simulizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Simulizi; Nitamlea

    Simulizi; NITAMLEA Mtunzi; Robert Heriel +225693322300 Taikon Publisher Presents Chungu 01. “Kosa lake nini mpaka nimuue mtoto huyu asiye na hatia? Sitaki kuingia kwenye majuto ya kukitoa kiumbe hiki. Nitakubali majina yote ya dhihaka na kejeli. Lakini nitakulinda mwanangu. Mimi ni Mama...
  2. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Simulizi za waumini kanisani: video

    Hili ni jambo Wachina wanapinga sana . Wanamwambia padre wa Kichina asikusanye sadaka.
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tayari siti no 11A imeshatengenezewa simulizi

    Vishwash Kumar Ramesh alinusurika kwenye ajali ya 2025 Air India kutoka kiti cha 11A, kiti sawa na mwigizaji wa Thailand James Loychusak aliyenusurika katika ajali ya ndege ya mwaka 1998. Kama ilivyoripotiwa na gazeti la The Telegraph, James Ruangsak Loychusak, mwigizaji na mwimbaji wa Thailand...
  4. jaxwizzy

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Golden boy

    GOLDEN BOY Jua lilikuwa linatua kwa upole, likipaka anga la Istanbul kwa rangi ya dhahabu na machungwa. Bahari ya Marmara iling'aa mithili ya kioo kilichominywa dhahabu ya moto. Katika jiji la hili lajali na fujo za mamilionea, soma na jumba kubwa lililosimama kwa majivuno, lililokuwa na...
  5. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya dereva bajaj paka kuwa mwizi wa magari .Dar to mikoani

    Simulizi za kusisimua na fundisho kwa vijana:kijana alivyoingia kwenye mtandao wa wizi wa magari – Safari ya Subaru Legacy ya Gongolamboto hadi Arusha Baada ya kumaliza kidato cha nne mwaka 2019, maisha yalikuwa magumu. Nilikodishiwa bajaj na binamu yangu ili nijikimu. Nilifanya kazi kwa...
  6. The Story Vault

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Majaribu

    Hadithi: MAJARIBU Mtunzi:Mwaki Ze Done (0653814440) UTANGULIZI: Ni hadithi inayomzungumzia kijana mdogo wa kuitwa majaribu. Wakati akijaribu kuyakimbia matatizo yake akakutana na majaribu menyewe Sasa Alijikuta akikabiliwa na kesi ya mauaji ambayo hakuyafanya ilipelekea kupelekwa gerezani je...
  7. briophyta plantae

    JamiiForums Tanzania simulizi fupi:-Safari ya Daniel

    SIMULIZI FUPI: NDOTO YA DANIEL MWANDISHI: MOSSES MLAY Siku moja Daniel alipata safari ya kikazi ikiwa ni siku mbili tu kabla ya shughuli maalum ya washenga kuja nyumbani kwaajili ya kumposa dada yake, alikuwa na taarifa ya ugeni huo na ilikuwa na umuhimu mkubwa wa yeye kuwepo. Katika shghuli...
  8. Mtumishitu

    JamiiForums Tanzania Kama huamini uchawi kwenye biashara basi wewe bado sana kwenye biashara,sitasahau hili tukio

    Habari zenu wana jamiforum ,hakika hili jukwa linazidi kuwika kila siku maana kila unachohitaji kujifunza kipo hapa . TWENDEE KWENYE MAADA. Katika harakati za kufanya biashara yangu ya dagaa nilipata mteja mmoja ambae sijawahi na sikufikiria kuwa inaweza kuwa hivyo maana mambo ya ushirikiana...
  9. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Unajionamchafu?, Hata simulizi za biblia zinawataja Madent na Mabad boyz!,

    Kuna hii stori huwa watu wanapenda kuibonga kila siku, eti “Hiki kizazi kimeharibika mbaya!” Wanatuzushia sisi wa kizazi cha amapiano,kana kwamba tumezaliwa na chuki ya ndoa, mapenzi ya ajabu, na ushamba wa kihuni. Lakini we acha! Ukiingia kwa maandiko, utakimbia bila viatu. Hapo zamani watu...
  10. Samuel jk_Euphoria

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kifantasia: Solo king: ancient legacy

