siri

Siri (pronounced , si-RIE) is a virtual assistant that is part of Apple Inc.'s iOS, iPadOS, watchOS, macOS, and tvOS operating systems The assistant uses voice queries and a natural-language user interface to answer questions, make recommendations, and perform actions by delegating requests to a set of Internet services. The software adapts to users' individual language usages, searches, and preferences, with continuing use. Returned results are individualized.
Siri is a spin-off from a project originally developed by the SRI International Artificial Intelligence Center. Its speech recognition engine was provided by Nuance Communications, and Siri uses advanced machine learning technologies to function. Its original American, British, and Australian voice actors recorded their respective voices around 2005, unaware of the recordings' eventual usage in Siri. The voice assistant was released as an app for iOS in February 2010, and it was acquired by Apple two months later. Siri was then integrated into iPhone 4S at its release in October 2011. At that time, the separate app was also removed from the iOS App Store. Siri has since become an integral part of Apple's products, having been adapted into other hardware devices over the years, including newer iPhone models, as well as iPad, iPod Touch, Mac, AirPods, Apple TV, and HomePod.
Siri supports a wide range of user commands, including performing phone actions, checking basic information, scheduling events and reminders, handling device settings, searching the Internet, navigating areas, finding information on entertainment, and is able to engage with iOS-integrated apps. With the release of iOS 10 in 2016, Apple opened up limited third-party access to Siri, including third-party messaging apps, as well as payments, ride-sharing, and Internet calling apps. With the release of iOS 11, Apple updated Siri's voices for more clear, human voices, started supporting follow-up questions and language translation, and additional third-party actions.
Siri's original release on iPhone 4S in 2011 received mixed reviews. It received praise for its voice recognition and contextual knowledge of user information, including calendar appointments, but was criticized for requiring stiff user commands and having a lack of flexibility. It was also criticized for lacking information on certain nearby places, and for its inability to understand certain English accents. In 2016 and 2017, a number of media reports have indicated that Siri is lacking in innovation, particularly against new competing voice assistants from other technology companies. The reports concerned Siri's limited set of features, "bad" voice recognition, and undeveloped service integrations as causing trouble for Apple in the field of artificial intelligence and cloud-based services; the basis for the complaints reportedly due to stifled development, as caused by Apple's prioritization of user privacy and executive power struggles within the company.

View More On Wikipedia.org
  1. Samia atosha tukutane2030

    Kama umetoka mkoani kuja Dar kutafuta maisha, tulia nikupe siri ili utoboe

    From my experience nitaweka vitu viwili vitatu vidogo ila ni muhimu sana kwa watafutaji tuliotoka mkoani kuja Dar kutafuta maisha. Maisha popote pale yapo na yanaweza kukunyookea. Ila vijana wengi tumekuja Dar kwasababu mbalimbali. Dar es Salaam ni rahisi kupata fedha kuliko mkoa wowote...
  2. yuda75

    Je, kuna umuhimu wowote wakumwambia mwenza wako siri zako zote?

    Ebu tuambiane ukweli wadau mana Dunia imebadilika sana unaweza mwambia mkee wako au mumewako kuna kitu sehemu flani mfano bastola ahaahahah siki mmegombana akachukua akajilipua au akakulipua
  3. Miss Zomboko

    Rais Magufuli: Nataka nimwambie Mheshimiwa Kassim, kazi ya uwaziri mkuu haina 'guarantee'

    Baada ya kumteua kisha kuthibitishwa na Bunge mwishoni mwa wiki, leo asubuhi Rais John Magufuli atamwapisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa ataapishwa ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa kipindi cha pili ikiwa ni siku tatu baada ya Bunge kumthibitisha. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara...
  4. Aigle

