Yanga na Mamelodi ndio timu pekee zinazoweza kurudisha heshima ya mtu mweusi katika Soka la Afrika kwenye mashindano ya CAF

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,028
144,381
Matokeo ya mechi za AFL ni ushahidi tosha kuwa Waarabu wanatawala sana soka la Afrika na kwa sasa ni timu za Yanga na Mamelodi pekee zinazoweza kuleta heshima ya mtu mweusi katika soka letu.

NB: Enyimba (timu jina kama ilivyo Simba) anaecheza na Wydad Casablanca muda huu, ameshakula tatu mpaka sasa wakati hata kipindi cha kwanza hakijaisha (aibu inatunyemelea).
 
182aa24e-6fad-4156-a14c-c493f71a7061.jpg
 
Matokeo ya mechi za AFL ni ushahidi tosha kuwa Waarabu wanatawala sana soka la Afrika na kwa sasa ni timu za Yanga na Mamelodi pekee zinazoweza kuleta heshima ya mtu mweusi katika soka letu.

NB: Enyimba (timu jina kama ilivyo Simba) anaecheza na Wydad Casablanca muda huu, ameshakula tatu mpaka sasa wakati hata kipindi cha kwanza hakijaisha (aibu inatunyemelea)
Naunga mkono hoja
 
Simba aliaminiwa na WaAfricka ila ameewaangusha sana ,timu gani kila msimu ni Robo tu miaka nenda rudi hawajifunzi makosa ?

Yanga msimu wa kwanza baada ya miaka mingi kaingia fainali na msimu huu si ajabu akaishia nusu ama kutwaa kombe kabisa.
Mbona unazungumzia mashindano 2 tofauti mkuu

Yanga alifika fainali ya shirikisho Simba robo fainali ya klabu bingwa Afrika

Ni sawa na uifananishe UEFA na EUROPA

Ni lini mara ya mwisho Yanga iliingia robo fainali ya klabu bingwa?
 
Uzi unasema soka la Afrika na mashindano ya CAF ,sasa shirikisho nalo ni miongoni mwa hayo mashindano.

Simba iliwahi kushiriki shirikisho na kutolewa Robo fainal kama kawaida yake na kusifiwa amekufa kiume kwa Kaizer Chiefs .
 
Heading inazungumzia CAF

Lini mara ya mwisho Yanga alifika robo fainali kwenye mashindano ya CAF Champions League kama Simba?

Hayo ndio mashindano makubwa hapa Africa

Nyie mlicheza fainali ya CAF Confederation Cup ambayo ni mashindano madogo ukilinganisha na CAF Champions league

Kimataifa Yanga bado sana kuzifikia rekodi za Simba
 
Simba aliaminiwa na WaAfricka ila ameewaangusha sana ,timu gani kila msimu ni Robo tu miaka nenda rudi hawajifunzi makosa ?

Yanga msimu wa kwanza baada ya miaka mingi kaingia fainali na msimu huu si ajabu akaishia nusu ama kutwaa kombe kabisa.
fainali ipi mkuu?
 
Back
Top Bottom