soka

Mchezo wa mpira wa miguu.
  1. G

    JamiiForums Tanzania Kwenye soka Mhhindi hawezi kushindana na Muarabu. Kwa hali hii Yanga mpaka 2030

    Muhindi anachungulia sana pochi na akiweka mzigo mkubwa ujue ni malengo ya kibiashara mfano kuinunua timu moja kwa moja. Hebu ona haya klabu maaruufu waarabu wanaweka mizigo ya maana, wana mapenzi makubwa na pira.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Mechi ya Yanga na Simba ya tarehe 20/04/24 inaweza isifanyike kwasababu ambazo hazitaeleweka kwa mashabiki wa soka au mchezo kuvunjika

    Katika mechi iyayo ya Simba na Yanga, yoyote anaweza kupoteza au wakatoa sare japo wengi wanaona Simba ana nafasi kubwa ya kupoteza huo mchezo. Kwenye soka, lolote linaweza kutokea na ndio maana Simba hii dhaifu bado naipa nafasi ya kuweza kushinda au hata kutoa sare japo hata mashabiki wenyewe...
  3. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)

    Klabu ya Young Africans iliyoko Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji (RSTP) ya Shirikisho hilo. Pamoja na masuala...
  4. FDR.Jr

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji soka ni siasa na kwa Tanzania ni dini, ondoa Try Again, Mangungu na umuonye Imani. Simba fans tunakusihi kwa sababu wakati ni ukuta...

    MOHAMED DEWJI ADUI ZAKO NI TRY AGAIN NA MANGUNGU SIYO WANACHAMA WALA SI WASHABIKI WA SIMBA, UNAPOTAKA KULA LAZIMA ULIWE , WAWILI HAWA SIYO WALAJI BALI NI WALAFI,WAONDOKE SASA AMA WEWE MWENYEWE UKUBALI KUWAJIBIKA ONCE AND FOR ALL…..WASHAKUWEKA KONANI, SIMBA FANS WANAPUNGUKIWA IMANI NAWE…..EMBU...
  5. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Yanga ashangazwa na mambo yanayoendelea soka la Bongo

    Tangu nimeingia kwenye mpira wa Tanzania, kitu ambacho nimekua sifurahishwi nacho ni kwamba Yanga ikiwa na jambo flani ikaenda kwenye taasisi yeyote hapa nchini, taasisi hiyo itapeleka jambo ambalo mnataka kufanya upande wa pili eti isionekane inapendelea upande mmoja. Nina mifano hai, Yanga...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kwenye soka la Tanzania, Mbona kila timu ya kigeni inakuja na Chakula chake?

    Bado sijaelewa hali hii imetokana na nini, Walianza Al Ahaly lakini sasa hata Mamelod wamefanya hivyo ! Je, kuna nini huku Bongo hadi timu hizi ziogope kula kwenye mahoteli yetu?
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ushindani wa soka uliopo nchini uchochee kuinua ubora wa soka Tanzania

    Mathalani, Ushindani wa jadi baina ya simba na Yanga uchochee kuibua vipaji vya soka na kuinua ubora na viwango vya soka la Tanzania, kitaifa na kimataifa 🐒 Viongozi wa serikali na wasio wa serikali, wahamasishe na kusimamia ushindani huu, uwe mkubwa zaid na uwe wa amani na utulivu ili kusudi...
  8. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Rais wangu, usikubali uwanja wa soka Arusha uitwe jina lako. Mpe mwanakwenda Edward Lowassa, utaheshimika milele!

    Michoro na mkataba wa ujenzi wa uwanja mpya wa soka Arusha uko tayari na umesainiwa; na tayari wakandarasi wako site! Kelele nyingi na majigambo ya machawa ni kuhusu jina la uwanja wakati bado hata Lori Moja la mchanga halijamwagwa pale tayari wametoka na jina la uwanja wenyewe! . Samia...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania 'Dawa 178 na Vifaa Tiba 15 vilivyoondolewa kwenye Kitita kipya cha NHIF'

    Pia soma: NHIF yarudisha dawa 178 zilizoondolewa
  10. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu tamu za soka

    Andres Iniesta Kondoo fulani katikati ya msitu wa mbwa mwitu wakali Ile picha ya kibabe sana, aliipiga 'Felipe Mondrovera' wa 'Getty images'. Ilikuwa Juni 10 2012 mechi ya kwanza ya EURO. Hispania waliianza kampeni yao ya kutetea taji la mataifa Ulaya. Kumbuka hapo walitoka kuchukua EURO 2008...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Chama cha soka Misri chavutana na Liverpool kuhusu afya ya Salah