    Msijiulize sana, ni kweli GINIMBI alikuwa na jeneza kwenye chumba chake cha siri

    Watu wamekua wakijiuliza kweli kama Bilionea huyu alikua na jeneza ndani..kutoka Makao Makuu Ya Zimbabwe Jijini Harare Mwanamitandao ya kijamii na mfanyabiashara, Genius Ginimbi Kadungure ambaye alikufa katika ajali ya gari Jumapili alikuwa ameripotiwa kununua jeneza lake wiki moja kabla ya kifo...
  5. winnerian

    Uchaguzi wa 2020 umeweka wazi SIRI nzito iliyokuwa imejificha kati ya upinzani na wananchi

    Tukiachana na kukumbwa kwa demokrasia pamoja na unyama uliotokea katika uchaguzi wa 2020 hapa nchini Tanzania jingine la kujifunza ni SIRI nzito iliyokuwepo katika ya wananchi na upinzani. Kwa ufupi mno ni kwamba tukilinganisha uchaguzi wa mwaka 2015 (ambao ndio uliowapatia upinzani ushindi...
  6. A

    GE2020 Tuliosimamia Uchaguzi tukiri kuwa tumewatendea dhambi Watanzania kwa sababu ya kutii Mamlaka

    Hatuna cha kueleza sisi tuliosimamia Uchaguzi tutabaki nafsi zikituuma lakini tulitii mamlaka zilizokuwa juu yetu. Mkakati kuanzia juu mpaka chini kabisa kwenye ngazi ya mwisho mkakati ulitekelezwa na watendaji wakatimiza. Narudia tena, ogopa mamlaka iliyoko juu yako. Tulifanya serikali za...
  7. Mzalendo2015

    GE2020 Prof. Lipumba: Kura sio siri tena

    Prof. Lipumba ameibua hoja nzito kuhusu USIRI WA KURA kwenye Uchaguzi huu. Akihojiwa na ITV mchana huu amesema ameshtushwa na Makarani ambao walikuwa wakinakiri namba za Kitambulisho cha Mpiga Kura kwenye Karatasi ya Mpiga Kura. Hivo Tume au Serikali wakitaka kujua nani kampigia nani ni rahisi...
  8. M

    Kura sio siri tena

    Kwa hali ilivyo kura sio siri tena kwa kiwango kikubwa maana asilimia kubwa ya wapiga kura wameshajipambanua watampatia nani kura zao. Vilevile hata wanaogombea na wapiga debe wao kwaasilimia kubwa kilammoja atapigia chama au kundi lake. Pia mawakala wa vyama wanajieleza wao watampigia mtugani...
  9. Alwatan Mabruki

    GE2020 CCM yataja siri ya wagombea wake kutoenguliwa NEC

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa siri kuhusu wagombea wake kutoenguliwa na Tume ya Uchaguzi kwenye uchaguzi huu mkuu kwa kigezo cha kishindwa kujaza fomu. Aliyefichua siri hiyo alikuwa ni katibu mkuu wa chama hicho Dkt. Bashiru Ally, katika mahojiano na shirika la utangazaji la BBC, kuhusiana...
  10. S

    Siri ya kutofika CORONA Tanzania hii hapa

    Yaani hili ni ono kwa kila Mtanzania anaejitambua na kumtanguliza Mwenyezi Mungu, embu fikiria kama corona ingefunga na kupiga kambi Tanzania leo hii kusingekuwepo na hekaheka za uchaguzi na Magufuli na Chama chake wangekuwa wanaendelea kutesa. Lakini usilolijua ni kama usiku wa kiza,hatukujua...
  11. Said Stuard Shily

    GE2020 Omary Kumbilamoto atoboa siri za CHADEMA kuhujumu Miradi ya Awamu ya Tano

    Leo eneo la Kinyerezi kwenye kampeni za Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi ambaye ndie Rais Mtarajiwa hilo halina ubishi, Kumbilamoto amemuomba msamaha Dkt. Magufuli kuwa walifanya makosa makubwa sana akiwa Meya wa Ilala kupitia CHADEMA kuhujumu miradi ya Serikali ili kuonesha Rais...
  12. G