    Kama mtunzi hii ni simulizi yangu ya kwanza kuandika na kuitangaza nje ya jukwaa husika. Mimi ni mwandishi wa simulizi kutoka jukwaa la fasihinet.com ya boss singanojr 😁 Nisielezee sana kuhusu mimi. Mimi ni Samuel jk(jins halisi) lakini nalipenda neno Euphoria kutokana na maana iliyopo na hii...
  11. Abou Shaymaa

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Naaaaaaammmm! Wapenzi na wafuatiliaji wa simulizi za mtunzi wako hodari mahiri kutokea nchi ya mbogoland na sie mwingne ni Edgar Mbogo, baada ya ukimya wa muda mrefu sasa tumerejea tena na kigongo kitaaaaaaamuuuu cha kusisimua kitachokujia hapa hapa Jamii Forums, kina kwenda kwa jina laaaaaa...
  12. Elton Tonny

    JamiiForums Tanzania Simulizi - Dosari (a life full of flaws)

    DOSARI A Story by Elton Tonny Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Uhalifu, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa R-rated 18+ Enjoy! ★★★★★★★★★★★★★ SEHEMU YA KWANZA ★★★★★★★★★★★★★ Ni usiku wa saa tatu ndani ya hospitali moja ya mtaa, ambapo kuna watu wengi hapa...
  13. Sakwe

    JamiiForums Tanzania Simulizi bora za wakati wote, za kweli hapa jukwaani

    Aslaam aleykum ! Katika kipindi nilichokuwa humu hawa ni miongoni mwa watu wenyewe visa na mikasa ya kweli na wana vipawa vya kusimulia, Ingekuwa jeshini walikuwa wanapewa nyota na bibi na bwana mabegani,wasimuliaji hawa ni kama ifuatavyo 1 LWANDA MAGERE ,huyu mtu atengwe dunia yake ili tulaza...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Kijasusi.CHANZO NI YEYE

    Sura ya Kwanza: Dar es Salaam ilikuwa ni jiji liliojaa uhai. Kila kona ilikuwa na harufu ya bahari, kelele za magari, na kelele za biashara za mtaa. Mtaa wa Majengo ulikuwa ni jiji ndogo lenyewe, ambapo Ayubu aliishi. Alikuwa ni kijana mwenye umri wa miaka ishirini na tatu, aliyeishi maisha ya...
  15. A

    JamiiForums Tanzania NAUZA HADITHI ZA SIMULIZI, MIKASA NA ZA KUTISHA.

    Wadau hadithi hizo ni zangu na kila moja ukitaka full unatuma 1500. Nifuate DM
  16. 888I

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mwambie Nimesafiri

    Katika jamii nyingi za Kitanzania, ujauzito ni safari ambayo inapaswa kuwa ya wawili, lakini kwa wanawake wengi wa maeneo ya vijijini kama Terrat, safari hiyo inageuka kuwa ya upweke, huzuni na changamoto kubwa. Kupitia simulizi ya sauti yenye mguso wa kipekee, inayojulikana kama “Mwambie...
  17. Askarimaji

    JamiiForums Tanzania Simulizi tamu ya aliyewekeza kwenye taaluma

    Injini ya meli kubwa iliharibika, na hakuna alieweza kuitengeneza, wakaamua wamtafute fundi mwenye uzoefu wa miaka 30, alipofika akaiangalia injini yote kwanzia juu hadi chini, baada ya kukagua kila kitu akatoa nyundo ndogo iliyokua kwenye begi lake akagonga sehemu flani ya injin kidogo sana...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Mke wangu rudisha moyo wangu

    Note : 18+ MKE WANGU, RUDISHA MOYO WANGU Awamu ya Kwanza: Siri ya Kivuli Nilisimama mbele ya dirisha la ghorofa ya tatu nikiangalia mitaa ya jiji kwa tahadhari. Taa za barabarani zilimwaga mwanga hafifu juu ya barabara yenye watu wachache. Moyoni, nilijua sikuwa salama—na wala si kwa sababu ya...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Haya maisha yanapotea kwa kasi. Kuna wakati yatabaki kwenye vitabu vya simulizi tuu

    Maisha ya kijijini.. Mandhari za kuvutia sana.. Changamoto kiduchu.. Wote mnafamiana.. Hakuna gesti za wageni au ni chache na hizo chache hazina shorttime na hazina vibao vya vyumba vimejaa😀
  20. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania Tupeni simulizi kidogo kuhusu hiki kitabu

Back
Top Bottom