simu

  1. Ile vuta n'kuvute pale kimboka, nimeangusha simu. Aliyeiokota kachafua hali ya hewa

    Basi bhana, mida ya saa tano za usiku nikawa navutana na jimama lenye manyonyo makubwa sana nisiyoyamudu, ile kukataa lenyewe linalazimisha. Kwa bahati nzuri nikalishinda, ile kufika mbele, kuangalia oppo yangu, siioni tena. Basi bhana, nikajongea pembezoni mwa ule mtaa, nikajiinamia huku mafua...
  2. Poteza simu/ Laptop unaweza kununua nyingine lakini mafaili binafsi yakipotea imeisha hio! Tupeane mbinu za kutunza copy za mafaili tukwepe majanga

    Wanasemaga huwezi kujua thamani ya kitu mpaka kipotee, ukiwa nacho waweza kukichukulia poa lakini kipotee sasa, tena kiwe na attachment yako ya maisha yako, historia, mali zako, elimu, n.k. Binafsi nkumbuka kuna siku nimeenda jengo flani nikapaki gari huku nimeacha laptop, ile narudi nakuta...
  3. Polisi yatoa tahadhari, baadhi ya mawakala wanaosajili laini mtaani ni matapeli

    Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SACP David Misime Akitoa darasa kwa Maafisa Polisi Jamii na Polisi Kata kutoka Kanda Maalum ya Dar es Salaam pamoja na wengine kutoka Kibaha na Mkuranga, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SACP David Misime amezungumzia utapeli wa mitandao unaofanyika...
  4. Kadri teknolojia ya computer inavyozidi kujitosheleza kwenye simu, umepunguza au umeacha kabisa kutumia laptop na desktop ?

    Sote ni mashuhuda wa jinsi teknolojia ya computer inavyozidi kuboreshwa kwenye simu za kiasasa smartphones, vitu kibao ambavyo zamani vilitulazimu kuvifanya kwenye desktop au laptop siku hizi tunavifanya kwenye smart phones hasa ukizingatia. Software kibao sikuhizi hata kwenye simu zipo na pia...
  5. Tukutane hapa tunaozichukia simu kubwa, tunapendelea zaidi simu ndogo tunazoweza kuzimudu kiganjani kiurahisi

    Yaani siku hizi ukienda madukani simu nyingi sana za kisasa (smartphones) huwa ni kubwa kwa umbo, yani urefu tu ni kama mkebe na hii ni kero kwangu, binafsi napendelea zaidi simu ambazo zinakaa fresh kiganjani walau zikizidi sana basi iwe ni sentimita 14 na nusu kwa urefu. Simu kuziweka...
  6. Mnaotumia simu ya laini moja na kutembea na ya ziada kwa laini ya pili huwa hamuoni unafuu kutumia simu zenye laini 2?

    Kibongo bongo hapa wengi wetu huwa tuna laini mbili, hivyo kuwa na simu yenye laini 2 hupunguza mzigo wa kubeba simu ya ziada. Binafsi kigezo cha kwanza kabisa kwenye kununua simu yangu huwa inabdi ijitosheleze kwenye suala la kuwa na laini mbili. Simu zenye laini mbili si kama wengi...
  7. Elezea changamoto za mikopo inayotolewa kupitia Application za simu

    Wanajamvi zipo changamoto nyingi kuhusiana na mikopo inayotolewa kupitia Application za simu kama Umoja Loan, Premium, Branch na wengineo ikiwemo mteja kubambikiziwa riba kubwa sana zaidi ya asilimia 15% na tishio kwa mteja anayeshindwa kulipa kwa wakati, elezea jinsi ulivyodhalilishwa na mikopo...
  8. Uingereza: Mawaziri wapigwa marufuku kutumia TikTok katika simu za ofisi

    Uamuzi huo umetajwa kuwa ni kwa sababu za kiusalama, Serikali ikiamini kuwa taarifa za muhimu zinaweza kuchukuliwa na Serikali ya China Mwakilishi wa Baraza la Mawaziri, Oliver Dowden amesema hiyo ni tahadhari. TikTok imekanusha vikali madai kuwa imekuwa ikitoa taarifa za wateja wake kwa...
  9. Epuka kuandika matusi na maneno machafu kwenye Simu yako

    Simu zetu Zinatunza kumbukumbu na mara nyingi hukuletea maneno unayoandika kwamba kama ndilo uendelee na kuchapa sentence. Ubaya hutokea pale unapoandika haraka haraka na kutuma sms au ujumbe Kwa wapendwa na watu wetu muhimu. Hii inawakuta wengi wanapochapa maneno na kuletewa neno kama chaguo...
  10. Ukiona Dalili hizi Kwenye Simu Yako, Jua Kuwa Uko "hacked"

    Habari mwanajamvi, najua umekuwa na siku ndefu sana ya kikazi maofisini au biasharani, ama mwingine unasoma uzi huu ukiwa kazini, piga kazi, kazi ni kipimo cha utu. Kabla sijaendelea mbali naomba nisema kwamba mimi ni fundi simu, kazi hii imefanya nijifunze mambo mengi kupitia changamoto za...
  11. Kwanini Mahawara wengi uliowazuia Kukupigia Simu Usiku ukiwa na Mkeo wakipiga na ukiwahoji wanakupa majibu yafuatayo?

