Ubora wa Camera ya Nokia Lumia 1020 ya zama zile na camera za simu za leo

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
59,911
2,000
Nokia Lumia 1020 iliushangaza ulimwengu pale walipotoa simu Kali sana yenye MP41. Hiyo ilikuwaje Ni 2011 karibu miaka 10 iliyopita.
Camera ya Nokia Lumia 1020 ilikuwa kiboko na matata Sana, na ilitumia lens moja, tofauti na leo ambapo tunaona ili simu iwe na camera Kali Basi watalundika rundo la ma camera.
Heahima sana kwenu Nokia.
Screenshot_20201120-131826.png
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,533
2,000
4.5" display, 2GB RAM
Ndiyo ilikuwa flagship ya Nokia 2013,sasa hivi simu ya inch 6 tu inaonekana ndogo sana

Nimecompare lumia 1020 na Samsung A41 yenye kioo 6.1" utofauti A41 ni ndefu ila ni nyembamba zaidi utofauti ni mdogo.

Nimeangalia pia na iphone 12 mini yenye 5.4" ni kama zinafanana.

Hivyo mkuu 6" kwa bezel za leo bado ni simu compact sana.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,533
2,000
Nokia Lumia 1020 iliushangaza ulimwengu pale walipotoa simu Kali sana yenye MP41. Hiyo ilikuwaje Ni 2011 karibu miaka 10 iliyopita.
Camera ya Nokia Lumia 1020 ilikuwa kiboko na matata Sana, na ilitumia lens moja, tofauti na leo ambapo tunaona ili simu iwe na camera Kali Basi watalundika rundo la ma camera.
Heahima sana kwenu Nokia.
View attachment 1630669
Simu za leo zipo vizuri sana kutoa vizuri sura za watu aka beutify, ila ukizipeleka kwenye hali za hewa mbalimbali ama mazingira magumu magumu ambayo AI haifanyi kazi zinafeli vibaya mno.

Nokia 808 vs s20 ultra
Photo_4.jpeg.jpg

Nokia 808 vs iphone 11

808-11-pro-photo-difference-1.jpg
 
miminimkulimaakachekasana

JF-Expert Member
May 29, 2017
3,279
2,000

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
33,115
2,000
Simu za leo zipo vizuri sana kutoa vizuri sura za watu aka beutify, ila ukizipeleka kwenye hali za hewa mbalimbali ama mazingira magumu magumu ambayo AI haifanyi kazi zinafeli vibaya mno.

Nokia 808 vs s20 ultra
Photo_4.jpeg

Nokia 808 vs iphone 11

808-11-pro-photo-difference-1.jpg
Duh!!Mkuu mbona hayo maparachichi ni maparachichi mawili tofauti kabisa?!Is this real kwamba ni parachichi moja?!
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
23,277
2,000
nokia alikuwa mwalimu mwema sana kwenye huu ulimwengu,nimetumia nokia asha 201,ilikuwa inapiga picha 2mp zake,ukizoom detail hazipotei kizembe.

ila toka wahamie android naona wameungana na matapeli wengine kutafuta hela kitapeli.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,533
2,000
nokia alikuwa mwalimu mwema sana kwenye huu ulimwengu,nimetumia nokia asha 201,ilikuwa inapiga picha 2mp zake,ukizoom detail hazipotei kizembe.

ila toka wahamie android naona wameungana na matapeli wengine kutafuta hela kitapeli.
Hao ni HMD mkuu, jamaa wamekuwa vibaraka wa Google tu, anachotaka Google na wao wanafanya, even feature phone siku hizi ni kai os.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom