Simu ya aina gani umeshawahi kuitumia na ukaikubali sana?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,834
Simu zinakuja na kuondoka. Binafsi nimetumia simu nyingi sana. Simu yangu ya kwanza ilikuwa Motorola, mwaka 1996, service provider wangu alikuwa Tritel.

Lakini katika simu zote ambayo nilizama nayo penzini kwa dhati ilikuwa Nokia Lumia 1020, hiyo ilikuwa 2012. Hadi leo sijaona mwamba wa kulitikisa jabali lile.

Let's share the experience
 
Simu yangu ya kwanza ilikua Motorola bapa, nilipewa zawadi ya simu pamoja na mpira kutoka kwa beberu mmoja hivi kwa kipindi hicho kijiji kizima mwenye simu kali ni mimi hapo nipo darasa la saba...walimu, wanafunzi wao, Afisa Elimu Kata, Wauguzi katika kituo cha Afya wote walipata habari za simu hii. I was a celebrity...
wacky_moto_phones_moto_razr_v3.png


NB: Mabeberu walishatuzoesha na misaada toka tupo underground. Hii ni vita ya kiuchumi ndugu zangu katika kuelekea dona kantri.
 
Back
Top Bottom