Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 2,941
- 5,033
Kama unadhani simu aina ya Samsung ni simu ya kawaida subiri kioo kipasuke ndo utanielewa namaanisha nini.
Kioo kikipasuka na ukataka kuweka kingine, bei inaweza kuwa nusu ya au zaidi pesa uliyonunulia simu,
Kwa hiyo kama unamiliki simu aina ya samsung jipige kifuani sema mimi ni shujaa,
Wale wa infinix na Tecno mtupishe kidogo hamuwezi kuelewa kinachoendelea humu.
Ukibisha uwe na hoja
Nb uzi tayari