Mdau wa soka, huyu mchezaji amefanikiwa kufunga magoli katika mechi zinazohusisha upinzani wa jadi wa Timu za Mji mmoja ‘Dabi’ na katika ushindani wa timu kubwa zenye upinzani kutoka miji tofauti Nchini England na Hispania.
Amefunga katika mechi ya Liverpool vs Everton, Barcelona vs Real Madrid...
Nyota huyo wa zamani wa Uingereza, ambaye sasa ni mmoja wa watangazaji maarufu zaidi kwenye Kituo cha utangaji cha BBC, alituma tena chapisho la Kampeni ya Palestina ya Kususia Kielimu na Utamaduni ya Israeli (PACBI) kwenye X, ambayo zamani ilikuwa Twitter.
Katika Chapisho Hilo, PACBI ilitoa...
Kamati ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi ilikuwa na nafasi kubwa ya kufanya haya mashindano yawe na heshima na hadhi ya juu kimataifa, lakini figisu na kukesa weledi kunafanya mashindano yaonekane kituko hasa kwa timu wageni tunaowaalika.
Ushauri wangu kwa kamati ya mashindano haya, isiundwe...
Baada ya APR kunyimwa goli lililoonekana ni halali likifungwa na mchezaji Shiboub aliyewahi kuchezea Simba Sports. Baada ya mechi kocha wa APR alilalamika kubebwa waziwazi kwa timu ya nyumbani Mlandege jambo ambalo si la kiuanamichezo na kwa kuzingatia heshima ya mashindano hayo yanayoshirikisha...
Ninaangalia game ya JKU ya Zanzibar VS Simba SC ya Tanganyika kwenye michuano ya Mapinduzi CUP kwenye Uwanja wa Amani huko Zanzibar.
Kwenye mechi hii kulikuwa na Aliyeitwa Mgeni rasmi, huyu ametajwa cheo chake kuwa ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mjini Magharibi.
Swali langu ni hili, hivi kazi...
Jina lake kwa sasa ni kubwa kwenye Ulimwengu wa Soka na anatajwa takribani kila wiki, amecheza soka Hispania, Ufaransa, Scotland na England.
Timu alizocheza
Barcelona B
Paris Saint-Germain
Rangers
Real Sociedad
Everton
Arsenal
WATANZANIA TUWE CHAWA WA KUIBUA VIPAJI VYA SOKA
Soka letu,hususan ligi kuu,ni kama biashara ya machinga.
Namaanisha kuchuuza bidhaa usizozalisha.
Ligi kuu ambayo inatawaliwa na Simba na Yanga na kidogo Azam, wachezaji wa vilabu hivyo wanaoongoza ni raia wa kigeni.
Wachezaji kutoka Tanzania...
Sijui itakuwaje miaka ijayo maana hii leo kila mtanzania anajua high pressing, low block, back three na mengine yote. Ifikie wakati pundits watoshe tubaki mashabiki.
Anataka TFF wakarabati nyumba za mtu ili iweje?
Alichozungumza Rais kwenye video hiyo ni kuwa mara kadhaa ameambiwa aukarabati uwanja wa Taifa. Hata hivyo alihoji kuwa viwanja hivyo huwa vinatumiwa na watu wanaoingia huwa wanalipa fedha, alihoji fedha hizo ziko wapi ili zikarabati uwanja...
Siku moja nikiwa naangalia Soka pale Gentlemen Sports Lounge (Sinza) huku najipongeza kidogo baada ya mihangaiko ya hapa na pale, nilimsikia jamaa mmoja meza ya pembeni akisema "Hii siyo Simba naijua mimi, Sisi hata tukifungwa ila tukiwa tumepiga soka safi "Sexy football au pira biriani basi...
1. Ghana vs Uruguay
World cup 2010 south africa, suarez alinawa mpira makusudi uliokuwa ukizama kambani . ikatengwa penati na Asamoah Gyan akaenda kukosa nakumbuka braza angu alilia sana coz ile gemu ingetusaidia wa africa kuingia nusu fainali.
2. Fabrice Muamba,alidondoka uwanjani gemu...
Huu ni mfululizo wa maamuzi yenye dosari ya kuipendelea Yanga unaofanywa na marefa katika ligi yetu,
Kamati ya ligi naona umeamua kutokucheka na kima, ili kuokoa ligi yetu kumezwa na rushwa kutoka kwa wawekezaji wahuni wanaotumia njaa za marefa na wachezaji wa timu ndogo
Shirikisho la Mpira barani Ulaya (UEFA,) limeipongeza Tanzania kupitia Taasisi isiyo ya kiserikali ya Karibu Tanzania Organization (KTO,) kwa jitihada zinafanywa katika kukuza soka la wanawake na wasichana katika ngazi mbalimbali za Elimu kwa kuanzia ngazi ya Elimu Msingi.
Hayo yameeelezwa na...
MAP - Max, Aziz Ki na Pacome
Huu ni utatu /Ramani ya hatari sana na kwa wale wenye macho ya ndani tunaona kabisa kwamba utatu huu utaendelea kufanya mambo makubwa mno pengine kuwahi kutokea Tanzania, Afrika Mashariki hata Afrika kiujumla.
Uzi huu ubaki kama kumbukumbu.
Kwa wageni wa Soka na watoto waliouvamia mchezo huu kwa kusukumwa na shetani la kamari ndio wanaweza kushangazwa na umwamba wanao wekeana nyota wa klabu ya PSG Edinson Cavani raia wa Uruguay na Neymar jr raia wa Brazil.
Lakini kwa wenyeji wa mchezo huu, ambao tulianza kuufuatilia mchezo wa...
Leo tarehe 31 Octoba, 2023 Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David Concar amefanya ziara ya kutembelea timu ya Simba na kufanya mazungumzo na viongozi na watendaji wa timu ya Simba.
Kwa namna Simba walivyo na mikakati naona moja ya mazungumzo/maombi ya Simba kwa Mhe. Balozi itakuwa...
Matokeo ya mechi za AFL ni ushahidi tosha kuwa Waarabu wanatawala sana soka la Afrika na kwa sasa ni timu za Yanga na Mamelodi pekee zinazoweza kuleta heshima ya mtu mweusi katika soka letu.
NB: Enyimba (timu jina kama ilivyo Simba) anaecheza na Wydad Casablanca muda huu, ameshakula tatu mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.