sio

Silicon monoxide is the chemical compound with the formula SiO where silicon is present in the oxidation state +2. In the vapour phase, it is a diatomic molecule.
It has been detected in stellar objects and has been described as the most common oxide of silicon in the universe.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Eti Marco Rubio, kwani Mwafwele alikua amepanga kuizuru Marekani sio hata mumzuie?

    Kwa asivyo na mambo mengi, sidhani kama huyo muungwana alikua anafikiria au hata kuizuru Burundi au Uganda tu kwenye maisha yake yake yote humu duniani, sembuse Marekani? For sure, Marco Rubio umekurupuka Mzee baba kwa kupotoshwa na vibaraka wako.🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  2. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Sio afya kwa serikali, Jeshi letu la Polisi linapotiliwa mashaka

    Kaka yangu Nape, mapema mwaka huu aliwahi kusema, kama serikali isipodhibiti matumizi ya nguvu dhidi ya raia, Siku moja wananchi watakikataa chama chetu. Kila mtu anaweza kuwa na mtazamo wake juu ya hili, lakini mimi napenda kuwakumbusha viongozi wangu uchaguzi wa 2010 Mbeya mjini kati ya Sugu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mama 2021 Maua mazuri sasa 2026 yamekauka

    Kwa wanaopenda Tanzania tuko katika wakati mgumu sana kama nchi . Washauri wabaya na uvivu na kujiachia kizanzibari sasa Mama ambaye alikuwa maua yenye harufu nzuri 2021-2022 sasa maua yamekufa kabisa ni lazima yaote upya au tuoteshe mengine. Haya maua ni too late sasa
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Mi Kataa Ndoa. Ila kama ikikulazimu Kuoa, Hakikisha shemeji Anajua Kupika. Vingine vinavumilika, ila sio msosi m’baya!

    Kichwa kimejieleza totally. Vingine vinasameheka, vinavumilika, vinasahaulika. Kasoro chakula.
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maduhu: Hoja za kisiasa zijibiwe kisiasa na sio mwanasiasa atishiwe na kujibiwa na Msajili au Jeshi la Polisi

    Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu akihojiwa na Wasafi FM leo Mei 20, 2026, amesema hoja za kisiasa zijibiwe kisiasa na sio mwanasiasa atishiwe na kujibiwa na Msajili wa Vyama vya Siasa au Jeshi la Polisi, kwani mfumo wa nchi unaruhusu uwepo wa vyama vingi...
  6. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya nchi hii hayatokani wala kusababishwa na CHADEMA bali CCM imekengeuka sio tena Chama cha wakulima na wafanyakazi

    CCM ikiongoza serikali wanaangaika na Chadema bila hata sababu za msingi. Swali la kujiuliza CCM bado inasimamia misingi ya uanzishwaji wake? CCM imezaliwa na TANU cha kushangaza chama cha wakulima na wafanyakazi ghafla kikawa chama cha wafanya biashara, Mafisadi ni ukweli usiopingika kwamba...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Neno moja kwa huyu kijana shupavu ambae amewatia moyo Gen Z kuwa sio wahuni wala majambazi wanaostahili kupigwa na kutekwa

    Kijana shujaa wa Chadema ya Lissu👇
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Japo kifo kipo ila kuna watu wakifariki labda muunde kamati ya kuwalilia ila sio watanzania na nzengo zao.

    Nimewaza tu jinsi matendo yao na maovu yao wanavojiona kuwa wapo duniani mpaka mwisho wa dunia. Nawaza jinsi nguvu kubwa itakayotumika watu waonekane na majonzi wakati ukatili waliofanya wakiwa madarakani na vyeo vyao. Tumeshuudia kwa aliyekuwa spika wa bunge. Hivi mfano Stephen Wasira.Hapa...
  9. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda kasi sana sio kwa madhaa haya

    Jf
  10. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Sio watalii wote ni wema wengine ni wahalifu

    Sio watu wote wanaokuja kutalii katika nchi zetu za Afrika ni watalii wengine ni wahalifu kutoka katika nchi zao , wanakimbia msara waliofanya walikotoka . Sehemu kama Zanzibar wanafika watu wa kila aina Majambazi, Drug dealers, makahaba . Tatizo letu watu weusi tunawaamini sana wazungu kwa urahisi
  11. K

    JamiiForums Tanzania Warioba yuko sawa kusema Mama Samia kachaguliwa na Tume sio Watanzania

    Mama Samia kachaguliwa na tume fake kuwa raisi fake wa Tanzania bila kupata kibali cha Watanzania. Hivyo msishangae Watanzania kumkataa . Watetezi wake ambao hawewezi kubisha hoja hii watabakia kuwa machawa lakini kizuri Watanzania wamegoma
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kofia(boshori) zibauso achia macho zinazoanza kushamiri mitaani sio nzuri kiusalama

    Hamjambo! 1. Siku za hivi karibuni ukipita mitaani na barabarani umezuka mtindo wa vijana kuwaona wakiwa wamevaa kofia boshori funikauso achiamacho aidha wakitembea barabarani au wakipita na bodaboda wakiwa wamepakizana. 2. Mtindo huu sio mzuri kiusalama hasa ukizngatia vijana wengi hawana...
  13. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Honda wamezindua 4th Gen Insight: Sasa hivi ni full EV sio tena hybrid kama matoleo ya nyuma!

