siri

Siri (pronounced , si-RIE) is a virtual assistant that is part of Apple Inc.'s iOS, iPadOS, watchOS, macOS, and tvOS operating systems The assistant uses voice queries and a natural-language user interface to answer questions, make recommendations, and perform actions by delegating requests to a set of Internet services. The software adapts to users' individual language usages, searches, and preferences, with continuing use. Returned results are individualized.
Siri is a spin-off from a project originally developed by the SRI International Artificial Intelligence Center. Its speech recognition engine was provided by Nuance Communications, and Siri uses advanced machine learning technologies to function. Its original American, British, and Australian voice actors recorded their respective voices around 2005, unaware of the recordings' eventual usage in Siri. The voice assistant was released as an app for iOS in February 2010, and it was acquired by Apple two months later. Siri was then integrated into iPhone 4S at its release in October 2011. At that time, the separate app was also removed from the iOS App Store. Siri has since become an integral part of Apple's products, having been adapted into other hardware devices over the years, including newer iPhone models, as well as iPad, iPod Touch, Mac, AirPods, Apple TV, and HomePod.
Siri supports a wide range of user commands, including performing phone actions, checking basic information, scheduling events and reminders, handling device settings, searching the Internet, navigating areas, finding information on entertainment, and is able to engage with iOS-integrated apps. With the release of iOS 10 in 2016, Apple opened up limited third-party access to Siri, including third-party messaging apps, as well as payments, ride-sharing, and Internet calling apps. With the release of iOS 11, Apple updated Siri's voices for more clear, human voices, started supporting follow-up questions and language translation, and additional third-party actions.
Siri's original release on iPhone 4S in 2011 received mixed reviews. It received praise for its voice recognition and contextual knowledge of user information, including calendar appointments, but was criticized for requiring stiff user commands and having a lack of flexibility. It was also criticized for lacking information on certain nearby places, and for its inability to understand certain English accents. In 2016 and 2017, a number of media reports have indicated that Siri is lacking in innovation, particularly against new competing voice assistants from other technology companies. The reports concerned Siri's limited set of features, "bad" voice recognition, and undeveloped service integrations as causing trouble for Apple in the field of artificial intelligence and cloud-based services; the basis for the complaints reportedly due to stifled development, as caused by Apple's prioritization of user privacy and executive power struggles within the company.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mazoezi ni siri kubwa ya urembo na tambo zuri

    Mazoezi ya lisaa limoja kwa siku yanatosha kukufanya upate mwili unaopendeza. Mwili unaokubali kila nguo. Mazoezi yanasaidia kukuepusha na magonjwa mengi ya muda mrefu, mfano kisukari, magonjwa ya moyo, stroke, na matatizo ya miguu. Inapendeza ukiwa na miaka 70+au 80+ bado unaweza kwenda...
  2. JamiiForums Tanzania Je, kuna siri gani kati ya siasa na matajiri wa Tanzania?

    Habari za kushinda wakuu, Je, ushawahi waza kati ya siasa na utajiri? Na kwa nini matajiri wengi wa Tanzania wanaingia katika siasa. Asilimia kubwa ya Matajiri wakubwa Tanzania washawahi kuingia kwenye siasa au wapo tayari kwenye siasa. Je, kunanini kwenye siasa? Licha ya hayo yote matajiri si...
  3. JamiiForums Tanzania Uingereza: Mtaalam wa masaji atupwa jela miaka 4 kwa kurekodi video za wateja wanawake zaidi ya 900

    Mtaalamu wa Masaji (anayewafanyia Watu massage) Julian Roddis wa Uingereza amehukumiwa miaka minne Jela kwa kosa la kutumia camera ya siri iliyofichwa kwenye saa yake kuwarekodi Wateja Wanawake waliofika kufanyiwa Masaji. Uchunguzi umebaini kuwa ametumia miaka miwili kuwarekodi Wanawake zaidi...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Papa ameumwa dunia imetangaza, kwanini viongozi wa Afrika wakiumwa inakuwa siri?