    Ni Hawara yako (Demu wako) kabisa (japo una Mke) na Umeshamjulisha na Kumkataza kabisa asiwe anakupigia Simu Usiku ukiwa Kwako na Mkeo na ikitokea akakiuka Makubaliano na Masharti yako na akapiga ukija Kumhoji Kesho yake atakuambia (atakujibu) ama Simu ilijipiga au Mtoto aliichezea. Ni kwanini...
  12. Rais Samia asitisha hotuba ghafla, sikiliza kwa umakini alichokisema baada ya kuweka mic pembeni, Machi 8, 2023

    Rais Samia asitisha hotuba ili azungumze na simu ya Rais wa Afrika Kusini, hiyo imetokea Mkoani Kilimanjaro wakati akiwasalimia Wana CCM nje ya Ofisi za Ccm Mkoa wa Kilimanjaro
  13. TANESCO Wakipigiwa simu ya dharura wanachelewa au hawatokei kabisa

    Habari waungwana! Mimi bhana nakwazika sana na suala hili hasa wakati wa dharura hawa TANESCO bhana ni wazito mnoo kufika eneo lilipotokea tatizo. Niliwah pata shida ya Luku, nikapiga simu na nipo karibu na ofisi zao, wakasema watafika ndani ya muda mfupi, cha ajabu nililala giza kiukwel maana...
  14. Tigo mnatuchosha na sms za 'Kopa Simu'

    Asubuhi hata hatujanywa chai, sms inaingia "Kopa Simu" Mchana hata sijaenda kula ugali kwa mlenda na dagaa wenye pilipili kali sms inaingia, Kopa Simu. Usiku najiandaa kubaiolojika, sijaanza mambo vizuri unasikia sms ukiifingua, Kopa Simu. Tigo na Zantel Mnatuchosha jamani, sms zenu za" Kopa...
  15. Je, ni ustaarabu ukiwa kwenye Daladala na una simu ya Tsh Milioni 1 na Laki 7 kisha kudai kwa kelele chenji ya Tsh 100 kwa kondakta?

    Sasa kama Wewe Abiria Mwenzangu umeshika Simu ya Gharama (ya Kitajiri) ya Tsh 1,700,000/= na Unaidai Chenji yako ya Tsh 100/= kwa Kondakta tena kwa Kelele nyingi Daladalani Mimi GENTAMYCINE Choka Mbaya mwenye Simu yangu hii ya Phillips Kitochi nifanyeje? Najua kuwa Hela yoyote ni Halali ya...
  16. Nachukia kupigiwa simu halafu mtu anadai eti amekosea namba

    Kwa wale wenye familia na ambazo huwezi kuona namba mpya ukaipuuza kutokana na watoto na familia pale uwapo nje au safari. Eti unaona mtu ana beep🎼📞. Sometimes anakutext kabisa. Kuwa ...."Nipigie." Nachukia sana tena anaandika nipigie...heck. Unapiga anadai eti nimekosea namba. Mimi: Uwe...
  17. Watu kuuziwa simu za mkopo bila kujua

    Ndugu ukinunua Simu hasa simu za smart phone kumekuwa na wimbi kubwa LA watu kuuziwa au kununua Simu huku akiwa hawajui kuwa ni za kulipia baada ya wiki au siku kadhaa Simu inalokiwa huku wakishindwa wafanyeje. nyaje?
  18. Serikali na taasisi zenu, nini maana ya kuweka namba za simu kwenye tovuti zenu?

    Manamba hayapatikani wiki nzima, yakipatikana yanaita weeee bila kupokelewa. Hivi Huwa mnaweka namba za ofisi, au zamtu binafsi ila anachoka kuwasaidia Watanzania? Mnakera sana wapuuzi nyinyi. Mtu Unahitaji msaada muhimu sana ,,lakini manamba hayapatikan wiki nzima? Mnakula tu Jasho la...
  19. G

    Wataalam naombeni ushauri, Nichukue simu ipi kati ya hizi endapo haizidi laki 3?

    Bajet 320,000, hata refurbished za mtumba poa tu HuaweiP20 HuaweiP20 lite HuaweiP30 Nokia5.1 Plus (Nokia X5) Nokia6.1 Nokia6.1 Plus (Nokia X6) Nokia7.1 Nokia8 Sirocco XiaomiMi 8 SE XiaomiMi 9 SE XiaomiMi A2 Lite (Redmi 6 Pro) XiaomiMi Play XiaomiRedmi 6
  20. Mafundi simu upande wa software

    Wakuu mimi natumia Boksi ya UFI kwa kweli pamoja na sifa mbovu za hili boksi nimefanikiwa kufufua simu kadhaa na kuua simu 2 nikijaribu kutoa MDM nikiwa najifunza na kuamsha simu zilizokufa animefanikiwa chache tena zile brand kubwa kwa kuwa sina wateja wengi tatizo ni kwa hizi simu zetu tecno...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…