soka

Mchezo wa mpira wa miguu.
  1. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Leo ni Real Madrid Vs Man City wanafamilia wa soka mpo?

    wapenzi wa soka leo ni Madrid Vs Man City wanaanza rasmi safari ya kumaliza ubishi ipi timu bora kwenye michuano ya champions league msimu huu 2023/2024. kuna wanaosema bingwa wa champions msimu huu atatoka kwenye moja ya hizi timu za awa majini! haya sasa washkadau tupieni hints chache kulekea...
  2. O

    JamiiForums Tanzania EDO KUMWEMBE: Miezi sita ya Fei Toto kucheza soka viunga vya TFF

    JINSI ambavyo maisha yanakwenda kasi. Niliwahi kusema mahala. Hatimaye tumefika Mei tukiwa na sakata la Fei Toto mkononi mwetu. Anaitwa mwanasoka lakini hachezi soka la ushindani tangu Desemba mwaka jana. Kwa sasa Fei amekuwa maarufu katika viunga za TFF kando yake akiwa na meneja wake pamoja...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sikio la kufa halisikii dawa, unapumzisha wachezaji kwa ajili ya nusu fainali na unakandwa kama kawaida

    Robertinho bado ni kocha mwenye mapungufu mengi, wanaomfananisha na Nabi naona wanasukumwa na mihemko ya kishabiki na sio uhalisia. Mechi na Namungo akupaswa kufanya utoto kama ule eti anawapumzisha wachezaji wa kikosi cha kwanza kwa ajili ya Nusu Fainali Azam Federation, unatakiwa ushike...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ikiwa Yanga watabeba kombe la CAF Shirikisho wataheshimika zaidi ya Simba iliyofuzu Makundi ya CAF CL mara 3

    Ingekua vipi, ingekuwa vipi? Navuta taswira kwa nadharia kwamba, Yanga ikiweza kubeba Kombe laCAF Shirikisho je, kwa hapa nchini watakuwa wazito zaidi kuzidi Simba waliofuzu makundi ya CAF CL mara 3 ndani ya miaka mitano?
  5. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Msemaji kama Msemaji katika ubora

    Wakati nyie mnaparurana huko, sisi kama sisi huwa tupo peace and love na huwa tunapongezana pia kusaidiana mbinu pale inapohitajika. Haya ya kuchukiana tunawaachieni nyie mnaotoa viingilio.
  6. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Tanzania has entered into agreements with three American clubs to enhance tourism and investment opportunities

    Tanzania has signed Memorandums of Understating (MOU's) with the United States’ Major League Soccer (MLS), The National Football League (NFL) and National Basketball Association (NBA) clubs to promote the country’s tourism and investment opportunities. The clubs involved in the lucrative deals...
  7. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Malimwengu ya mashabiki wa soka Tanzania

    Katika pitapita zangu mitaani, mitandaoni na vijiweni nimekutana na mashabiki wa Yanga na Simba wakitaniana, tambiana na kupigana vibisibisi vya hapa na pale. Hiyo yote inapelekea kunogeshwa kwa soka la bongo. Kali na kubwa kuliko yote ni pale ambapo mashabiki wa Simba vile wamekuwa wanaibeza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya wahitimu wa zamani (2019 kurudi nyuma) kufanya usaili wa kuandika (written interview) pamoja na wahitimu wapya (2022-2021)

    Siyo siri, kuwa mtu akikaa miaka mingi baada ya kuhitimu huku kila siku anapambana na maisha akili huwa inachoka. Halafu unapambanishwa na vijana fresh toka vyuoni akili bado inacharge hasa. Ila hamna jinsi, itabidi mpambane tu. Tatizo ni kwamba unakuta mtu steam ishakata, baada ya kufanya...
  9. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha Soka Tanzania Kimepanda au cha Afrika Kimeshuka?

    Wakati natafakari hayo najiuliza zaidi. Je, Ulaya na Hususan UK Premier League inadumaza viwango vya Mpira Sehemu Nyingine? Kulikuwa na wakati nchi tofauti zina vionjo tofauti, Afrika Nguvu na Showboating, Brazil Ginga Football n.k.; Nilisoma article moja ya Academy huko Brazil kwamba sasa hivi...
  10. Zombie S2KIZZY

    JamiiForums Tanzania Soka la bongo ni Nyoso Ila sio Juma

    Soka la bongo halitaendelea kamwe kwasababu ya ubovu wake kuanzia kwny timu zake unafiku uzandiki ushamba Hivi hizi simba na yanga n timu za Kenya na Tanzania au? maana ushabiki unazidi Sasa si ajabu jumapili umuone mwana simba anawashabikia rivers hadharan kwa mkapa wampige yanga hii hata watu...
  11. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Simba fanyeni mazoezi ya mikwaju ya penati

