soka

Mchezo wa mpira wa miguu.
  1. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Kama timu yako haipo hapa wewe bado mdogo soka la Afrika

    RATIBA YA HATUA YA PILI YA MASHINDANO MAKUBWA AFRIKA (CAFCL) CBE FC 🇧🇴 x 🇹🇿Yanga SC Dekedda SC 🇬🇼x 🇭🇰Esperance Gor Mahia FC 🇰🇪 x 🇪🇬Al Ahly SC APR FC 🇷🇼 x 🇪🇬Pyramids FC Mbabane 🇬🇼 x 🇿🇦Mamelodi AS Maniema 🇨🇩 x 🇦🇴 Petro Atletico Red Arrows 🇿🇲x 🇨🇩 TP Mazembe Jwaneng Galaxy 🇧🇼 x 🇿🇦 Orlando Enugu...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Burudani ya soka bila EPL

    Kumbe unaweza kuburudika kwa kutazama futbol bila hata mechi za EPL. Binafsi nilikuwa natamani sana EPL ingekuwemo kwenye king'amuzi cha Azam lakini ndiyo hivyo tena. Pamoja na kukosekana kwa EPL ndani ya Azam, lakini kwa sisi wapenda soka, angalau nafsi inaridhika kwa kutazama mechi live...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania KUTEKWA KWA DEUSDEDITH SOKA NA KISA CHA BEN SAANANE

    Ben Saanane alikuwa mmoja wa wanaharakati wa kisiasa wenye sauti kali ndani ya CHADEMA, hususan akifahamika kwa msimamo wake wa kukosoa serikali ya wakati huo. Kabla ya kupotea, Ben alikuwa ameandika makala kadhaa na kutoa matamko ambayo yaliibua mjadala mkubwa, na baadhi ya kauli zake zilikuwa...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania KUTEKWA KWA DEUSDEDITH SOKA NA KISA CHA BEN SAANANE

    Ben Saanane alikuwa mmoja wa wanaharakati wa kisiasa wenye sauti kali ndani ya CHADEMA, hususan akifahamika kwa msimamo wake wa kukosoa serikali ya wakati huo. Kabla ya kupotea, Ben alikuwa ameandika makala kadhaa na kutoa matamko ambayo yaliibua mjadala mkubwa, na baadhi ya kauli zake zilikuwa...
  5. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Soka yupo wapi? Tuambieni kama mmemficha au mmemuua tujue moja

    Deusdedith Soka Kijana wa watu mmemficha wapi au mmemuuwa hatujasahau ya kijana wa watu Ben Saanane mpaka leo hata shati lake halionekani achana na mwili. Tuambieni tujue mtoto huyu mmemuua au?
  6. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Rais Samia, Kiongozi wetu Deus Soka Ametekwa, Hajulikani Alipo kwa Wiki Mbili

    Simba wa Kizimkazi mh Tundu Antipas Lisu amepeleka kilio chake kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia juu ya kutekwa na kupotea kwa kijana Deus Soka Makamu Mwenyekiti huyo wa CHADEMA ametoa kilio chake ukurasani X Ahsanteni Sana 🐼 ====== Rais Samia, kijana huyu anaitwa Deus Soka...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kesi iliyofungiliwa na Adv Kisabo kuhusu walipo kina Soka kusililizwa kesho Dar mahakama Kuu

    Mlio Dar fikeni kwa wingi! Polsi tusiwalaumu, huenda kuna amri toka kwa wakubwa zao kuwa washikilie/waue. Kama IGP, Waziri Masauni, and all other top authorities wamekaa kimya, means wanahusika na amri hizi!
  8. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nimeamua rasmi kuwa mwekezaji mkubwa katika soka la Tanzania

    Ndugu wanahabari wenzangu, ni mimi tena Sheikh Sayville mwenye visima vya mafuta ya alizeti. Baada ya kutafakari kwa kina na kusikia vilio na maombi ya wengi, nimeamua kwa utashi wa moyo wangu kuwekeza katika soka. Nimezingatia jinsi ninavyotumia muda mwingi katika mambo haya ya mipira, ni...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Eng Hersi mwache Mzize akamalize soka lake Wydad, unamuharibia maisha

    Mzize hana umri unaotaka kuwaaminisha watu, sio young player, wengi tunamfahamu Mzize, muache akacheze soka huko anakoliliwa, Mzize maisha yake bado hayajakaa sawa na njia pekee kwake kutoboa ni kwenda Wydad akacheze, hapa Yanga wewe shs ngapi Injinia. Halafu nikuambie tu washabiki wengi wa...
  10. Nyendo

    JamiiForums Tanzania KWELI Dkt. Slaa asema amepata taarifa kuwa Deusdedith Soka atauawa na kutupwa msituni

    Habari wapendwa, kuna taarifa inatembea mitandaoni kuwa Dkt. Slaa amepata taarifa ya Deusdedit Soka ya kwamba atauawa leo na kutupwa msituni, je, Taarifa hiyo ni kweli imetoka kwa slaa? Na ina ukweli?
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mzee C.Ronaldo akubali kustaafu soka

  12. Gang Chomba

    JamiiForums Tanzania Nyota wa Soka walio anza kama Ball Boys…wangapi umewatambua?!

