soka

Mchezo wa mpira wa miguu.
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Japan: Mshambuliaji David Villa asema atastaafu kucheza soka mwishoni mwa msimu huu

    Mshambliaji wa timu ya Vissel Kobe ya Nchini Japani, David Villa, 37 raia wa Hispania asema kuwa ataastaafu kucheza soka mwaka ujao baada ya kumalizika kwa msimu wa ligi kuu nchini Japan. Mshambuliaji huyo aliyejiunga na timu ya Kobe Desemba mwaka jana amesema kuwa ana mpango wa kustaafu...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Interview ya Zahera E FM imenipa picha halisi ya soka la Tanzania

    Leo kulikuwa na interview ya Zahera akihojiwa na E Fm na amefunguka mambo mengi yaliyoendelea kati yake na ya Yanga moja kati ya mijadala ya humu yalikuwa yanahusu viongozi wa team kuingilia majukumu ya kocha, hili jambo nilikuwa nasikia Ila sikutaka kuamini Ila Zahera amelisema ndiyo nimeamini...
  3. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Liverpool wampa jina jipya mchezaji Kun Aguero

    Habari wadau wa michezo? Mashabiki wa damu wa Liverpool wana hasira sana na Aguero sababu ya unyama anao watendea mara kwa mara wakati timu yao LFC inapokutana uwanjani na Manchester City FC. Sasa katika kupoza machungu na kushangilia hasimu wao kupoteza pointi 2 jana tarehe 17/08/2019 Man City...
  4. MBWAMBO NICHOLAUS JR

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha Tanzania kitakachoumana na Kenya kufuzu CHAN

    Nini maoni yako
Back
Top Bottom