sio

Silicon monoxide is the chemical compound with the formula SiO where silicon is present in the oxidation state +2. In the vapour phase, it is a diatomic molecule.
It has been detected in stellar objects and has been described as the most common oxide of silicon in the universe.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi mnadhani mtaidanganya Dunia kuwa nyinyi sio watekaji na wauwaji?

    Wakifanikiwa wanakanusha,Wakishindwa wanadai ulikuwa na kosa watalitafuta mda wanaojisikia. Kwa dunia hii mshaingia kwenye rekodi mbaya na uchafu wenu. Mnavutiwa mda ili mkishawekwa kitimoto msianze kulalamika kuwa tunawindwa.
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nchi za africa zina subiria kilicho kosea sio kuwai kinachoendelea kukosea.

    Ukiangalia nchi zote za afrika zilisubiria kosa kwanza likafikia tamati ndio waanze kulitatua. Ukilinganisha na wenzetu kukionekana kuna dalili ya makosa uwahi haraka kulitatua ,Ndio maana kila siku kompyuta na vifaa vyetu zinaomba mabadiliko ya kufanyiwa mabadiliko. Serikali za afrika nyingi...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Dunia inazidi kuwabadilisha waislamu mambo mengi sana sasa washagundua mbwa sio haramu kwao kama mfugo

    Ilikuwa ngumu muislamu kusema afuge mbwa na kuweka mazoea naye. Ila kwa dunia ya sasa ukiangalia waislamu wameanza kugundua mbwa anaweza kuwa mlinzi wako na familia yako.Lile tukio lilotokea Venezuela la mbwa kumrinda mtoto we hapo unaweza kusema nini.
  4. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Wanyama sio mchezo kabisa

    Nipo zangu home nikijiburudisha na kipindi changu ya Wanyama hapa. Sasa Kuna kipande cha video nakiona kuna swala alikuwa anakunywa maji kwenye kibwawa kidogo cha maji kumbe ndani Yake kuna Mamba mdogo mdogo. Mamba kamlia timing kamdukua Yule swala amejitahidi saana kuchomoka lakini mwisho wa...
  5. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Etwege wa leo sio Etwege wa jana. Kweli Ukombozi umefika kwa watu wake Mungu

    Nimemusoma uku machozi ya furaha yakinibubujika. Ukombozi umekaribia kabisa upo mlangoni maana waliokua vipofu sasa wanaona na kuutanbua ukweli wote bila kubakiza kitu WATU WA MUNGU WTARUDI KWAKE NA WASHETANI WATABAKI KUWA WAKE SHETANI SIKU ZOTE.Huyu alikuwa mtu wa Mungu amerudi kwa mola ake...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Narudia, Vita sio maonyesho kama World Cup. Vita havinaga Macho wala sheria

    NARUDIA, VITA SIO MAONYESHO KAMA WORLD CUP. VITA HAVINAGA MACHO WALA SHERIA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sijui kwa nini watu wanapumbazwa na artificial laws, editing, makeup. Vita ni jambo la asili. Inapotokea sheria za kutengenezwa hazifanyi kazi. Na ukiona zinatumika ujue ni ulaghai...
  7. Slim

    JamiiForums Tanzania Rafiki Wa kike anahitajika kuanzia miaka 35 kuendelea tuienjoy tu akiwa sio mwanasiasa itakuwa vizuri zaidi dm me

    urafiki ni upendo, mawazo na utulivu.
  8. Koloko

    JamiiForums Tanzania Nitasahau vyote ila sio tukio hili

    Habari zenu wakubwa Nimetoka zangu job nimechk narudi home kupumzisha fuvu ili kuwaza kesho mambo yanaendaje Nimepitia dukan kuchkua baadh ya vitu,kunadogo wakati me nafika dukani nilikuta anapimiwa unga muuzaji alipo maliza akampatia unga then akawa anani hudumia mimi sasa vitu vyangu...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Heche, dawa ya tuhuma sio wanawake kukufariji ni kujibu tuhuma na kupisha uchunguzi

    Tuhuma hazipigwi rungu. Charity begins at home, mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako. Hawa wanawake wanasema, tuhumu na kutaja watu bila kutoa ushahidi mbele ya Heche. Demokrasia ndani ya vyama ndiyo inayozaa demokrasia serikalini. Unapotuhumiwa dawa ni kujisafisha kwa kupisha...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Inaonyesha mivutano ya iran na USA tunaweza kuwa laumu ila wote wanatumiwa na watu ambao kila nchi kujiweka kama sio yeye

