Silicon monoxide is the chemical compound with the formula SiO where silicon is present in the oxidation state +2. In the vapour phase, it is a diatomic molecule.
It has been detected in stellar objects and has been described as the most common oxide of silicon in the universe.
Sijui ni ufupi wake? Rangi yake, aiba yake? Au vinamacho vyake? Mbona Mimi siioni ubaya kama anao twishwa? Aliyemtuma Samia akamwone Tundu Lissu Nairobi ni nani? Au ni yeye aliamua?
Najiuliza kmni ni yeye Leo kwa nini amemweka magereza Mwaka mzima?
Yesu kristo sio MUNGU na alithibitisha yeye mwenyewe kuwa sio MUNGU lakini Afrika na Italia zimeng'ang'ania uongo.
Biblia inatuambia "Yesu akakutana na kijana tajiri akamwita, Mwalimu mwema, yesu akajibu, Mimi sio mwema Bali mwema ni MUNGU peke yake" hapa yesu anakiri kuwa yeye sio MUNGU.
Yesu...
Natoa wito kwa Watanganyika wote na Wazinzabari kuichangia Chadema hii maana ipo kwa ajili ya ukombozi wa taifa letu.
Kutoa ni moyo. Watu wachangie bila kuwa na hofu . Pesa na michango ipo salama tofauti na zama za Mbowe.
Propaganda mfu za wanaCCM waliokosa sera zisisikilizwe.
Mimi binafsi...
sisi wenye ID's ambazo hazina muda mrefu kuanzishwa sio kwamba tulikuwa na ID's za awali na wala sio kwamba ni wageni hummu jamvini.
kumekuwa na nyuzi kadhaa za unyanyapaa kuhusiana na ID's mpya kwa maneno ya kejeli kadhaa wa kadhaa.
inatokea mtu unaingia humu kama guest kwa miaka zaidi ya...
Ukifika pale kituo cha msimbazi kariakoo sana sana labda vyumba vya wakubwa ila wote waliobaki ni kama ofisi za walimu Temesa walivyo.
Uwezi kuelewa kompyuta inakaa wapi,foil ya chips na vidari vya nani,madaftari ya mwanafunzi gani yani vurugu tupu.
Huko nje yani utazani vijiwe vya kahawa na...
Jana jioni niliweza kuwatembelea wazee kadhaa waliostaafu na wengine wafanyabiashara wakubwa kiasi (mitaji yao bilioni kadhaa).
Wengine wametelekeza majengo na biashara zao na kuamia mikoa mingine ili kuepuka fedheha aliyoipata kwenye mahusiano kwa mkewe.
Wengine wameamua kuoa mara nyingine...
Jana nilikuwepo pale Mlimani City kwenye usiku wa Bongo fleva, audience ilikua ni vijana wa zamani (millenials) kwa wingi. Na hao hao ndio waliozomea pale Mwana FA alipoingiza mambo ya serikali.
Ukiingia mtandaoni na mitaani utakuta GenZ hawaikubali kabisa serikali.
Je tunaelekea wapi kama...
Hamjambo!
Mfumo wa Dunia ni kama umbo la vidole vyako vya mkononi. Umbo la pyramid. Watu hawalingani.
Kuna watakaokula zaidi ya wengine. Kuna watakaokula vizuri zaidi ya wengine.
Ulaji.
Kula kwa urefu wa kamba walisema wahenga. Ni kweli. Nature ipo hivyo. Kila mtu ale kwa urefu wa kamba...
Kuna content creator yupo Facebook, Instagram na Youtube Kazi yake kubwa kuuliza wapita njia makazi yao na kodi wanazo lipa.
Jiji la New York mtu analipa usd 2500 alafu anaishi sehemu ya ovyo.
Nikawaza hawa waliopo Ulaya mfano USA hapo new york wanaweza kuwa Dar ya Morogoro Malinyi ndani...
Nimegundua ili hata ambaye na somesha wanatakiwa kuwa na ipad kwenye mambo ya urubani.
Mbona hawajaweka tablet ya techno wala Samsung.
Kashafika level ya kurusha ndege.
Wajuzi mtueleweshe maana kila nikipitia youtube ya mambo ya ndege na marubani wote.Kama ambao content creator anaitwa sam...
Tishio la maandamano la hivi karibuni la Julai 7, 2026, limeibua mjadala mpana na mzito nchini kuhusu namna bora ambayo Serikali inapaswa kukabiliana na changamoto za kisiasa na kijamii zinazochochea wananchi na wanaharakati kutangaza maandamano. Badala ya kuwekeza nguvu nyingi na mabilioni ya...
UKishafanikiwa utayaita afya ya akili.
Utamwaisha mtoto wako milembe mapema mnooo
Ukifika kule utagundua afya ya akili ya mwananadamu ni uwanda mpana sanaa wakati huku mtaani afya ya akili inapimwa kwa kiwango cha kuokota makopo na kukimbia sokoni matako wazi.
Shekhe Mwaipopo kaongea maneno ya uchochezi wazi wazi kila mtu ameona lakini bado yuko uraiani anadunda tu. Je, haya maongezi angekua ameongea mtu mwingine mlengo mwingine angekua bado yuko uraiani?.
Tuseme Mwaipopo ni mwana CCM ni kada wa chama...
Nimemsikiliza jana Crecentius Magori (Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba) alihojiwa na Azam baada ya mechi yao na Azam FC kuisha anasema kusingekua na makosa ya kibinadamu hata ligi ya NBC wangebeba.
kwenye ligi ya NBC na kombe la shirikisho CRDB Tanzania bara kumekua na malalamiko kadha...
Huyu mzanzibari alikua kama anko wangu nadhani jamii forum ndo iliyo tufanya tuwe kama ndugu, mi nilikua nimeajiriwa na mdogo wake wa kike, ndo tulipo fahamiana hapo.
Alikua anafanya kazi smz kama si ardhi, basi mambo ya ujenzi sijui sikumchinguza sana, alikua akiishi stone town, mwaka Jana...
My Take
Bora nibakie nyumbani Tanzania kubeba zege kuliko kusafisha Mavi ya wazee na Watoto wa Kizungu 😆😆😆👇👇
https://www.instagram.com/reel/DY4s2xCIHzu/?igsh=aWlrNjB6M2NrNjhh
Nakuunga juhudi zako lakini anza na uchafu barabarani kwanza ,tengeneza mitaro,na sehemu za kutupa taka.
Unakuta mji mzima asubuhi umesheheni makohozi tu hata kwa kukanyaga hakuna inakulazimu uruke makohozi kama madimbwi ya maji
makohozi mengine unakuta yamechanganyika na ugoro
Weka sheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.