soka

Mchezo wa mpira wa miguu.
  1. JamiiForums Tanzania Sidhani kama simba wamefanya sahihi kwenye hili!!

    Zimepita siku kadhaa, Simba SC walitangaza Jezi ambazo watazitumia kwa ajiri ya Michezo ya AFRICAN Football League ambazo Zilitakiwa kuwa na Logo za Wadhamini wa Mashindano na Logo ya shindano lenyewe. Lakini Cha Kushangaza Katika Mchezo Wa marudiano hapo Jana Dhidi ya Al Alhly, Simba SC...
  2. JamiiForums Tanzania Oscar Oscar uache kuwaita wachungaji ni matapeli! Chambua soka, achana na wachungaji kabisa

    Huyu ni Oscar Oscar wa wasafi media! Akishakaa kwenye mic za WCB! Anaona anaweza kukanyaga kitu chochote! Maandiko yanasema ONDOA kwanza boriti kwenye jicho lako, ndipo utazame boriti kwenye jicho la mwenzako, Osca analalamika kwamba sadaka zimekuwa sehemu ya utapeli makanisani, kama ni hivyo...
  3. JamiiForums Tanzania Al Ahyl kucheza na Simba na Yanga, atakayempiga home and away ndio Kidume wa Soka la Bongo

    Huyu ni Bingwa wa Soka la Afrika, hivyo kama ingekuwa masuala ya kisiasa tungesema huyu ndio Raia namba moja wa Afrika. Sasa hapa Bongo Al Ahyl atakuja mara mbili, ya kwanza kucheza na Simba, na ya pili kucheza dhidi ya Yanga. Al Ahyl kufungwa hapa Bongo siyo jambo geni, alishafungwa na Simba...
  4. JamiiForums Tanzania Umewahi kutana na tukio lolote lilikouacha na mshangao mkubwa katika soka!!?

    FEBRUARY 14,2018 kwenye mchezo kati ya Real Madrid na PSG lilitokea tukio ambalo lilileta utata sana na wengi wakibakia na mshangao mkubwa huku likihusisha nguvu za giza (Uchawi). ILIKUWA ni tukio la penati aliyopiga Cristiano Ronaldo 🇵🇹 kwenye ushindi wa Real Madrid wa goli 3-1 dhidi ya PSG...
  5. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Padri Soka aliyedaiwa kubaka Watoto ashinda kesi 3 za Ubakaji, sasa yupo huru rasmi

    Padri Sosthenes Soka (42) wa Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, sasa yuko huru, baada ya kupangua kesi zote tatu za ubakaji zilizokuwa zikimkabili mbele ya mahakimu watatu tofauti katika Mahakama ya Hakimu Mkazi na Wilaya ya Moshi. Hii ni baada ya kuachiwa huru leo Septemba 29, 2023 katika kesi ya...
  6. JamiiForums Tanzania UEFA: Manchester United yaendelea kuchezea vichapo, yapigwa 4-3 na Bayern Munich

    Ikicheza kwenye Uwanja wa ugenini, Manchester United imefungwa magoli 4-3 dhidi ya Bayern Munich katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Kundi A. Magoli ya Bayern yamefungwa na Leroy Sane, Segre Gnabry, Harry Kane na Mathy Tel wakati United wafungaji ni Rasmus Hojlund na Casemiro (mawili)...
  7. JamiiForums Tanzania Hongera Chama kioo cha Soka la Bongo. Utakuwa ukilinganishwa na kila Mchezaji ajaye. Chama babalao

    MABAO mawili aliyofunga dhidi ya Power Dynamos huko Zambia, yamemfanya Clatous Chama azidi kuinyemelea rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Ligi ya Mabingwa Afrika inayoshikiliwa na nyota za zamani wa TP Mazembe na DR Congo, Tresor Mputu. Kwa kufunga katika mchezo huo uliochezwa...
  8. JamiiForums Tanzania Taifa Stars hairidhishi kwa ubora wa soka!

    Pamoja na ngeke la kufuzu Afcon lakini ukweli lazima usemwe kuhusu maufa ufa yaliyojaa katika timu ya Taifa stars. kwa ukweli kabisaa taifa stars haina ubora wa soka la kitabuni ambalo Yanga na Simba wanalionesha kwa mashabiki wao kila kukicha. tatizo kubwa likiwa ni kocha mtaalamu ambaye...
  9. JamiiForums Tanzania Aliyeteuliwa kuwa Waziri wa michezo Dkt. Damas Ndumbaro aliwahi kufungiwa miaka 7 kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi na TFF kwa kukiuka kanuni

    Kwanza Kabisa natoa Shukrani kwa Rais Dkt Samia Hassan Suluhu Kufanya ReShuffling ya Mawaziri mbalimbali amefanya kitu ambacho Tanzania wengi walikuwa wanahitaji. Moja ya Watu walioguswa na hii Reshuffling yumo Mheshimiwa Dr Damas Ndumbaro. Tujikumbushe Mwaka 2014 akiwa Mwenyekiti wa Kamati...
  10. JamiiForums Tanzania Robertinho hawezi kufika Nyerere Day kama kocha wa Simba kwa aina hii ya soka

