speaker

  1. L

    JamiiForums Tanzania INAUZWA LG base speaker inauzwa

    Tsht 65000
  2. N

    JamiiForums Tanzania Spika siyo lazima atii Mahakama

    Kama kuna issue itampa umaarufu na heshima duniani speaker tulia ackson ni hii ya wabunge waitwao covid 19 Mahakama haijapeleka barua hawezi fanyia kazi maneno ya mitandao na pia siyo lazima afate maamuzi ya mahakama bunge limejichimbia chini zaidi labda apende tu Akiwatetea wanawake wenzake...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Used Pioneer Amplifier 1000watts inauzwa

    Original imenunuliwa Nje na imetumika kwa mda mfupi.Bei yake ni Shillingi 350,000.Kama unauhitaji tupigie simu au tuma meseji namba 0742662669.Napitikana Dar es Salam Mwananyamala Komakoma karibu na CRDB bank
  4. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vifaa vya muziki vinauzwa booster, mixer, spika n.k

    Vifaa ni vipya kabisa.. bei ni nafuu kulingana na kifaa unachotaka.. Mziki kwa ajili ukumbini, uwanjani, kanisani na kadhalika.. Karibuni
  5. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Handlay Mwafwenga mwenye digrii Tisa achukua fomu ya Uspika wa Bunge. Anena mazito

    Prof Mpoki Mafwega amechukua fomu ya kugombea Uspika wa bunge na kuahidi atashinda na kuweka historia mpya nchini kwani bunge siyo kwa ajili ya wanasiasa pekee. Prof Mpoki amesema tokea mwaka 1954 wakati wa mkoloni hapajawahi kuwa na Spika wa bunge aliyetoka kwenye sekta ya Utumishi wa umma...
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Hivi kabla ya kugunduliwa kwa ma- ‘speaker’ makubwa yenye mshindo, makanisa ya kilokole yalijiendeshaje?

    Yaani walikuwa wanaendeshaje endeshaje shughuli zao za ibada? Kwamba wanaemuabudu alianza kupoteza uwezo wake wa kusikia au ilianzaje anzaje hii hali?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mwijaku achukua fomu ya kuteuliwa kugombania Uspika

    Habari nilizozipata mtangazaji wa Clouds FM kachukua fomu ya kugombania uspika baada ya spika wa bunge la Tanzania kujiuzulu.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Hivi mexence Mello angekuwa weak kwa Hawa CCM tungeshughulikiwaje anonymous! Hongera mexence unafaa kuwa speaker

    Kiuhalisia huyu mmiliki wa jamii forum aliyepelekwa mahakamani na Meko ana nguvu na ustahimilivu wa Hali ya juu kushinda hata wa jobu ndugai, amefanya jamii forum kuwa platform huru sana na ameokoa wengi kutokushughulikiwa. Kama mexence angeweka tumbo lake mbele wanajamii forum wengi wangekuwa...
  9. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Jicho la kisheria kuhusu uhalali wa barua ya Spika Ndugai kujiuzulu

    Nikiri wazi kuwa nami, nikiwa mtanzania wa kawaida na mfuatiliaji mzuri wa mambo ya kisiasa na kijamii, nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sakata lililopelekea Spika Job Yustino Ndugai kuandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya Spika. Nimefuatilia pia mjadala ulioibuka kuhusu uhalali wa barua...
  10. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania All Parliament activities, including parliamentary committee meetings, have been SUSPENDED in Tanzania following Speaker Job Ndugai's resignation

    All Parliament activities, including parliamentary committee meetings, have been SUSPENDED in Tanzania following Speaker Job Ndugai's resignation, according to the constitution. First order of business when Parliament resumes on Feb. 1, 2022, will be the election of a new Speaker. Source: TBI
  11. econonist

    JamiiForums Tanzania Mambo 16 niliyojifunza kwenye hotuba ya Rais Samia - Januari 4, 2022