    Suala la afya ya Mohamed Salah limesababisha mvutano baina ya Chama cha Soka cha Misri (EFA) dhidi ya Klabu ya mchezaji huyo, Liverpool ambapo kila upande unavuta upande wake ukiona una haki ya kumtumia na kujua maendeleo ya majeraha yake. Liverpool imedai afya ya mchezaji haijakaa sawa tangu...
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania Howard Webb: Lulu ya Soka katika Dunia

    Kwa nadharia, mpira wa miguu ni mchezo rahisi sana. Ila kiuhalisia, sio kweli ni mcheo mgumu na mchezo wa kikatili sana. Mchezo una sheria 17 pekee, lakini ni sheria ambazo utafsiri wake huwa ni mgumu sana endapo mwamuzi sio makini. Waamuzi wa Ligi kuu za mataifa mbalimba wanapaswa kufanya...
  13. Smt016

    JamiiForums Tanzania Soka la Tanzania ngazi ya vilabu inakuwa kwa kasi sana, hongereni wawekezaji

    Tanzania ndio association pekee iliyopeleka timu mbili robo fainali klabu bingwa na hii inaonesha kukuwa kwa vilabu vyetu. La pili naona utawala wa timu za kiarabu zinaanza kutokomea kwenye michuano ya CAF, tuliona kwenye AFCON jambo hilo na huku champions league naona imejirudia. Ni timu mbili...
  14. Damaso

    JamiiForums Tanzania Gareth Frank Bale: Lulu ya Soka kutoka Wales

    Gareth Bale, mchezaji wa soka kutoka Wales, mara nyingi huonekana kuwa ni moja ya hazina kubwa katika ulimwengu wa kandanda, haswa kutokana na ustadi wake wa kipekee, uimara, na uchezaji thabiti uwanjani umemfanya kuwa mtu wa kuheshimika sana katika mchezo wa soka. Ni ngumu kuzungumzia mafanikio...
  15. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Je, ndio mwisho wa Paul Pogba kisoka? Afungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka 4 kutokana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli

    Paul Pogba ambaye atatimiza umri wa miaka 31 mwezi Machi mwaka huu amefungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka minne kutokana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli. Mpaka adhabu yake iishe atakuwa ametimiza umri wa miaka 35, umri ambao wachezaji wengi wanatundika daluga. Mchezaji huyo mwenye...
  16. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Priscus Tarimo alilia maboresho viwanja vya Soka na gofu

    Kilimanjaro, Serikali imeahidi kutuma watalamu kwa ajili ya kufanyia tathimini uwanja wa michezo wa Memorial ulioko Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro ili kuuwekea nyasi mbadia na kuwezesha uwanja huo kutumika kwa ajili ya mechi za kitaifa. Kauli hiyo imetolewa na waziri wa utamaduni...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Yanga ipewe pongezi kwa ubunifu wao katika soka duniani

    Wanajamvi mambo ni vipi Uzi huu ni wakuwapongeza watoto wa jangwani. Binafsi ninafurahishwa na ubunifu wa Ally kamwe wa kuwapa siku wachezaji katika mechi muhimu. Ally Kamwe ni kijana mwenye akili na anayeweza kuchangamsha mchezo wa kandanda nchini. Hii kitu ya kuwapa wachezaji siku zao...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Sijui kwa nini mashirikisho ya soka yanang'an'gania nafasi ya mshindi wa tatu, hii nafasi imepitwa na wakati

    Salam wanaspoti. Jana ilitakiwa iwe fainali ya AFCON 2024 na leo ilikuwa ni sherehe tu ya kushangilia kombe lakini sasa kutokana na kuhangaika na nafasi ya tatu fainali inabidi ichezwe leo. Timu zimekaa hotelini toka jumatano zinasubiri mechi ya fainali zaidi ya siku tatu hii yote eti...
  19. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Marouane Fellaini astaafu soka

    Kiungo mkongwe, Marouane Fellaini (Mkubwa Fella) amestaafu soka la ushindi akiwa na miaka 36. Fellaini ambaye ni Mbelgiji amewahi kukipiga vilabu kadhaa ikiwemo Everton na Man Utd kabla kutimkia Uchina. Ameshinda FA Cup pamoja na Europa League mwaka 2017 akiwa na Man Utd. Mwaka 2018 alishika...
  20. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania XAVI Umepiga Kazi Mitaa ya Wapenda Soka Haitokudharau Imekuheshimu

    Mpira ni Mchezo ambao unafanya watu wasahau Maumivu ya Gharama kubwa za Maisha ndani ya dakika 90. Mpira ni Mchezo ambao unafanya watu wa Dini Tofauti wasahau Imani zao kwa Mda, na wote wanakua na Dini Moja kwa dakika 90. Mpira ni Mchezo ambao unafanya wapinzani kisiasa waungane kwa dakika 90...
Back
Top Bottom