Mke wa Bill Gate alikodi Mpelelezi wa siri kuchunguza mienendo ya mume wake

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
52,553
2,000
1623170642232.png

Baada ya mume wake kuwa anatoweka ofisini muda wa kazi, Melinda alitaka kujua huwa ana kwenda wapi. Alikodi Private Investigator. Report ya PI huyo imefahamika kuwa jamaa alikua anakutana na totoz mchana, ndiyo msingi mkubwa wa talaka.

1623170858742.png

Hii Porches ya rangi ya dhahabu ndiyo aliitumia Mzee Bill kupata quick lunch menus.

Bill Gates disappeared from work in a golden brown Porsche to meet women and has been investigated by a PI appointed by someone in his wife Melinda's circle, Vanity Fair report claims
 

Darmian

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
13,158
2,000
Mume mwenye miaka 60:Bado dushe lipo vyedi..given alikuwa anazingatia ulaji mzuri na hana pressure.

Mke mwenye miaka 60: Huyu ameshapark kitambo sana.

Je mume ataishi vipi?..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom