Operesheni ya Kukamatwa kwa Rais wa Venezuela: Simulizi Linalozua Mjadala
Operesheni iliyodaiwa kusababisha kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, na majeshi ya Marekani imeelezwa kama operesheni ya kasi na usahihi wa hali ya juu.
Simulizi hilo linaeleza kuwa shambulio la ardhini...
Anaandika Godbless J Lema
TAARIFA ZA UONGO NA MATESO NA MAUAJI YA RAIA.
Mwaka 2011, jijini Arusha, kulitokea sakata zito la mauaji yaliyosababishwa na Polisi kufuatia maandamano ya wananchi waliopinga uchaguzi Meya feki wa Arusha Mjini. Tukio hilo liliacha majeraha makubwa katika mioyo ya...
KABURI LA MSOMI.
Karibuni sana wapenzi wa simulizi. Leo naitambulisha kwenu simulizi hii tamu iendayo kwa jina la KABURI LA MSOMI. Ndani ya simulizi hii utakutana na visa, mikasa na matukio ya maisha kwa ujumla, vimbwenga, mapenzi, maumivu, wivu, usaliti, chuki, mauaji na mikasa mingi ya...
Mwandishi: Murrah.
Inapopatikana: Kahawa Time application ya simulizi inapatikana playstore kwa watumiaji wa android na app store kwa watumiaji wote wa (Iphone)
Hii Hadithi imekamilika tayari katika application ya kahawa time.. kwa wale wanaopenda simulizi moto moto hii na nyingine zaidi kama...
Habari wakuu nawakaribisha katika application yetu ya kahawa time inayopatikana app srote kwa watumiaji wa iphone na Ipad na Play store kwa watumiaji wa Android… pata simulizi kali kutoka kwa waandishi maarufu kama Story za Eddy, Patrick Ck, na wengine wengi
THE JOURNALIST (TONE LA DAMU)
AMANI KILONZO!!!!!...
Ni jina ambalo lilikuwa alama ya ushindi, lilikuwa ni jina maarufu ambalo kila mwandishi wa habari pamoja na waandishi wote walikuwa wakilichukulia kama jina la mfano.
Jina maarufu kutoka kwa mwanaume aliyetokea kwenye maisha ya kimasikini...
Kwema wakuu, heshima mbele!
UKIPENDA NI NOMA AISEE! Next time nitajitajidi mimi ndio nijibu nakupenda pia, ngoja nile glucose kwanza nipate nguvu ya kusimulia, nitarudi.
to be continued....
Huu ni mkusanyiko wasimulizi zangu ambazo nimewahi kuzileta humu na zile ambazo nitakuwa nazileta huko mbeleni.
Lengo la uzi huu ni kurahisidha ufuatiliaji wa simulizi zangu kwa wale wapenzi wa simulizi lakini pia kutokupoteza simulizi zangu ambazo nimewahi kuziandika humu.
Kumbuka humu...
STORY: JUMBA JEUSI
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
Storyteller: Bux the story teller
WhatsApp: 0621567672
Email: thomasibabuya@gmail.com
AGE: 18+
UTANGULIZI.....
EPISODE 1.
BANZOKA
Pembezoni mwa barabara ndogo ya vumbi ambayo ilikuwa inaingia kwenye kichaka kilichokuwa kimemezwa na miti ya...
Mtakatifu MARIA GORETTI
Maria Goretti alizaliwa tarehe 16 Oktoba 1890 katika kijiji kidogo huko Corinaldo, Italia. Familia yake ilikuwa maskini sana, lakini ilijulikana kwa imani na mshikamano wa kifamilia. Maria alikuwa mtoto wa pili kati ya watoto sita.
Baba yake, Luigi, alifariki akiwa...
Kwenye huu ulimwengu wa mabavu kuna mambo mengi yanatokea kiasi kwamba wanadamu tunakimbilia kulaumu bila kujua sababu ya mambo hayo kutokea.
Kwenye IDAIWE MAITI YANGU uliisoma historia na chimbuko la binadamu hatari sana GAVIN LUCA. Bwana huyu historia yake ilianzia huko Tanga ambapo kuna...
Habari zenu wanajamvi wenzangu!
Shimmy wenu niko hapa. Leo, nataka tuingie kwenye safari kidogo. Hebu nikuulize kitu, shemeji. Umeshawahi kumpenda mtu kiasi kwamba unajua fika huyu ndiye wako, lakini dunia, familia, au hata uoga wako mwenyewe ukasimama kati yenu? Umeshawahi kujiuliza "what if?"...
UJASUSI, UPELELEZI NA MAPIGANO
1. ULIMWENGU WA WATU WABAYA...4000
2. I WANT TO DIE JUDGE...4000
3. GEREZA LA HAZWA...5000
4. INNOCENT KILLER (THE REVENGE)/ MUUAJI ASIYE NA HATIA (KISASI)...5000
5. NYARAKA NAMBA 72/ DOCUMENT NUMBER 72...4000
6. ELECTION SAGA MONEY IN BLOOD (SAKATA LA...
UJASUSI, UPELELEZI NA MAPIGANO
1. ULIMWENGU WA WATU WABAYA...4000
2. I WANT TO DIE JUDGE...4000
3. GEREZA LA HAZWA...5000
4. INNOCENT KILLER (THE REVENGE)/ MUUAJI ASIYE NA HATIA (KISASI)...5000
5. NYARAKA NAMBA 72/ DOCUMENT NUMBER 72...4000
6. ELECTION SAGA MONEY IN BLOOD (SAKATA LA UCHAGUZI...
Hii ni simulizi ya kijana Musa, kijana ambaye ametafuta kazi kwa miaka mingi bila kupata, katika matembezi yake, Musa anakutana na Bibi ambaye anamshauri aende kuombewa katika kanisa, anakwenda huko na kupokea maombi yake.
Anataka kurudi nyumbani, lakini anazuiliwa na kuambiwa anayeingia humo...
“Simulizi ya Moyo na Koti Jeusi”
Kuna wakati, nchi yenye mwanga wa jua mchana kutwa iliongozwa na mtu aliyekuwa na mtetemeko usiojulikana, mtetemeko wa kifua, lakini pia wa dhamira. Alikuwa na nguvu za ajabu; alilazimika kupiga teke mfumo hadi ukasahau jina lake. Kwa watu wengine, ilionekana...
UJASUSI, UPELELEZI NA MAPIGANO
1. ULIMWENGU WA WATU WABAYA.....4000
2. I WANT TO DIE JUDGE....4000
3. GEREZA LA HAZWA....5000
4. INNOCENT KILLER (THE REVENGE)/ MUUAJI ASIYE NA HATIA (KISASI)....5000
5. NYARAKA NAMBA 72/ DOCUMENT NUMBER 72....4000
6. ELECTION SAGA MONEY IN BLOOD (SAKATA LA...
TRAILER YA THE CHURCH OF THE UNBORN!
Ndani ya jumba la Cinema lililoko Mlimani City. Ukumbi umejaa. Watu wanashauku ya uzinduzi wa filamu mpya ya The Church of the Unborn" ambayo inatokana na Riwaya yenye jina hilohilo, The Church of the Unborn, Mtunzi akiwa Robert Heriel na ndiye muongozaji wa...
SHATTERED EVIL:LIGHT AND SHADOW
MTUNZI:KAILOJONHJO.
UTANGULIZI
SHATTERED EVIL: LIGHT AND SHADOW Ni simulizi inayochanganya ,mystery, fantasy,mapenzi, ujasusi
Miaka ya zamani watu walisifika sana kua na nguvu iyo ilitokana na kua na upeo mkubwa wa akili mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.