    Kitakachomfanya asifike ni yafuatayo; 1. Kulazimisha Chama na Saidoo kucheza pamoja 2. Kumpanga Saidoo kwa dakika 90 huku akiwa hana uwezo huo kwa umri wake 3. Kumpanga mara kwa mara Kibu ambaye hana utulivu kabisa 4. Kucheza soka butua butua ambalo sio utamaduni wa Simba Sports
  11. JamiiForums Tanzania FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

    === Greatest of all time Leo ni Sikukuu ya Soka. Mnyama Mkubwa Mwituni. Simba SC itakuwa ikishuka dimbani kuwakabili Singida FG FC katika dimba la Mkwakwani pale jijini Tanga. Simba ambayo imesheheni wachezaji mafundi kama vile Onana, Baleke, Kramo, Mwalimu Fabrice Ngoma na wengineo...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Soka letu la bongo bado lipo nyuma Sana???

    TFF yatoa tena List ya Yanga wachezaji wenye vibali.. Kucheza Ngao ✍️✍️✍️
  13. JamiiForums Tanzania Kuwatumia vibaya Diamond na Ali Kiba kwenye siasa za Simba na Yanga ''kutaua" soka la Tanzania

    Inajulikana tangu enzi za Pontyo wa Pilato kwamba shabiki wa Yanga hawezi kuwa shabiki wa Simba and vice versa. Sio tu hivyo bali hadi kwenye kutakiana mafanikio na kuombeana njaa ndani ya uwanja. Shabiki wa Simba hawezi kufurahia mafanikio ya ndani ya uwanja ya Yanga hata itokee nini. Miaka...
  14. JamiiForums Tanzania Pep Guardiola: :Uwekezaji wa Saudi Arabia unaleta changamoto ngumu kwenye Soka la Ulaya"

    Kauli hiyo inafuatia Winga kutoka Algeria, Riyad Mahrez kujiunga na Al-Ahli ambapo Pep ameeleza kuwa uwekezaji wa Matajiri hao wa Mafuta unaolenga kujenga Ligi ya kipekee huko Uarabuni unaleta changamoto mpya na ngumu katika Soka la Ulaya. Pep amesema "Saudi Arabia imebadilisha soko, wakati...
  15. JamiiForums Tanzania Kwenye Soka amewahi kutokea mtu muongo kama Haji Manara?

    Sina umri mkubwa katika kufuatilia soka nje ya uwanja. Sijawahi kushuhudia mtu muongo kama huyu Haji. Sijui wenzangu mtusaidie kama aliwahi kutokea mtu muongo na mfitini kama huyu kwenye soka.
  16. JamiiForums Tanzania Simba SC inapiga soka la kasi, ukila goli 10 usilaumiwe

  17. M

    JamiiForums Tanzania Naomba faida ya Kauli za Majigambo za Wasemaji wa Simba na Yanga katika Maendeleo ya Soka Tanzania

    Ali Kamwe (Msemaji Yanga SC) Siku ya Wananchi (Yanga Day) Taifa litatulia na Watu hawatoamini kwani tunaenda Kumtambulisha Mchezaji ambaye atawafanya Watu fulani Walie, Wasiamini na Wengine hata kutamani Bora Wafe tu.kuliko Kumshuhudia huyo Mchezaji akicheza Yanga SC. Ahmed Ally (Msemaji Simba...
  18. JamiiForums Tanzania SoC03 Soka huzuni mpaka burudani

    Mwaka 1993 kwenye Fainali ya CAF Kwa Sasa Shirikisho kwenye uwanja wa  Uhuru timu ya  Simba ilipoteza Kwa kupigwa magoli mawili dhidi ya Stella Club d'Adjame ya Ivory Coast, hali iliyopelekea Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa wakati huo Mh. Ally Hassan Mwinyi (Mzee wa ruksa) kutokwa na...
  19. J

    JamiiForums Tanzania FIFA waja na sheria mpya ya Offside, je hili litavuruga soka au ni bora?

    Shirikisho la soka la Kimataifa (FIFA) wamekuja na sheria mpya ya offside ambayo ili mchezaji ahesabiwe alikuwa offside ni lazima awe amempita mchezaji wa timu pinzani kwa mwili wake wote
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania yaichapa Libya 9-3, Yatwaa Medali za Shaba (Bronze) kwenye Michuano ya Soka la Ufukweni

    Timu ya Tanzania ya Beach Soccer imepata Medali ya Bronze baada ya kufanikiwa kuwachapa Libya Magoli 9-3. Morocco imetwaa Ubingwa baada ya kutoka Sare ya 3-3 dhidi ya Senegal, mchezo ulioishia kwenye Matuta ambapo Morocco imeibuka na ushindi wa Magoli 4-3. Mgawanyo wa Zawadi umekuwa kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…