    Kuna kila dalili magoli ya jumla kuwa date kati ya Simba na Wydad Casablanca hivyo kusababisha njia nyingine ya kuamua matokeo katika mchezo huo, ni muhimu sana Simba kujipanga kwa jambo hili. Katika mchezo huo Simba inatarajiwa kuingia kwa nidhamu kubwa ya ulinzi hivyo kuwa vigumu kwa Wydad...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Soka la Zanzibar lina safari ndefu sana

    Hivi ushawahi kujiuliza ni kwa nini ukifika mwezi mtukufu wa Ramadhan ligi zote za soka Zanzibar zinasimama? Ipo hivi; kila mwaka, kipindi cha mfungo wa Ramadhan, soka visiwani Unguja na Pemba halichezwi. Wenyewe wanasema ipo hivyo kwa sababu ya kutoa fursa kwa wanaofunga kuitumia ibada...
  13. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Talaka zilivyowafilisi mastaa wa Soka Duniani

    PARIS, UFARANSA. Hivi karibuni stori kubwa ni kumhusu mchezaji wa kimataifa wa Morocco anayeichezea PSG, Achraf Hakim ambaye ameandikisha mali zake zote chini ya jina la mama yake, hivyo mkewe ameambulia patupu baada ya kuwasilisha maombi ya talaka mahakamani. Hakim ambaye alifunga ndoa na...
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Abdelhak Nouri staa wa Ajax aliyelazimika kustaafu soka akiwa na miaka 20

    Mwanzoni mwa mwaka 2017 katika shule ya soka ya Ajax kulikuwa na kipaji maridhawa ambacho mtendaji mkuu wa Ajax ndugu Edwin Van Der Sar alikuwa ana uhakika baada ya miaka miwili mitatu watapata pesa ndefu kutokana na mauzo ya kinda huyo hatari ambaye si mwingine bali ni Abdelhak Nouri. Abdelhak...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Baleke kwa Nabi ni benchi

    Baleke yupo kwenye kiwango bora sana, lakini kwa mifumo ya Nabi pale Yanga hachezi! Chama mwenyewe chini ya Nabi ananzia benchi. Ni inonga tu, anaweza kuingia kwenye kikosi cha Nabi moja kwa moja, kwa nature ya uchezaji wake.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mbogo Maji Ihefu waipania Simba Jumatatu ya Pasaka

    Ihefu maarufu kama Mbogo Maji wamekula za uso 5 kwa 1 jana usiku ktk mchezo wa robo fainal ya kombe la azam, hata hivyo Mbogo Maji imetamba kulipiza kisasi katk mchezo wa marudiano wa ligi ya NBC uliopangwa kupigwa cku ya j3, yaan keshokutwa. Mbogo Maji wamepost kwenye ukurasa wao wa insta kwa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa Soka kuweni wakweli

    Yanga wapo kwenye nyakati bora sana hivi sasa, walipokuwa wanakosea walisemwa sana na wakabeba kama changamoto, wamebadilika na wapo mbali sana. Juhudi za kuwasifia ziwe kama zile ambazo zilikuwepo wakati wa kuwakosoa, ukifanya hivyo umeiheshimisha taaluma ya Habari, usione haya!
  18. prince basho jr

    JamiiForums Tanzania Wazawa hawaheshimiwi kwenye Soka la Tanzania

    MZAMIRU YASINI NI ROHO KWENYE KIWILI WILI CHA SIMBA. Acha na zile Assist za Clatous Chama acha na ile mikimbio na press za Ntibazonkiza acha na zile Hat trick za Beleke ila pale Simba SC Tanzania yupo mwana Kigoma anaitwa Mzamiru Yassini. Huyu katika michezo mingi ya Simba ndio amekuwa kiini...
  19. FK21

    JamiiForums Tanzania Kwa roho mbaya aliyonayo Mbappe hatadumu katika career yake

    Ukisikia madaraka ya kulevya kweli bwana mdogo kayaonesha. Nimeangalia short clip videp dogo aki block mipira mazoezini isimfikie Messi kwa kuipiga nje, kila anapotaka kupasiwa Messi anawahi anapiga mbali. Kiukweli Messi alijisikia vibaya sana, au dogo aliumia sana kufungwa final na Argenting...
  20. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Pamba FC mkombozi wa soka la Mwanza

    Jana kulikua na mechi ya Kuwania kupanda daraja Mwanza, ambapo Pamba fc walikua wakicheza na Kitayose fc, huo mchezo ulimalizika kwa Pamba kutoka sare ya bila kufungana na Kitayose ya Tabora, Mwamuzi kwenye mchezo huo Emmanuel Safari alishindwa kuumudu mchezo huo baada ya kushindwa kutoa penati...
Back
Top Bottom