Ngareroo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2019
- 2,165
- 2,598
Habari wakuu,,hopefully mko poa..Mimi aysee naomba mnisaidie kitu kimoja wataalamu wa Tech..Nimekuwa Nikinunua Earphones lakini baada ya muda kidogo tu zinaanza kupoteza ufanisi wake..Mfano ukijitikisa tu unashangaa muziki unaji'pause au unajipunguza sauti au kujiongeza..Then haiishii hapo inaleta ujumbe huu ntatuma picha hapo...Naombeni utatuzi shida inaweza kuwa ni simu au Earphones?,,Simu ni Samsung na Earphones ni Oraimo..Ahsanteni