    Ukiangalia migogoro ya iran na USA ni kama hawa watu wamekuwa mwana seserere wa nchi zilizopo karibu na iran. Na mpaka sasa unaweza kujiuliza wao kama wanafanya biashara kwa nini watumie nchi nyengine mfano iran anavyo fanya na nchi za nyengine kumtumia USA kuwapiga.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kuna account za JF kama Mwashambwa zilifunguliwa zitumiwe na group la watu wanaolipwa kuandika propaganda au kukosoa thread au posts, sio member mmoja

    Kuna account humu JF zimefunguliwa na watawala kwa ajili ya kutumiwa na group la watu wanaolipwa kwa ajili ya kujibu, kukosoa, kukejeli nk thread ambazo zinatolewa ambazo zinaanika uobu wa serikali na viongozi wake. Kwa mfano, unakuta Tlaatlaa au Mwanshambwa sio mtu mmoja. Ni account ambazo...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Waislamu kuna mada yenu hapa.Kwa nini mnapenda kukimbilia nchi ambazo sio dini yenu.

    Wakitoka south afrika kufukuza waafrika naona wazungu wataanza na hii operation ya imani. Kama dini imewapenda sana kwa nini mnakimbilia nchi ambazo sio dini yenu.
  13. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Wahaya, wanasemaga: Bagambila Balinsi baliguru kuurila, Rais Samia Prof Tunakiuka Sio kichaaa msikilize

    Nataka imfikie mh Raisi, wa Tanzania najua ikulu inayo wahaya, wamtafsillie ILA kwa ufupi Prof Tibaijuka Hana Deni.
  14. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hivi ni macho yake? Ufupi wake? Aiba yake? Vinavyonifanya niamini sio mbaya kiivyo, ILA wapo WABAYA zaidi yake je wapo wapi?

    Sijui ni ufupi wake? Rangi yake, aiba yake? Au vinamacho vyake? Mbona Mimi siioni ubaya kama anao twishwa? Aliyemtuma Samia akamwone Tundu Lissu Nairobi ni nani? Au ni yeye aliamua? Najiuliza kmni ni yeye Leo kwa nini amemweka magereza Mwaka mzima?
  15. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Yesu kristo sio MUNGU na alithibitisha yeye mwenyewe kuwa sio MUNGU lakini Afrika na Italia zimeng'ang'ania uongo.

    Yesu kristo sio MUNGU na alithibitisha yeye mwenyewe kuwa sio MUNGU lakini Afrika na Italia zimeng'ang'ania uongo. Biblia inatuambia "Yesu akakutana na kijana tajiri akamwita, Mwalimu mwema, yesu akajibu, Mimi sio mwema Bali mwema ni MUNGU peke yake" hapa yesu anakiri kuwa yeye sio MUNGU. Yesu...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hii ya Lissu na Heche ichangiwe kwa moyo mweupe. Fedha zipo salama hii sio ile SACCOS ya Mbowe.

    Natoa wito kwa Watanganyika wote na Wazinzabari kuichangia Chadema hii maana ipo kwa ajili ya ukombozi wa taifa letu. Kutoa ni moyo. Watu wachangie bila kuwa na hofu . Pesa na michango ipo salama tofauti na zama za Mbowe. Propaganda mfu za wanaCCM waliokosa sera zisisikilizwe. Mimi binafsi...
  17. kamdinyo

    JamiiForums Tanzania sisi sio wageni

    sisi wenye ID's ambazo hazina muda mrefu kuanzishwa sio kwamba tulikuwa na ID's za awali na wala sio kwamba ni wageni hummu jamvini. kumekuwa na nyuzi kadhaa za unyanyapaa kuhusiana na ID's mpya kwa maneno ya kejeli kadhaa wa kadhaa. inatokea mtu unaingia humu kama guest kwa miaka zaidi ya...
  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Harmonize ana wimbo kauweka YouTube, Siku Mbili haujafikisha views 600! Sio 600K. Mia Sita!

    Mkamsaport kijana mwezenu.
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ofisi za polisi sio ofisi za taaluma kama ilivyo kwa wenzetu.

    Ukifika pale kituo cha msimbazi kariakoo sana sana labda vyumba vya wakubwa ila wote waliobaki ni kama ofisi za walimu Temesa walivyo. Uwezi kuelewa kompyuta inakaa wapi,foil ya chips na vidari vya nani,madaftari ya mwanafunzi gani yani vurugu tupu. Huko nje yani utazani vijiwe vya kahawa na...
  20. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, tunza pesa yako itakayokulea wewe mwenyewe mpaka mwisho wa maisha yako, mwanamke sio ndugu yako

    Jana jioni niliweza kuwatembelea wazee kadhaa waliostaafu na wengine wafanyabiashara wakubwa kiasi (mitaji yao bilioni kadhaa). Wengine wametelekeza majengo na biashara zao na kuamia mikoa mingine ili kuepuka fedheha aliyoipata kwenye mahusiano kwa mkewe. Wengine wameamua kuoa mara nyingine...
Back
Top Bottom