Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.
Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.
Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
ccm
charles kimei
crdb
hekima
historia
jamhuri
lukuvi
maamuzi
magufuli
makamu
mkuu
moto
muungano
mwakyembe
mwanamke
ndugai
rais
raisi
sahihi
serikali
sifa
speaker
taifa
uchumi
waziri
waziri mkuu
Kwa wale Music enthusiasts wenzangu last Weekend katika kuzurura katika viunga vya M.City i came across duka la Kodtec. Hawa jamaa wanauza appliances zao mbali mbali pale zikiwemo Subwoofers.
Kishindo cha mziki wenye vipimo madhubuti ambacho sikukitegemea kilipenya katika ngoma zangu za masikio...
Akikazia mawazo ya wabunge kama kawaida yake nimemsikia Spika ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kuwaongezea masomo ya kufundisha walimu kwa maana ya kuwafundisha kuyafundisha tangu wakiwa vyuoni hasa vyuo vikuu ili kupunguza uhaba wa walimu na kuongeza tija kwa Wanafunzi.
Akitolea...
Habari wadau, nauza aborder multimedia system AB3822BT kwa shilingi 155000/=
Mawasiliano : +255783696253.
Nipo beta barabara ya chang'ombe Dar es salaam
Natazama 360 Clouds naona Hassan Ngoma anambana Spika maswali mpaka anajichanganya kuhusu suala la Mbowe.
Kuhusu sheria ya habari analalamika lalamika tu kuwa wapinzani wanapendelewa na mitandao ya kijamii na waandishi wa habari.
=====
Katika Mahojiano ya Spika Job Ndungai na Clouds Media...
Ni kwa muda mrefu wafanyakazi wamekuwa wakiambiwa wanafanya kazi za kitumwa. Mawazo kama haya yako tangu zamani sana.
Wakati wa vita baridi kati ya Usoshalisti na Ubepari, nchi nyingi za Afrika zilisema hazina upande lakini baadae wakaelemea kwenye Usoshalisti, taifa kama Tanzania likaweka kitu...
Naomba kujua kutoka kwa waumini wa huyu mchungaji Mgogo, je ni mchungaji wa dini au ni mtia hamasa(motivational speaker) wa dini?
Hua naona watu wengi wanapenda kuweka video clips za mahubiri yake kwenye social media statuses ila hakuna mahala au sijawahi kusikia akinukuu vifungu vya dini yake...
Habari!!
Speaker au subwoofer ya gari au nyumbani unaweza kuifanya ya kisasa yenye Bluetooth kwa kutumia kifaa hiki hapa
Kinapatikana kwa bei nafuu ya Tsh. 15000. Tu kwa mawasiliano zaidi nicheki kwa 0767142928 text,call,WhatsApp tufanye biashara.
Napatikana Mbeya.
Mikoani tunatuma ukihitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.