    Tuanze na Gerald na Arnold na Gerard na Kovacic…
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mzize avunja ukimya pasi ya Chama, asema picha linakuja

    Mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize amesema ubora wa pasi ya mwisho ya Clatous Chama ulimpa urahisi wa kukwamisha mpira nyavuni. Mzize alifunga bao la nne na la mwisho kwenye ushindi wa mabao 4-1 ilioupata Yanga dhidi ya Azam katika fainali ya Ngao ya Jamii iliyochezwa juzi Jumapili kwenye...
  14. King Leon 1

    JamiiForums Tanzania Nini kimewapelekea viongozi wa Simba kumsajili mshambuliaji Mcameroon Lionel toka USM Algiers?

    Ndugu wanasoka wenzagu naomba kuuliza nini kimewafanya viongozi wa Simba kumsajili huyu mchezaji ambae kila nikisoma takwimu zake naona hazimbebi kabisa kuwa chaguo sahihi. Simhukumu ila ningependa kujua tu mapema kabla hatujampa muda klabuni? Soma Pia: Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki...
  15. King Leon 1

    JamiiForums Tanzania Upangaji wa matokeo na rushwa itaangamiza soka Zanzibar Kimataifa

    Katika hali ya kushangaza sana ,Club ya Uhamiaji FC ya Zanzibar inayoshiriki mashindano ya Shirikisho Africa imekubaliana na Al ahly Tripoli ya Libya kuwa mechi zao zote zitapigwa Libya kwa sababu ambazo hazina mashiko kuwa za kiusalama na makubaliano baina ya timu izo mbili. Sasa kati ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Itoshe kusema kuwa Mfalme wa soka nchini Tanzania, Simba Sc imepata mshambuliaji hatari Abubeker Nessir. Mabeki ya NBCPL wajiandae kulala na viatu

    Mara baada ya tajiri Mo dewji kupost katika mtandao wa X kuwa Simba itasajili Mshambuliaji mwingine kabla ya dirisha kubwa kumalizika. Habari zimevuja kuwa tayari Simba sc imeinasa mshambuliaji wa kimataifa wa Ethiopia, Abubeker Nessir kutoka klabu ya Mamelodi. Niwape tu habari kuwa huyu jamaa...
  17. X

    JamiiForums Tanzania Kama mwanamke wako ni shabiki wa timu za mpira au anacheza video games za soka kuna ujumbe wako hapa

    Ikiwa mwanamke wako anatazama mpira wa miguu na ni shabiki wa timu fulani, ujue kwamba timu yoyote anayoishabikia ni mwanaume aliitambulisha kwake. Hasa mpenzi wake anayemkubali sana wanasema a true lover. Ikiwa mwanamke wako mara aseme: "Mimi ni shabiki wa Chelsea, wakati mwingine Man U...
  18. Ben-adam

    JamiiForums Tanzania Betting ni mchezo unaoweza kukuletea umasikini hata kukuua!

    Sidhani kama kuna mtu anabeti/alibeti kunishinda mimi! Betting ina addiction ile mbaya, ikikukumba siyo rahisi kuacha. Hongera nyingi kwa aliegundua hii michezo, alitumia akili kwelikweli! Nimetumia kila mbinu, kila hesabu ninazozijua lakini kipigo kiko palepale. Pia niwape pole wale...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Shirikisho la soka nchini Senegal limezindua sanamu kumuenzi mwanasoka wa taifa hilo Sadio Mane, mjini Bambali alikozaliwa!

    Mambo ndo kama hayo mnavyoona ndugu watazamaji
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Je, Rais wa Yanga Hersi Said anaweza kuwa ni mwanafunzi wangu wa soka?

    Unajua humu ndani tunachukuliana poa sana labda kwa sababu ya hizi ID feki. Kuna madogo ambao wanatakiwa wakupe heshma iliyotukuka ila kwa kuwa tunakutana katika nyuzi za soka tunachukuliana wote hamnazo. Miaka fulani nikiwa bado bwa mdogo nilishajijengea heshima fulani mitaani ya kusakata...
Back
Top Bottom