    Yafuatayo ndio nimejifunza kutokana na hotuba ya Jana. 1. Rais amekasirishwa na maoni yaliyotolewa na speaker Ndugai kuhusu mikopo. 2. Rais amemshambulia speaker Ndugai at individual capacity na sio Kama speaker kwenye maoni kuhusu mikopo. 3. Rais amehaidi kukopa zaidi na mpaka Sasa wamepata...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ndugai hafai kuwa Spika, CCM mkalieni kikao na kumvua uanachama

    Huyo Speaker Ndugai ni shida sana kwenye hiki chama, hafai na hana quality ya kuwa mbunge licha ya kuwa speaker. Hivi anavyosema tusikope, anaelewa anachofanya? U.S, UK na nchi zingine zinakopa ili zipeleke uchumi mbele, huyo Ndugai anadai eti tusikope. Kenya wamekopa na ku-invest kiasi...
  13. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Anne Makinda anunua nyumba kwa Tsh. Milioni 900, Dar

    Hamjambo ndugu zangu? Speaker mstaafu bi Anna Makinda amenunua nyumba hapa Mbezi Makonde yenye thamani ya tsh 900 ml. Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL Huyu alikuwa mtumishi wetu...
  14. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Speaker akerwa na mwendo wa kurudisha makao makuu dar kwa viongozi kurejea dar kila mara

    Mwendo wa kurudisha shughuli za makao makuu dar umeonekana mara baada ya kuaga dunia magufuli na mama samia kua rais. Swala la kuhamia dodoma limekua gumu kwa miaka zaidi ya arobaini hadi alipoingia magufuli. Kitendo cha rais samia kuonekana kwa kupenda au kushauriwa kufanya shughuli za...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kumsikiliza English native speaker wa kizungu

    Wadau wa lugha, Na Mimi bwana nimebahatika kupata kashahada fulani kutoka moja ya vyuo vyetu vikongwe. kwahiyo ka-english ka hapa na pale kakuombea maji huwa ninako. Masomo ya english secondary nilipa daraja B. Tatizo kuu langu ni moja; Ukiongea wewe kiingereza (mswahili mwenzangu) huniteti...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Spika Ndugai aliniita ofisini na kuniambia nisipojiunga na CCM Ubunge sitaupata

    Msigwa anaeleza jinsi ofisi ya Speaker ilivyotumika kuwashawishi Wabunge wa Upinzani hujiunga na CCM.
  17. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge ana double standard?

    Miezi michache alisimama mbele ya Bunge akidai kuwa CHADEMA kuna mfumo dume na kwamba yeye "anawaonea huruma na kuwaheshimu sana wanawake" Leo hii, Spika yule yule, tena kwa udhalilishaji wa hali ya juu, kamtoa nje Mbunge wa CCM kwa kile kilichodaiwa kuwa "amevaa" nguo isiyo ya heshima. Huyu...
  18. EJOSMAT

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vifaa vya electronics vinauzwa

    Printer hp 7500 a wide format------laki 3 Tt560 speed lite neewer------------laki na nusu Sigma lense 170-500----------------laki 4 Studio light na background yake laki 4 Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa 0717 040 837 au 0767 267 664
  19. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Dr. Chriss Mauki ni mwanasaikolojia au ni motivational speaker?

    Nimemsikia sana huyu jamaa lakini nimekuwa na wasiwasi kama ni professional psychologist. Namuona kama ni motivational speaker hivi. Naomba kujua wasifu wa elimu yake.
  20. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Spika Job Ndugai na Naibu wake wajiuzulu kwa kushindwa kusimamia na kuliongoza Bunge

    Wasalaam wana wa Adam, Kwanza kabisa napongeza sana hotuba nzuri ya leo ya Mhe Rais Mama yetu Samia Suluhu Hassan, ni maneno mazito sana ambayo yamelisuta bunge letu la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Unaposutwa kubali kuwa unakosea sana na unachokifanya hakifai hata kuigwa na yeyote yule...
Back
Top Bottom