soka

Mchezo wa mpira wa miguu.
  1. Kuna nini kwenye soka la Tanzania, Mbona kila timu ya kigeni inakuja na Chakula chake?

    Bado sijaelewa hali hii imetokana na nini, Walianza Al Ahaly lakini sasa hata Mamelod wamefanya hivyo ! Je, kuna nini huku Bongo hadi timu hizi ziogope kula kwenye mahoteli yetu?
  2. Ushindani wa soka uliopo nchini uchochee kuinua ubora wa soka Tanzania

    Mathalani, Ushindani wa jadi baina ya simba na Yanga uchochee kuibua vipaji vya soka na kuinua ubora na viwango vya soka la Tanzania, kitaifa na kimataifa 🐒 Viongozi wa serikali na wasio wa serikali, wahamasishe na kusimamia ushindani huu, uwe mkubwa zaid na uwe wa amani na utulivu ili kusudi...
  3. Rais wangu, usikubali uwanja wa soka Arusha uitwe jina lako. Mpe mwanakwenda Edward Lowassa, utaheshimika milele!

    Michoro na mkataba wa ujenzi wa uwanja mpya wa soka Arusha uko tayari na umesainiwa; na tayari wakandarasi wako site! Kelele nyingi na majigambo ya machawa ni kuhusu jina la uwanja wakati bado hata Lori Moja la mchanga halijamwagwa pale tayari wametoka na jina la uwanja wenyewe! . Samia...
  4. 'Dawa 178 na Vifaa Tiba 15 vilivyoondolewa kwenye Kitita kipya cha NHIF'

    Pia soma: NHIF yarudisha dawa 178 zilizoondolewa
  5. Kumbukumbu tamu za soka

    Andres Iniesta Kondoo fulani katikati ya msitu wa mbwa mwitu wakali Ile picha ya kibabe sana, aliipiga 'Felipe Mondrovera' wa 'Getty images'. Ilikuwa Juni 10 2012 mechi ya kwanza ya EURO. Hispania waliianza kampeni yao ya kutetea taji la mataifa Ulaya. Kumbuka hapo walitoka kuchukua EURO 2008...
  6. Chama cha soka Misri chavutana na Liverpool kuhusu afya ya Salah

    Suala la afya ya Mohamed Salah limesababisha mvutano baina ya Chama cha Soka cha Misri (EFA) dhidi ya Klabu ya mchezaji huyo, Liverpool ambapo kila upande unavuta upande wake ukiona una haki ya kumtumia na kujua maendeleo ya majeraha yake. Liverpool imedai afya ya mchezaji haijakaa sawa tangu...
  7. Howard Webb: Lulu ya Soka katika Dunia

    Kwa nadharia, mpira wa miguu ni mchezo rahisi sana. Ila kiuhalisia, sio kweli ni mcheo mgumu na mchezo wa kikatili sana. Mchezo una sheria 17 pekee, lakini ni sheria ambazo utafsiri wake huwa ni mgumu sana endapo mwamuzi sio makini. Waamuzi wa Ligi kuu za mataifa mbalimba wanapaswa kufanya...
  8. Soka la Tanzania ngazi ya vilabu inakuwa kwa kasi sana, hongereni wawekezaji

    Tanzania ndio association pekee iliyopeleka timu mbili robo fainali klabu bingwa na hii inaonesha kukuwa kwa vilabu vyetu. La pili naona utawala wa timu za kiarabu zinaanza kutokomea kwenye michuano ya CAF, tuliona kwenye AFCON jambo hilo na huku champions league naona imejirudia. Ni timu mbili...
  9. Gareth Frank Bale: Lulu ya Soka kutoka Wales

    Gareth Bale, mchezaji wa soka kutoka Wales, mara nyingi huonekana kuwa ni moja ya hazina kubwa katika ulimwengu wa kandanda, haswa kutokana na ustadi wake wa kipekee, uimara, na uchezaji thabiti uwanjani umemfanya kuwa mtu wa kuheshimika sana katika mchezo wa soka. Ni ngumu kuzungumzia mafanikio...
  10. Je, ndio mwisho wa Paul Pogba kisoka? Afungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka 4 kutokana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli

    Paul Pogba ambaye atatimiza umri wa miaka 31 mwezi Machi mwaka huu amefungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka minne kutokana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli. Mpaka adhabu yake iishe atakuwa ametimiza umri wa miaka 35, umri ambao wachezaji wengi wanatundika daluga. Mchezaji huyo mwenye...
  11. Priscus Tarimo alilia maboresho viwanja vya Soka na gofu

