watakuwa na afya njema basi hata kasi ya kupanda kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Anayejua kisa cha Lissa na Rapcha anipe short story, yaani mpaka sasa sijui nini kinaendelea pamoja na kuwa member wa UWABATA

    Habari wakulungwa? Nakuta tu huko fb kumepamba moto, mara Raptcha afukuzwe na mawe, mara aokolewe mara alaumiwe. Please help me to understand what's going on? Asanteni . -------- Jibu:
  13. N

    JamiiForums Tanzania Haka kanyimbo si kakusikiliza ukiwa umepitia break up. Wimbo mtamu huu nyie kha

    Intro: Nviiri the Storyteller (Ohh, mmh) Ohh What a waste Oh, Lord The Storyteller, ayy Verse 1: Nviiri the Storyteller What a waste Baby tumejiseti, we on the highway Tukafunga breki, tukaanza bishana Asking, “Who is Diana? Vipi mnajuana?” I swear tumeji-betray, baby tumejiseti ‘Cause love...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Story ya kuuza mechi ya Simba Cairo na mkasa wa Shafii Dauda. Zimbwe jr, Kapombe vs Kaizer Chiefs

    2003 simba sc ilitikisa afrika nzima kwa kuwatoa mabingwa watetezi zamaleki waliokuwa kama weeks mbili nyuma wametoka kutoa draw na real madrid ya kina zidane,gutti kwenye club bingwa ya dunia Marahemu james siang'a mkenya aliyekuwa kocha wa simba anasema kuna mtanzania mwenye asili ya kiasia...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mchafu: Wanaume Tanzania wanajadili zaidi Simba na Yanga kuliko afya zao

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Hawa Mchafu amedai baadhi ya wanaume wa Tanzania wanatumia nguvu kubwa kujadili habari za timu za Simba na Yanga zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, kuliko hata kujadili afya zao. Hawa amesema kama nguvu hiyo ingetumika kujadili masuala ya afya ikiwemo kupima...
  16. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Hatimaye ametiki

    Hatimaye Ametiki(Based on true story) Ilikua mwaka 2014 katika chuo cha elimu ya biashara(CBE) Tawi la Mbeya nilikuwa mwaka wangu wa pili nikichukua stashahada ya usimamizi wa biashara (diploma in Businesses administration). Nikiwa nimeketi kwa pembeni kipindi hicho ndo kuna wanafunzi wapya...
  17. JamiiForums Tanzania Kilichokuwa Nyuma ya Story yangu ya kusaka Utajiri Kongo DRC

    Naona wengi mnanichukia na kuniita majina yote mabaya.Fisadi, Tajiri Mjeuri, Handsome Boy, Billionea Chizi n.k Ile story nlilazimika kuisitisha baada ya wahusika kunifuata na kutaka niisitishe na walitoa sababu zao. Mbaya zaidi mmoja ana connection kubwa sababu ya biznez zake za Madawa. Nami...
  18. JamiiForums Tanzania Hellow mi mgeni nahitaji kukaribishwa

    Kuna baadhi ya vitu nahitaji kufundishwa
  19. JamiiForums Tanzania My True Love Story: Dear Single Mother, huyo mtoto siyo wangu

    2018 Siku moja nilikua bored home, nikajiunga BADOO nikakutana nae. Tukawa friends then Fuc* mates. Maisha yakasonga, nilichompenda yeye alikua hapendi hela na ni mrembo kweliii. Kwenye hela na matumizi yake yaani unajiongeza wewe, unapiga show siku kadhaa unalipia siku kadhaa na outing na...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania hatuhitaji bandika bandua, tunahitaji kuimarisha Taasisi. Hata Mama yetu akitoka madarakani tutakuwa na stori hizi hizi tu

    Wakati nyimbo za maombolezo zikiendelea kupigwa kupitia vyombo mbalimbali vya habari na mashada ya maua hata hayajanyauka katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Tz, JPM. Kuna mengi yameanza kuibuliwa ambayo ni mapungufu katika Uongozi wake. Hasara ya Shirika la Ndege, Ubadhilifu mkubwa katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…