    BBC wametangaza kuwa kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani Papa Francis anaumwa na amefanyiwa upasuaji, sijasikia taharuki. Hapa nchini viongozi wetu huwa ni siri hasa awamu ya 5. Kisa kuepusha taharuki. Akifa hutangazwa, nini maana yake?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Madai ya Katiba Mpya: inawezekana CHADEMA wana baraka za Rais ila kwa siri kubwa

    Jicho la tatu linaniambia kuwa huenda Mama ana agenda ya Katiba Mpya ila anajua wenzake hawaitaki, hivyo kaamua kuwatumia CHADEMA kwa siri kubwa kuamsha madai ya Katiba Mpya. CHADEMA wanaweza kuendelea na hii agenda bila vikwazo huku MATAGA wakiwa hawelewi halafu mwisho wa siku Mama anawaunga...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani iliyojificha kwenye namba 13?

    Hiii number ina nini? Je, ni kweli hii number 13 ina mikosi? Katika mbio za magari number 13 haipo Guest house number 13 haipo! Jezi number 13 ni nadra na Kama ipo ina walakini! Ghorofa number 13 haipo, kwanini? Wamesahau au ina shida gani? Taifa la Germany number 13 hata kwenye kalenda...
  7. JamiiForums Tanzania Kugongewa ni siri ya ndani

    Hata kuku na mbwa wanagongeana sana kikubwa upate mwanamke ambaye ni mjanja asikuletee maradhi kama vile gonorea.. inauma lakini hakuna namna tusaidiane tu kwa kweli ila hakuna mwanamke wa kwako peke yako cha msingi wewe fanya kazi zako usimuwaze sana. Mwanamke mpaka aamue kuacha yeye kuchepuka...
  8. JamiiForums Tanzania Siri kuu ya mafanikio; fanya kazi yako na wawezeshe wengine kufanya kazi zao

    Rafiki yangu mpendwa, Hakuna kitu kimekuwa kinatafutwa kwa muda mrefu kama siri za mafanikio. Mamilioni ya vitabu yameandikwa kuhusu siri za mafanikio. Lakini siri hizo hazijafichwa kwa namna yoyote ile, ziko wazi kabisa. Ambacho watu wamekuwa wanatafuta kwenye siri za mafanikio ni njia ya...
  9. JamiiForums Tanzania Siri ya kinachoifanya nchi/Taifa kuwa super power?

    What make a state or states superpower Mahali ambapo macho ya Mungu yapo, hapo ndipo panatisha kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii Angalia mifano ifuatayo: 1. Egypt ilipokuwa superpower enzi hizo ilifikia peak ya uimara wake pale Israel ilipokuwa inaishi huko. Tunakumbuka Yusuph mmoja wa...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna utaratibu wa ku-declassify nyaraka za siri?

    Kwa wenzetu unakuta baada ya miaka kadhaa kupita, nyaraka za siri huwekwa wazi. Hapa kwetu kuna huo utaratibu? Baada ya muda gani kupita?
  11. JamiiForums Tanzania Watoto wa Kiafrika wamekuwa wakiaminishwa kuwa mahusiano ni kama kosa na ni kitu cha siri

    Watoto wengi wakiafrika wamekuwa wakiamini kuwa mwenye mahusiano ni kama kosa na ni kitu kinacho takiwa kufanywa kama siri .Nadhani wazizi wengi wengi wamechangia kufanya watoto wawe hivyo ukali na kutojari hisia za watoto toka wadogo . Lakini tofauti na wenzetu wazungu mtoto toka mdogo amekuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ijue Ajenda ya Siri juu ya Yanga SC 'Kutishia' kutocheza Mechi yao na Simba SC 03 July, 2021

    Juhudi zangu za Kuchimba kutoka Jikoni nimeambiwa na Mmoja wao kuwa si Kweli kuwa Yanga SC hawataleta Timu Siku hiyo ila Kutishia kwao huku mara kwa mara kutoitambua au kutocheza 'Derby' ni kutaka 'Kuidhoofisha' Klabu ya Simba Kimapato kwakuwa Mechi hii ijayo Simba SC ndiyo Mwenyeji. Hivyo basi...
  13. JamiiForums Tanzania Mchungaji Jackson Senyonga asherekea kifo cha TB Joshua, adai alikuwa Nabii wa uongo