    Kilimanjaro, Serikali imeahidi kutuma watalamu kwa ajili ya kufanyia tathimini uwanja wa michezo wa Memorial ulioko Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro ili kuuwekea nyasi mbadia na kuwezesha uwanja huo kutumika kwa ajili ya mechi za kitaifa. Kauli hiyo imetolewa na waziri wa utamaduni...
  12. T

    Yanga ipewe pongezi kwa ubunifu wao katika soka duniani

    Wanajamvi mambo ni vipi Uzi huu ni wakuwapongeza watoto wa jangwani. Binafsi ninafurahishwa na ubunifu wa Ally kamwe wa kuwapa siku wachezaji katika mechi muhimu. Ally Kamwe ni kijana mwenye akili na anayeweza kuchangamsha mchezo wa kandanda nchini. Hii kitu ya kuwapa wachezaji siku zao...
  13. H

    Sijui kwa nini mashirikisho ya soka yanang'an'gania nafasi ya mshindi wa tatu, hii nafasi imepitwa na wakati

    Salam wanaspoti. Jana ilitakiwa iwe fainali ya AFCON 2024 na leo ilikuwa ni sherehe tu ya kushangilia kombe lakini sasa kutokana na kuhangaika na nafasi ya tatu fainali inabidi ichezwe leo. Timu zimekaa hotelini toka jumatano zinasubiri mechi ya fainali zaidi ya siku tatu hii yote eti...
  14. Marouane Fellaini astaafu soka

    Kiungo mkongwe, Marouane Fellaini (Mkubwa Fella) amestaafu soka la ushindi akiwa na miaka 36. Fellaini ambaye ni Mbelgiji amewahi kukipiga vilabu kadhaa ikiwemo Everton na Man Utd kabla kutimkia Uchina. Ameshinda FA Cup pamoja na Europa League mwaka 2017 akiwa na Man Utd. Mwaka 2018 alishika...
  15. XAVI Umepiga Kazi Mitaa ya Wapenda Soka Haitokudharau Imekuheshimu

    Mpira ni Mchezo ambao unafanya watu wasahau Maumivu ya Gharama kubwa za Maisha ndani ya dakika 90. Mpira ni Mchezo ambao unafanya watu wa Dini Tofauti wasahau Imani zao kwa Mda, na wote wanakua na Dini Moja kwa dakika 90. Mpira ni Mchezo ambao unafanya wapinzani kisiasa waungane kwa dakika 90...
  16. Huyu ni nani amefunga goli Merseyside Derby, El Classico & Manchester Derby?

    Mdau wa soka, huyu mchezaji amefanikiwa kufunga magoli katika mechi zinazohusisha upinzani wa jadi wa Timu za Mji mmoja ‘Dabi’ na katika ushindani wa timu kubwa zenye upinzani kutoka miji tofauti Nchini England na Hispania. Amefunga katika mechi ya Liverpool vs Everton, Barcelona vs Real Madrid...
  17. Gary Lineker: Mtangazaji wa Mechi Bora Amefuta chapisho lake mitandaoni la kuitaka Israel kupigwa marufuku kujihusisha na soka

    Nyota huyo wa zamani wa Uingereza, ambaye sasa ni mmoja wa watangazaji maarufu zaidi kwenye Kituo cha utangaji cha BBC, alituma tena chapisho la Kampeni ya Palestina ya Kususia Kielimu na Utamaduni ya Israeli (PACBI) kwenye X, ambayo zamani ilikuwa Twitter. Katika Chapisho Hilo, PACBI ilitoa...
  18. Kumbukumbu mbalimbali za soka World Wide

  19. Kamati ya mashindano ya kombe la Mapinduzi inahujumu mashindano na kuyafanya yawe kituko mbele ya mataifa mengine yaliyo serious na kukuza soka

    Kamati ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi ilikuwa na nafasi kubwa ya kufanya haya mashindano yawe na heshima na hadhi ya juu kimataifa, lakini figisu na kukesa weledi kunafanya mashindano yaonekane kituko hasa kwa timu wageni tunaowaalika. Ushauri wangu kwa kamati ya mashindano haya, isiundwe...
  20. Mapinduzi Cup imeoza, mshindi amepangwa. Rwanda kutoshiriki tena? Simba inatolewa leo kwa Maelekezo?

    Baada ya APR kunyimwa goli lililoonekana ni halali likifungwa na mchezaji Shiboub aliyewahi kuchezea Simba Sports. Baada ya mechi kocha wa APR alilalamika kubebwa waziwazi kwa timu ya nyumbani Mlandege jambo ambalo si la kiuanamichezo na kwa kuzingatia heshima ya mashindano hayo yanayoshirikisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…