Tanzania kuna utaratibu wa ku-declassify nyaraka za siri?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Kwa wenzetu unakuta baada ya miaka kadhaa kupita, nyaraka za siri huwekwa wazi.

Hapa kwetu kuna huo utaratibu? Baada ya muda gani kupita?
 
Kikiingia chama kipya madarakani nyaraka karibu zote za siri mtaziona wananchi.
Msihofu, lakini chini ya CCM usitegemee kuona kitu chochote cha siri.
Labda barua ya ajira mpya au kupandishwa daraja iliyoandikwa siri ndio utaiona.
 
Back
Top Bottom