siri

Siri (pronounced , si-RIE) is a virtual assistant that is part of Apple Inc.'s iOS, iPadOS, watchOS, macOS, and tvOS operating systems The assistant uses voice queries and a natural-language user interface to answer questions, make recommendations, and perform actions by delegating requests to a set of Internet services. The software adapts to users' individual language usages, searches, and preferences, with continuing use. Returned results are individualized.
Siri is a spin-off from a project originally developed by the SRI International Artificial Intelligence Center. Its speech recognition engine was provided by Nuance Communications, and Siri uses advanced machine learning technologies to function. Its original American, British, and Australian voice actors recorded their respective voices around 2005, unaware of the recordings' eventual usage in Siri. The voice assistant was released as an app for iOS in February 2010, and it was acquired by Apple two months later. Siri was then integrated into iPhone 4S at its release in October 2011. At that time, the separate app was also removed from the iOS App Store. Siri has since become an integral part of Apple's products, having been adapted into other hardware devices over the years, including newer iPhone models, as well as iPad, iPod Touch, Mac, AirPods, Apple TV, and HomePod.
Siri supports a wide range of user commands, including performing phone actions, checking basic information, scheduling events and reminders, handling device settings, searching the Internet, navigating areas, finding information on entertainment, and is able to engage with iOS-integrated apps. With the release of iOS 10 in 2016, Apple opened up limited third-party access to Siri, including third-party messaging apps, as well as payments, ride-sharing, and Internet calling apps. With the release of iOS 11, Apple updated Siri's voices for more clear, human voices, started supporting follow-up questions and language translation, and additional third-party actions.
Siri's original release on iPhone 4S in 2011 received mixed reviews. It received praise for its voice recognition and contextual knowledge of user information, including calendar appointments, but was criticized for requiring stiff user commands and having a lack of flexibility. It was also criticized for lacking information on certain nearby places, and for its inability to understand certain English accents. In 2016 and 2017, a number of media reports have indicated that Siri is lacking in innovation, particularly against new competing voice assistants from other technology companies. The reports concerned Siri's limited set of features, "bad" voice recognition, and undeveloped service integrations as causing trouble for Apple in the field of artificial intelligence and cloud-based services; the basis for the complaints reportedly due to stifled development, as caused by Apple's prioritization of user privacy and executive power struggles within the company.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siri kubwa bao la Clatous Chama

    Hili bao video yake mpaka sasa imeshindikana kupatikana. Wengine wanasema waki upload baada ya sekunde tu ile Video inapotea. Ni kama inakuwa deleted. Hili wameniambia jamaa wawili ambao walikuwa na team Nigeria. Wanasema hata kwenye simu zako waki-upload kwa wengine inashindikana. Huwezi...
  2. JamiiForums Tanzania Ukiona maisha yako ni magumu basi jua kuwa kuna Mtu amekuchezea (amekuroga)

    Habari zenu, Waswahili husema wendawazu ni kufanya jambo ulilofeli awali kwa namna ileile lakini ukitegemea ushindi. Watu wengi Afrika wana bidii ya kutafuta fedha au maisha lakini maisha yenyewe hawayaoni. Afrika wananchi hurogana ili tu kuipa furaha mioyo yao ya wivu. Haijalishi umesoma au...
  3. JamiiForums Tanzania Kundi la Wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno. Wakizibwaga, CHADEMA inasambaratika

    Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika. Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi. Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania should account for COVID-19 funds and stop hiding behind the facade of sovereignty

    Taasisi moja ya utafiti ya nchini Denmark imechambua hoja za Prof. Kabudi na serikali ya Dr Magufuli juu ya matumizi ya fedha za msaada kupigana na COVID-19. Tanzania inadai maombi ya siku tatu yalifutilia mbali novel coronavirus, sasa Bunge la Umoja wa Ulaya linahoji pesa zimetumikaje au...
  5. JamiiForums Tanzania Mbinu za motisha kwa Walimu, kuajiri Walimu kutoka shule binafsi na kambi za kitaaluma zapelekea Simiyu chini ya RC Mtaka kuendelea kielimu

    MTAKA AELEZA NAMNA MIKAKATI YA KUKUZA ELIMU SIMIYU ILIVYOZAA MATUNDA Sekta ya Elimu Mkoani Simiyu imekuwa ikifanya vizuri katika kipindi hiki cha karibuni. Katika matokeo ya darasa la saba Mwaka huu 2020 Mkoa wa Simiyu umetoa shule 8 katika orodha ya shule zilizoongeza ufaulu kwa kiasi...
  6. JamiiForums Tanzania Fahamu Alama ya jicho lenye maana ya siri kubwa likihusishwa na Ushetani

    Dhana ya uwepo wa kitu cha siri imeghubika nembo za kwenye sarafu na kufanywa kuwa ishara au alama inayoonekana. Alama ya 'Jicho' - hili ni jicho ndani ya umbo la pembe tatu - ni moja ya alama inayohusishwa na masuala ya ushetani ambayo pia imeonekana kuwa na uhusiano wa karibu na Iluminati...
  7. JamiiForums Tanzania Mliobahatika kupata kazi bila hata interview mtupe siri

    Habari wadau, Kama kichwa kinavyojieleza; najua kuna wababe wapo maofisini hawajui interview ni nini. Hebu watupe siri walifanya fanyaje mpaka wakaaminika na boss wakapita bila kupigwa. Amini usiamini hawa watu duniani wapo wengi sana. 😁😁😁😁😁
  8. JamiiForums Tanzania Usipende kutoa siri za biashara yako kwa watu wasio wateja wako

    Katika vitu napataga shida ni kwenye kuchagua vichwa vya habari ya thread ninazoanzisha kwahiyo ndugu zangu tuwe tunasameheana inapotokea nimeandka kichwa cha habari halafu content inapishana hapo muwe mnanisamehe tu. Leo bana kuna ishu moja nataka kuongea na wafanyabiashara/wajasiriamali sio...
  9. JamiiForums Tanzania Kama umetoka mkoani kuja Dar kutafuta maisha, tulia nikupe siri ili utoboe

    From my experience nitaweka vitu viwili vitatu vidogo ila ni muhimu sana kwa watafutaji tuliotoka mkoani kuja Dar kutafuta maisha. Maisha popote pale yapo na yanaweza kukunyookea. Ila vijana wengi tumekuja Dar kwasababu mbalimbali. Dar es Salaam ni rahisi kupata fedha kuliko mkoa wowote...
  10. JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu wowote wakumwambia mwenza wako siri zako zote?

    Ebu tuambiane ukweli wadau mana Dunia imebadilika sana unaweza mwambia mkee wako au mumewako kuna kitu sehemu flani mfano bastola ahaahahah siki mmegombana akachukua akajilipua au akakulipua
  11. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nataka nimwambie Mheshimiwa Kassim, kazi ya uwaziri mkuu haina 'guarantee'

    Baada ya kumteua kisha kuthibitishwa na Bunge mwishoni mwa wiki, leo asubuhi Rais John Magufuli atamwapisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa ataapishwa ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa kipindi cha pili ikiwa ni siku tatu baada ya Bunge kumthibitisha. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara...
  12. JamiiForums Tanzania Msijiulize sana, ni kweli GINIMBI alikuwa na jeneza kwenye chumba chake cha siri

    Watu wamekua wakijiuliza kweli kama Bilionea huyu alikua na jeneza ndani..kutoka Makao Makuu Ya Zimbabwe Jijini Harare Mwanamitandao ya kijamii na mfanyabiashara, Genius Ginimbi Kadungure ambaye alikufa katika ajali ya gari Jumapili alikuwa ameripotiwa kununua jeneza lake wiki moja kabla ya kifo...
  13. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa 2020 umeweka wazi SIRI nzito iliyokuwa imejificha kati ya upinzani na wananchi

    Tukiachana na kukumbwa kwa demokrasia pamoja na unyama uliotokea katika uchaguzi wa 2020 hapa nchini Tanzania jingine la kujifunza ni SIRI nzito iliyokuwepo katika ya wananchi na upinzani. Kwa ufupi mno ni kwamba tukilinganisha uchaguzi wa mwaka 2015 (ambao ndio uliowapatia upinzani ushindi...
  14. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tuliosimamia Uchaguzi tukiri kuwa tumewatendea dhambi Watanzania kwa sababu ya kutii Mamlaka

    Hatuna cha kueleza sisi tuliosimamia Uchaguzi tutabaki nafsi zikituuma lakini tulitii mamlaka zilizokuwa juu yetu. Mkakati kuanzia juu mpaka chini kabisa kwenye ngazi ya mwisho mkakati ulitekelezwa na watendaji wakatimiza. Narudia tena, ogopa mamlaka iliyoko juu yako. Tulifanya serikali za...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Kura sio siri tena

    Prof. Lipumba ameibua hoja nzito kuhusu USIRI WA KURA kwenye Uchaguzi huu. Akihojiwa na ITV mchana huu amesema ameshtushwa na Makarani ambao walikuwa wakinakiri namba za Kitambulisho cha Mpiga Kura kwenye Karatasi ya Mpiga Kura. Hivo Tume au Serikali wakitaka kujua nani kampigia nani ni rahisi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kura sio siri tena

    Kwa hali ilivyo kura sio siri tena kwa kiwango kikubwa maana asilimia kubwa ya wapiga kura wameshajipambanua watampatia nani kura zao. Vilevile hata wanaogombea na wapiga debe wao kwaasilimia kubwa kilammoja atapigia chama au kundi lake. Pia mawakala wa vyama wanajieleza wao watampigia mtugani...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM yataja siri ya wagombea wake kutoenguliwa NEC

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa siri kuhusu wagombea wake kutoenguliwa na Tume ya Uchaguzi kwenye uchaguzi huu mkuu kwa kigezo cha kishindwa kujaza fomu. Aliyefichua siri hiyo alikuwa ni katibu mkuu wa chama hicho Dkt. Bashiru Ally, katika mahojiano na shirika la utangazaji la BBC, kuhusiana...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Siri ya kutofika CORONA Tanzania hii hapa

    Yaani hili ni ono kwa kila Mtanzania anaejitambua na kumtanguliza Mwenyezi Mungu, embu fikiria kama corona ingefunga na kupiga kambi Tanzania leo hii kusingekuwepo na hekaheka za uchaguzi na Magufuli na Chama chake wangekuwa wanaendelea kutesa. Lakini usilolijua ni kama usiku wa kiza,hatukujua...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Omary Kumbilamoto atoboa siri za CHADEMA kuhujumu Miradi ya Awamu ya Tano

    Leo eneo la Kinyerezi kwenye kampeni za Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi ambaye ndie Rais Mtarajiwa hilo halina ubishi, Kumbilamoto amemuomba msamaha Dkt. Magufuli kuwa walifanya makosa makubwa sana akiwa Meya wa Ilala kupitia CHADEMA kuhujumu miradi ya Serikali ili kuonesha Rais...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Nini siri ya tarehe 28?

    kama mnakumbuka Archduke Franz Ferdinand at Sarajevo city of Bosnia Juni 28,1914. Ebu tutaje matukio yaliyowahi kutokea duniani katika tarehe tajwa hapo juu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…