UEFA: Manchester United yaendelea kuchezea vichapo, yapigwa 4-3 na Bayern Munich

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
WABABE WA LEO.jpg
Ikicheza kwenye Uwanja wa ugenini, Manchester United imefungwa magoli 4-3 dhidi ya Bayern Munich katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Kundi A.

Magoli ya Bayern yamefungwa na Leroy Sane, Segre Gnabry, Harry Kane na Mathy Tel wakati United wafungaji ni Rasmus Hojlund na Casemiro (mawili).

Huo ni mchezo wa tatu mfululizo kwa United kupoteza, michezo iliyopita ikifungwa na Arsenal (3-1) na Brighton (3-1) katika Premier League.
 
Mmh kumekucha
 
Man U kwa matokeo ya jana kulingana na kiwango alichonacho kwa sasa "DO WELL" ila wale Benfica Mungu anawaona. 😢
 
Back
Top Bottom