    Nini siri ya tarehe 28?

    kama mnakumbuka Archduke Franz Ferdinand at Sarajevo city of Bosnia Juni 28,1914. Ebu tutaje matukio yaliyowahi kutokea duniani katika tarehe tajwa hapo juu.
  13. Miss Zomboko

    Mbeya: Mwanamke achomwa kisu shingoni baada ya ugomvi wa kutoleana siri za michepuko kwa jamii

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia SALOME BUYA [23] Mkazi wa Mnazi kwa Ndomba wilayani Mbarali kwa tuhuma za kumjeruhi vibaya sehemu ya shingoni TABIA ABDALAH [38] Mkazi wa Msesule. Tukio hili limetokea mnamo tarehe 06.10.2020 majira ya saa 18:00 jioni huko Kijiji cha Mnazi, Kata ya...
  14. Suley2019

    Kwanini wanawake wanaonywa kutotumia limau katika sehemu zao za siri

    Sehemu ya siri ya wanawake ni kiungo hatari sana ambacho kinahitaji kupewa uangalizi maalum Ni sehemu inayohitajika kusafishwa kwa umakini kwasababu magonjwa husambaa kwa haraka na kwa njia rahisi. Wazazi na mababu zetu walikuwa wakisema vitu kama ndimu zinastahili kutumiwa kusafisha uke ili...
  15. CHADEMA

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  16. M

    Ni hatua zipi nifuate niweze kupewa namba ya siri ya huduma za kifedha kwenye simu iliyokuwa inamilikiwa na marehemu?

    Habari waungwana. Nimeteuliwa kufuatilia mirathi ya ndugu yetu aliyetutoka kwa ajali. Nimeshathibitishwa tayari mahakamani. Sasa nauliza namna naweza kupata namba ya siri ya line ya simu ya marehemu maana kuna uwezekano marehemu alikuwa anahifadhi pesa huko. Je huu uthibitisho wa mahakamani...
  17. M

    Tatizo la kutokwa na maji yenye harufu sehemu za siri

    Habari, Mimi ni binti nasumbuliwa na maji kutoka sehemu zangu za siri yenye harufu sana. Nilienda hospitali mara 4 kwa vipindi tofauti tofauti nikafanyiwa vipimo wakakuta nina vivimbe maji kwenye mirija ya uzazi. Nikapewa dawa, baada ya miezi mitano hali imerudi upya. Nakosa amani kabisa...
  18. maroon7

    Nini siri ya wamasai kwenye biashara ya sandals?

    Hii kitu huwa najiuliza sana kwanini wamasai wanapenda zaidi biashara ya kutembeza sandoz (sandals) kuliko biashara zingine? Siku za nyuma nilikua naamini wao ndio wanazitengeneza kumbe sivyo nao ni walanguzi tu. Hii imepelekea mpaka zipewe jina la sandals za kimasai wakati hawazitengenezi wao...
  19. Analogia Malenga

    Rukwa: Raia wanauza vitambulisho vya kupiga kura kwa siri

    Msimamizi wa Uchaguzi katika Jimbo la Sumbawanga Mjini mkoani Rukwa, Jacob Mtalitinya amewaonya wananchi wanaouza kadi zao za mpigakura kwa siri. Amesema kitendo hicho ni kinyume cha sheria na watakaobainika hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mtalitinya ambaye pia ni Mkurugenzi Manispaa ya...
  20. E

    Kura za Watanzania zama hii zazidi kutokuwa siri

    Tofauti na vipindi vya Uchaguzi wa vyama vingi nilio ushuhudia, 1995 Hadi 2015, Uchaguzi wa mwaka huu wananchi wengi zaidi wako radhi kusema hadharani ama kukuambia Kura yake atampa Nani. Kwa Chaguzi zilizopita ilikua ni kwa wale wakereketwa wa vyama husika tu ndio walikua wakitoa misimamo yao...
Back
Top Bottom