    Tangu nizaliwe na kujitambua nilikuta kuna madhehebu makuu matatu au manne ya kikristu. 1:waroma. 2:Waprotestanti Hiyo ni miaka ya 70 lkn kufikia miaka ya 90 hadi 2000 kumezaliwa makanisa chungu tele hapa Tanzania. Ukifuatilia kwa ukaribu utagundua kila anaye anzisha kanisa lake lazima kwanza...
  14. JamiiForums Tanzania Mke wa Bill Gate alikodi Mpelelezi wa siri kuchunguza mienendo ya mume wake

    Baada ya mume wake kuwa anatoweka ofisini muda wa kazi, Melinda alitaka kujua huwa ana kwenda wapi. Alikodi Private Investigator. Report ya PI huyo imefahamika kuwa jamaa alikua anakutana na totoz mchana, ndiyo msingi mkubwa wa talaka. Hii Porches ya rangi ya dhahabu ndiyo aliitumia Mzee...
  15. JamiiForums Tanzania Fanya haya ili biashara unayoianzisha isife

    1. Fanya biashara unayo ielewa vizuri zaidi, usiige tu kwa kuona mwingine anafanikiwa. Hakikisha wewe mwenyewe una ujuzi nayo. 2. Hakikisha umeyasoma mahitaji ya wateja wako watarajiwa. Hakikisha umeyaelewa kiundani zaidi mahitaji yao na unaweza kuwatimizia ipasavyo. 3. Amua kujenga mahusiano...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kisheria mtumishi wa Umma kutoa Siri za Wateja

    Kanuni za Maadili na Mienendo ya Utumishi wa Umma zinamtaka Mtumishi kutotoa taarifa au Siri za Mteja bila ruhusa maalumu Kujadili taarifa za Wateja kwenye maeneo ya Umma kama Sokoni na kwenye Migahawa ni kuvunja #Haki ya faragha ya Mtu Mtumishi anatakiwa kuendelea kutunza Siri za Mteja hata...
  17. JamiiForums Tanzania Hatimaye Siri imefichuka, Timu Burnaboy dhidi Ya Diamond Platnumz

    Diamond Platnums amechaguliwa kuwania tuzo za BET , akiwa ni yeye pekee tokea pande za Africa mashariki.... Kipengele hcho yupo sambamba na mkali Burna boy tokea Nigeria..! Kinachoshangaza ni kuwepo Kwa makundi yanayompinga kumpigia Kura kutokea hapa hapa nchini kwake Tanzania mahali ambapo...
  18. JamiiForums Tanzania Wanawake tupeane siri

    Wenzetu wakitendwa kauli mbiu "watafte pesa" mapenzi yatajileta. Wanawake je tufanyaje? Iko hivi My childhood friend Zuwena (jins sio halisi) kwao wako vizuri uchumi kati Baba yao alitangulia mbele ya haki wakabaki na mama,,. Huyu Zuwena aliolewa na kubahatika mtoto 1 Aliemuoa aliaply...
  19. JamiiForums Tanzania Dokta Ntara: Nguvu za kiume hutibiwa kwa vyakula tu

    Kamati ya Bunge masuala ya Afya iliypkaa dodoma hivi karibuni , kupitia mbunge wake , ambaye pia ni daktari, imesema tiba ya nguvu za kiume ni vyakula na si madaewa, alkasusu, wala mengineyp yatajwayo. Wanawake watakiwa kuwacha wanaume wapumzike kidogo baada ya bao la kwanza, maana mwanaume...
  20. JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzingatia ili kuwa na afya na kuishi miaka mingi

    Je, unapenda kuishi maisha marefu? Kwa ujumla, hakuna mtu asiyetaka kuishi miaka mingi na kuwa na afya njema. Wanasayansi na wataalamu mbalimbali wamethibitisha kuwa ukizingatia mambo yafuatayo unaweza kujiongezea miaka au umri wa kuishi duniani: 1. Hakikisha unakula vyakula vyenye virutubisho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…