speaker

  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Huyu ni Motivational Speaker, umegundua nini?

    Waswahili wanamsemo wao unaosema "unaopoona unaitiwa fursa basi tambua kuwa wewe ni fursa". Umegundua nini kwenye hii picha?
  2. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Dawa ya mtu aliyeziba masikio ni kumuwekea loud speaker, kazi iendelee

    Nimesikia kwamba Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Samiah Sukuhu Hassan hataki kusikia maoni ya wananchi wake juu ya mkataba wenye ukakasi wa ugawaji bure wa Bandari zote za Tanganyika. Sina shaka habari hizi ni za ukweli, maana nimeona video clip, na it seems aunthentic. Sasa hapa kuna maswali...
  3. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Motivation Speaker anatakiwa awe Ally Hapi, Siyo wale kuongea pasi vitendo

    Huyu jamaa ameamua hasa, japo tayari ameingia akiwa na mtaji ila huyu ndiye motivation speaker ambaye anatakiwa kuongea akiwa anamaanisha, siyo yule/wale wa hekari moja unapata 12mil. Anachifanya huyu kijana Ally aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara huko kwenye mashamba yake ni mfano tosha kwa...
  4. McCollum

    JamiiForums Tanzania What does it take to be a Motivational Speaker?

    Je, kama ninahitaji kuwa Motivational Speaker, ninahitaji kufanya nini? Hapa naulizia kama kuna kozi special au vitu vya kufanya. ============== Salamu kwa watu wazima wote (kiumri), kwa wengine habari za saizi, kwa mashabiki wa Manchester United mjikande kwa maji ya Moto 7 sing'ori si...
  5. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Jinsi speaker inavyoweza washa bulb, je kuna ukweli hapa kwa video?

  6. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Madam Speaker just killed it. Wakasome, hakuna PhD za kugaiwa kama pipi

    Wasalaam Madam Speaker ameshauri watu wakasome, wasinunue PhD nitaweka video. Nchi hii ina vitu ya ajabu sana wanataka kuchezea mpaka taaluma bila haya. Wakasome, narudia, wakasome
  7. S

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Enyi wastaafu kaeni mbali kabisa na ‘motivation speaker’, mtanikumbuka

    Usifanye biashara kwa hela ya kustaafu kama hujawahi fanya biashara, ili usipate magonjwa ya moyo, pressure, kupooza nk. Ni mara kumi upambane na wapangaji akishindwa lipa utasamehe ataingia mwingine, utaishi. Mzee wangu tangu astaafu ana miaka 27 kwa afya tele, shida tu pressure ya macho...
  8. Inkotanyi 94

    JamiiForums Tanzania Anayejua base speaker nzuri asisaidie

    Habar za humu watu wa Mungu. Aulizae hapotei! Nahitaji taarifa za kiteknolojia kuhusu speaker kubwa ya bass kuunga nguvu na vifaa vingine nikivyonavyo kwa mziki wa ukumbi. Mziki mkubwa. Nimeshauriwa fed ex bila maelezo ya kiulinganifu. Nitashukuru kwa wataalam na wajuvi wa hili kama ambavyo...
  9. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Kwanza nominates Moses Wetangula as National Assembly Speaker

    Moses Wetangula President-elect William Ruto’s Kenya Kwanza has now nominated the alliance co-principal and Ford Kenya party leader Moses Wetangula to the position of Speaker of the National Assembly. This is according to Amani National Congress (ANC) party leader, and fellow Kenya Kwanza...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Asante speaker wetu mh Tulia Ackson mwansasu kwa mchango wako wa mabati mbozi

    Ndugu zanguni sote tunajuwa ya kuwa my Tulia no mbunge wa mbeya mjini, lakini katika Hali iliyowaacha Wana mbozi mdomo wazi Ni pale mh speaker alipokuja Jimbo la mbozi na wadau wake wa silent ocean na kuweza kusaidiaa mchango wa mabati karibu Mia mbili ili kuezeka vyumba vya madarasa katika...
  11. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

    Leo ndio leo msema kesho mchawi, Zaidi ya watu laki tano wanaiouatilia roupe/safari ya Pelosi kuelekea Taiwan ambapo China imekemea vikalh hatua hiyo kwa kurusha ndege za kivita kuizunguka Taiwan huku U.S.A nao wakisogeza meli na manuari zao. Ungana na maelfu ya watu kufuatilia kitakachojiri...
  12. Black Bolt

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Speaker za PC Bei 19,000 Tzs

    Nauza Speaker zinatumika mara nyingi kwa Laptop na Simu bei 19,000 Tzs Ni PM
  13. L

    JamiiForums Tanzania INAUZWA LG base speaker inauzwa

    Tsht 65000
  14. N

    JamiiForums Tanzania Spika siyo lazima atii Mahakama

    Kama kuna issue itampa umaarufu na heshima duniani speaker tulia ackson ni hii ya wabunge waitwao covid 19 Mahakama haijapeleka barua hawezi fanyia kazi maneno ya mitandao na pia siyo lazima afate maamuzi ya mahakama bunge limejichimbia chini zaidi labda apende tu Akiwatetea wanawake wenzake...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Used Pioneer Amplifier 1000watts inauzwa

    Original imenunuliwa Nje na imetumika kwa mda mfupi.Bei yake ni Shillingi 350,000.Kama unauhitaji tupigie simu au tuma meseji namba 0742662669.Napitikana Dar es Salam Mwananyamala Komakoma karibu na CRDB bank
  16. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vifaa vya muziki vinauzwa booster, mixer, spika n.k

    Vifaa ni vipya kabisa.. bei ni nafuu kulingana na kifaa unachotaka.. Mziki kwa ajili ukumbini, uwanjani, kanisani na kadhalika.. Karibuni
  17. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Handlay Mwafwenga mwenye digrii Tisa achukua fomu ya Uspika wa Bunge. Anena mazito

    Prof Mpoki Mafwega amechukua fomu ya kugombea Uspika wa bunge na kuahidi atashinda na kuweka historia mpya nchini kwani bunge siyo kwa ajili ya wanasiasa pekee. Prof Mpoki amesema tokea mwaka 1954 wakati wa mkoloni hapajawahi kuwa na Spika wa bunge aliyetoka kwenye sekta ya Utumishi wa umma...
  18. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Hivi kabla ya kugunduliwa kwa ma- ‘speaker’ makubwa yenye mshindo, makanisa ya kilokole yalijiendeshaje?

    Yaani walikuwa wanaendeshaje endeshaje shughuli zao za ibada? Kwamba wanaemuabudu alianza kupoteza uwezo wake wa kusikia au ilianzaje anzaje hii hali?
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mwijaku achukua fomu ya kuteuliwa kugombania Uspika

    Habari nilizozipata mtangazaji wa Clouds FM kachukua fomu ya kugombania uspika baada ya spika wa bunge la Tanzania kujiuzulu.
  20. U

    JamiiForums Tanzania Hivi mexence Mello angekuwa weak kwa Hawa CCM tungeshughulikiwaje anonymous! Hongera mexence unafaa kuwa speaker

    Kiuhalisia huyu mmiliki wa jamii forum aliyepelekwa mahakamani na Meko ana nguvu na ustahimilivu wa Hali ya juu kushinda hata wa jobu ndugai, amefanya jamii forum kuwa platform huru sana na ameokoa wengi kutokushughulikiwa. Kama mexence angeweka tumbo lake mbele wanajamii forum wengi wangekuwa...
Back
Top Bottom