soka

Mchezo wa mpira wa miguu.
  1. JanguKamaJangu

    Hatimaye Zlatan Ibrahimovic astaafu kucheza soka

    Ametangaza kuchukua uamuzi huo akiwa na umri wa miaka 41 baada ya kucheza soka kwa miaka 24 Straika huyo aliyekuwa akiitumikia AC Milan, miezi kadhaa nyuma alinukuliwa akisema hana mpango wa kustaafu licha ya kuandamwa na majeraha ya mara kwa mara na umri wake kuwa mkubwa Zlatan Ibrahimovic...
  2. Influenza

    Maisha ya soka: Eden Hazard kuondoka Real Madrid. Wakubaliana kuvunja mkataba

    Real Madrid na Eden Hazard wamefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wa Mchezaji huyo kuanzia Juni 30, 2023 huku akiwa amebakiwa na mwaka mmoja Hazard aliyejiunga Madrid kutoka Chelsea kwa ada ya Pauni Milioni 150, amekuwa akipata majeraha ya mara kwa mara yaliyomfanya kutofikia kiwango chake...
  3. John Gregory

    Njia pekee Feitoto kuondoka Yanga bila makubaliano/kuuzwa ni kustaafu soka

    Najaribu kutafakari endapo Al hilal wangemtaka Messi na kumshawishi avunje mkataba na PSG ili wamchukue bila mazungumzo na ingekuwaje? Duniani kote hakuna utaratibu wa mchezaji kujiamulia kuvunja mkataba na kuondoka, Au club kujiamulia kumvunjia mkataba mchezaji bila mazungumzo/makubaliano...
  4. NALIA NGWENA

    Asante sana Fistoni Kalala Mayele kwa goli lako bora la siku. Wanayanga hatuna cha kukudai

    Goli alilofunga Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Fiston Kalala Mayele kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika limeteuliwa kuwa goli bora la siku katika mchezo huo. Mayele mpaka sasa ndiye kinara katika mbio za mfungaji bora wa michuano hiyo akiwa tayari...
  5. GENTAMYCINE

    Baada ya kuona hawana chao tena CAFCC sasa wanatambia Ufungaji Bora wa Mayele kama sehemu ya Kujifariji

    Tafadhali tubakie tu katika uchezaji wa Yanga SC na fainali iliyoko na tusizuge sasa kwa kuhamisha goli kujifanya kufungwa kwenu na USM Alger FC jana siyo Muhimu kwenu na kwamba ufungaji bora anaokwenda kuupata Fiston Mayele ndiyo gumzo kuu na Mafanikio yenu huko CAFCC. Kudadadeki...!! Kila la...
  6. M

    Upendeleo wa wazi kwa Yanga si mzuri kwa tasnia ya mchezo wa soka nchini

    Nachukua nafasi hii kuwapongeza Yanga kufika fainali ya CAFCC kwa mwaka 2023 lakini pia nachukua nafasi hii kutokubaliana na upendeleo wa dhahiri uliofanywa na Mama kwa klabu ya Yanga Ni jambo la kushangaza Mama ana miaka 3 madarakani na katika muda huo kaikuta Simba ikishiriki mashindano haya...
  7. L

    Soka yaimarisha umoja miongoni mwa watu wa makabila mbalimbali mkoani Xinjiang, China

    Mchezo wa soka ni moja ya michezo jumuishi, ambayo uchezaji wake huruhusu watu tofauti, bila kujali rangi za ngozi zao, asili zao na hata makabila yao kujumuika na kucheza pamoja kwa furaha. Nguvu ya soka inaonekana zaidi kwenye maeneo yenye mkusanyiko mkubwa wa watu wenye asili tofauti, ambapo...
  8. The best 007

    Rasmi, Yanga ndio timu bora zaidi Afrika Mashariki na Kati

    Haijawahi kutokea hapa Tanzania kukawa na timu ya mpira wa miguu iliyo bora kama au kuliko Young Africans, Yanga pia ndiyo timu pekee kutoka Tanzania kushinda mechi nyingi za nje za kimataifa kwa msimu mmoja. Mpira wa miguu utapata heshima kubwa na kuleta maana ikiwa Yanga itachukua ubingwa wa...
  9. Greatest Of All Time

    Tukio gani kwenye soka huwezi kulisahau?

    Ni mchezo wa Fainali ya kombe la dunia, takribani watu bilioni 1 duniani wanafatilia mtanange huo. Dakika ya 3 ya nyongeza ndani ya dakika 120, ubao ukiwa unasomeka 3-3 kwa Ufaransa na Argentina. Ndani ya dakika 3 za nyongeza, zikiwa zimebaki sekunde 16 mtanange uishe ili waende penati, huku...
  10. The best 007

    Ramani hii inathibitisha Ukubwa wa Yanga nchini Tanzania

    Kama huioni timu yako jua kwamba ni ndogo. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  11. Librarian 105

    Wanasimba hii chungu kumeza, ila hasira zenu msizimalizie kwa Mohamed Dewji!