    Najua inawezakua ni habari mbaya kwa wengine. Ila ndio hivyo. Honda wamezindua generation ya nne ya hybrid yake pendwa Honda Insight, ila sasa wameachana na hybrid moja kwa moja wameenda EV. Kwahiyo Insight EV jina jingine itaitwa Honda e:N2 kwa masoko ya China na Thailand. Kwa kuanza...
  14. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Sio Mungu tu tuliyemkataa

    Another Sunday, another boredom, another weekend. Nimeamka Salama namshukuru Mungu. It got me thinking, when was the last time going to church? Je namshukuru Mungu kweli, au naongea tu Kwa vile ni msemo wa Kila siku(jumapili especially!) je huyo Mungu WA kanisani nisiyemuamini Kwa nini bado...
  15. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Sio Biblia sio Quran iloitaja umri wa mwanamke kuolewa hiyo 18 mmejitungia tu

    Mm nasema hamna kama kuna mwenye aya au ushahidi wowote aje nao nimpe 300,000 usiku huu Muhammad (60) kwa Aisha ilikua sahihi Na Joseph (63) kwa bikira Maria ni sawa Hiyo 18 ni mbwembwe za waja, kama unaushaid iweke mbele weka lipa namba
  16. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof Issa Shivji: Watanzania sio wajinga. Kiungo kati ya AMANI na HAKI ni UWAJIBIKAJI. Hatuwezi kupiga hatua bila viongozi wakosaji kujiwabika!

    https://youtu.be/0niFxKMdOSI?si=AQnb1lDVaELvbk05 ANASEMA: Nchi hii si mara ya kwanza kushuhudia ukatili na mauaji ya watu (raia) wasio na hatia uliofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama chini ya usimamizi wa viongozi wa kiraia ma RCs, DCs au Mawaziri Tofauti na wakati ule, katika matukio ya...
  17. Stability

    JamiiForums Tanzania Ongezeko na video za shughuli za wadada kushereheshwa na mashoga sio ishu ya bahati mbaya, ni mpango mzima wa kudhalilisha uanaume halisia.

    Kumbuka zile shughuli zinafanywa na masingo maza, michepuko ya watu, wadada wanaojiuza, wadada wasio na kazi, etc na watu wa aina hii adui namba moja wao ni mwanaume kutokana na kila mmoja aliathrika vp na mwanaume katika pita pita zake. Sasa ikitokea kuna mashoga wanawafahamu wanahakikisha...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Uchochezi sio demokrasia kemea uchochezi

    UCHOCHEZI DEMOKRASIA yai vurugaa CHADEMA, makundi yaendelea Kukemea Siasa za Vurugu wananchi wadai Tanzania haiwezi kuongozwa kwa maandamano ya taharuki za migogoro kuharibu amani na uchumi NA MWANDISHI WETU WIMBI la kukemea siasa za vurugu, uchechezi na kuchochea migogoro ya kisiasa...
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wenza kupost vijembe WhatsApp status mnapotofautiana sio nzuri

    Yaani mwenza anapost vitu ambavyo unaona kabisa kakulenga wewe kufuatia mkwaruzano uliojitokeza. Mimi nachukia hii tabia ambayo wanawake wanayo zaidi. Kupost status ni kuwapa faida watu wengine. Mapenzi hayahitaji third party kabisa. Kuhusisha watu wengine kupitia watsapp status ni...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ongeza thamani yako; Sio unahangaika kuomba kazi kumbe kazi yenyewe hata ukipata utaishia kulipwa laki 3

    ONGEZA THAMANI YAKO; SIO UNAHANGAIKA KUOMBA KAZI, KUMBE KAZI YENYEWE HATA UKIIPATA UTAISHIA KULIPWA LAKI 3. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Binti na kijana wangu. Umri wa miaka 10-25 ni umri wa kujijenga hasa kiujuzi, kielimu, kiuzoefu na kimaarifa. 2. Umri wa kuongeza value yako. Utu...
Back
Top Bottom