    Yanga ndio huyo Fainali ya Shirikisho. Tambueni tu mtani anachuma alichopanda baada ya msoto mkali. Uwekezaji, mipango-mkakati na utawala bora, maandalizi mazuri ya msimu, kiu ya mafanikio n.k, vimewafanya jamaa kuandika historia. Mafanikio hayana uchawi zaidi ya kujipanga. Mtaani apewe...
  12. M

    Ukisikia ubatizo wa moto kwenye soka ndio huo: Man city 4 - 0 Real Madrid

    Ubatizo ni kuzamishwa hadi usionekana, ndicho kilichofanyika kwa Real Madrid, amezamishwa! Ukiwauliza watakuambia huo moto waliobatizwa nao si wa kitoto. Hongera Man City, ila chonde chjonde usije ukamla ngo'mbe mzima ukashindwa kumalizia mkia!
  13. C

    Yanga mmeweka heshima kwa nchi

    Kwanza nachukua fursa hii kuwapongeza Yanga pamoja na kwamba kwenye haya mashindano karibia timu zote zilizoshiriki zina hali mbaya ya kushuka daraja kwenye ligi zao. Sio kwamba mmepata mafanikio haya kwa kuwa mna wachezaji wazuri sana hapana, bali ni kujituma kwao ndio kumeleta mafanikio haya...
  14. Franky Samuel

    Yanga kuvuta Tsh. Millioni 300 wakifuzu fainali

    Milioni 300 Kwa ushindi wa jana, Yanga wanakaribia kuvuta bonasi ya Tsh. 300 milioni ambazo mabosi wa timu hiyo wamewaweka nyota wao endapo watafuzu fainali hizo[emoji383][emoji383].
  15. Sultan MackJoe Khalifa

    Leo ni Real Madrid Vs Man City wanafamilia wa soka mpo?

    wapenzi wa soka leo ni Madrid Vs Man City wanaanza rasmi safari ya kumaliza ubishi ipi timu bora kwenye michuano ya champions league msimu huu 2023/2024. kuna wanaosema bingwa wa champions msimu huu atatoka kwenye moja ya hizi timu za awa majini! haya sasa washkadau tupieni hints chache kulekea...
  16. O

    EDO KUMWEMBE: Miezi sita ya Fei Toto kucheza soka viunga vya TFF

    JINSI ambavyo maisha yanakwenda kasi. Niliwahi kusema mahala. Hatimaye tumefika Mei tukiwa na sakata la Fei Toto mkononi mwetu. Anaitwa mwanasoka lakini hachezi soka la ushindani tangu Desemba mwaka jana. Kwa sasa Fei amekuwa maarufu katika viunga za TFF kando yake akiwa na meneja wake pamoja...
  17. M

    Sikio la kufa halisikii dawa, unapumzisha wachezaji kwa ajili ya nusu fainali na unakandwa kama kawaida

    Robertinho bado ni kocha mwenye mapungufu mengi, wanaomfananisha na Nabi naona wanasukumwa na mihemko ya kishabiki na sio uhalisia. Mechi na Namungo akupaswa kufanya utoto kama ule eti anawapumzisha wachezaji wa kikosi cha kwanza kwa ajili ya Nusu Fainali Azam Federation, unatakiwa ushike...
  18. sky soldier

    Ikiwa Yanga watabeba kombe la CAF Shirikisho wataheshimika zaidi ya Simba iliyofuzu Makundi ya CAF CL mara 3

    Ingekua vipi, ingekuwa vipi? Navuta taswira kwa nadharia kwamba, Yanga ikiweza kubeba Kombe laCAF Shirikisho je, kwa hapa nchini watakuwa wazito zaidi kuzidi Simba waliofuzu makundi ya CAF CL mara 3 ndani ya miaka mitano?
  19. PakiJinja

    Msemaji kama Msemaji katika ubora

    Wakati nyie mnaparurana huko, sisi kama sisi huwa tupo peace and love na huwa tunapongezana pia kusaidiana mbinu pale inapohitajika. Haya ya kuchukiana tunawaachieni nyie mnaotoa viingilio.
  20. Dalton elijah

    Tanzania has entered into agreements with three American clubs to enhance tourism and investment opportunities

    Tanzania has signed Memorandums of Understating (MOU's) with the United States’ Major League Soccer (MLS), The National Football League (NFL) and National Basketball Association (NBA) clubs to promote the country’s tourism and investment opportunities. The clubs involved in the lucrative deals...
Back
Top Bottom